Category: Uncategorized

  • USIONGEE SANA, ACHA KAZI ZAKO ZIONGEE

      Add caption Kati ya mtego mkubwa UNAOWEZA kujiingiza ni mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa unajua, mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa umefanikisha kitu fulani. Hivi ndivyo watu wengine wanafanya. Wakifanya kazi kidogo, kelele zao zinakuwa nyingi mtandaoni. Wanataka kila mtu ajue. Sasa wewe unapaswa kuanza kufanya tofauti. Fanya kazi, zikamilishe Kisha ziache kazi…

  • Nafasi za kuingia darasani kujifunza uandishi zinaelekea kuisha. Changamka sasa hivi, usije kupitwa na fursa hii hapa

      Juzi nilitangaza nafasi kwa ajili ya watu ambao wangependa kujifunza uandishi. Watu hawa wanaenda kuhudhuria darasa maalumu la uandishi ambalo litaendeshwa kwa siku 33 mfululizo. Kwenye darasa hili hapa tunaenda kujifunza mbinu zote za kiuandishi ambazo zitakufanya wewe uweze kuwa mwandishi mbobevu. Kama kuna maswali ambayo umekuwa unajiuliza kuhusu uandishi, yote yatajibiwa. Kwa mfano…

  • NINAHITAJI WATU WATANO, NAMI NITAWAFANYA KUWA WAANDISHI WABOBEVU NDANI YA SIKU 33 TU

    Mwishoni mwa mwaka jana nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi.  Kwa…

  • Usiogope Kuuliza

    Ukiona mtu amefanya kitu na kukifanikisha basi ujue mtu huyo  anajua kitu ambacho wewe hujui, hivyo kuwa tayari kumwuliza mbinu, kanuni, na sheria alizofuata mpaka akafanikiwa. Ikumbukwe kuwa kuuliza sio ujinga hata kidogo. Hivyo, uliza nawe utajibiwa Soma zaidi; Usiogope Kushindwa; Ni Sehemu Ya Kujifunza Imeandikwa na Godius Rweyongeza, Morogoro-Tz 0755848391 Hakikisha umeSUBSCRIBE kwenye YOUTUBE…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Nafasi Ya Kuongea Na Diamond Platinumz Mwenyewe

    Pata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA     Mwaka juzi nilindika makala yenye kichwa cha TOO BUSY TOWATCHA YOUR DREAM. Katika makala hii nilieza jinsi unavyoweza kukutana na mabilionea, watu maarufu, wanamziki nguli na wengineo wengi ambao wewe mwenyewe ungependa kukutana nao.   Sasa siku ya leo ningependa nikuoneshe jinsi unavyoweza kukutana na Diamon…

  • FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO-2

      Kila mtu ana kipaji, kitu adimu sana kukipata kwa watu ni uthubutu wa kukifanyia kazi hicho kipaji mpaka kikaleta matokeo. Na hata wale ambao huanza kufanyia kazi vipaji vyao, huishia njiani kwa sababu mwanzoni kipaji hakilipi na kinaonekana kama upotezaji wa muda. Kwa hiyo nipende kukusihi uwe na melengo maalumu ambayo unayafanyia kazi kwenye…

  • Usipokuwa makini

      1. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa bado unahangaika na cheti kutafuta kazi mtaani 2. Utafikisha umri wa miaka 60 na kuwa ombaomba 3. Utafikisha umri wa miaka 60 ukifanya kazi usiyoipenda 4. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa unafanya kazi ili kupata mlo wa siku husika, huku ukiwa huna uhakika wa kesho. Sasa…

  • FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO

      Usichukulie poa KIPAJI CHAKO. Kuna watu wana vipaji ambavyo wanaweza kuvitumia kufanya MAAJABU Ila hawafanyi hivyo. Unaweza kukuta mtu ana uwezo kuchora mchoro mzuri kweli ambao wewe ukiuangalia lazima tu utaduwaa! Ila akishauchora anaufuta au kuchana karatasi aliyochorea. Kisa eti kwa sababu anaweza kuuchora mchoro huo au hata ulio bora zaidi ya huo muda…

  • Kuhusu Kufanya Maamuzi

     Kuna wakati unajikuta njia panda ukiwa unatakiwa kutoa maamuzi. Lakini unashindwa ufanye nini au usifanye nini. Kitu muhimu kufahamu ni kuwa unapaswa kufanya maamuzi. Kufanya maamuzi ni bora kuliko kutokuchukua hatua kabisa. Ukifanya maamuzi ukakuta hayakuwa sahihi, utajifunza na kuendelea mbele. Kama yalikuwa maamuzi sahihi ni wazi kuwa utanufaika. Lakini usipochukua hatua na kubaki kwenye…

  • Mo Dewji Afunguka Mazito Linapokuja Suala La Fedha.

      Moja kati ya mtandao wa kijamii ambao huwa siutumii sana ni mtandao wa twitter. Na vile sina app ya twitter kwenye simu yangu, naweza kukaa hata mwezi bila kujishughulisha nayo. Ila huwa inatokea siku moja moja tu naukumbuka mtandao huu na hivyo kuingia hasa ili kuposta maandiko yangu. Sina hakika hata nimewafollow watu wangapi…

  • KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWENYE NYASI

      Jipatie nakala hii kwa 5,000 tu. Tuwasiliane 0755848391 Habari ya asubuhi rafiki yangu! Siku ya leo napenda tujifunze kutoka kwa nyasi! Ndio nyasi kama nyasi๐Ÿ˜€. Nyasi huwa zinaonewa sana. Mara utakuta zimechomwa moto. Siku nyingine zimekanyagwa. Wakati mwingine zimelimwa. Au kufyekwa. Ila mara zote hizo huwa zinaota tena. Ukizichoma moto inakuwa kama umeziita, zinaota…

  • Fanya Hivi Ili Uweze Kupata Fedha Nyingi

     Kama unataka kushika fedha nyingi, anza kwanza kutumia vizuri fedha  kidogo ulizonazo. Ukishindwa kutumia vizuri fedha kidogo kwa uamimifu, ujue wazi hata fedha kubwa zitakushinda. Pata nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA sasa ili ujifunze jinsi ya kutumia vizuri kiasi kidogo unachopata. BONYEZA HAPA Kitabu kinapatikana kwa elfu 7 tu. Godius Rweyongeza (Songambele)…

  • Nisikilize Mimi. Wazo Lako Hilo Sio Bora!

      Add caption Ndio! Wala hakuna mtu ambaye amewahi kuwa na wazo bora. Naona sasa unaanza kusema; “acha uongo kwani wazo la kuanzisha _search engine_ ya Google si lilikuwa bora? Na Mimi nakwambia halikuwa wazo bora? Wazo huwa linakuwa bora linapofanyiwa kazi. Facebook halikuwa wazo Bora, Ila lilifanyiwa kazi na kuwa bora. Coca-Cola halikuwa wazo…

  • Mambo Matatu Ya Kujifunza Kutoka Kwa Taifa La Israel

        Moja ya taifa ambalo limepiga hatua kiuchumi ni taifa la Israel. Taifa hili sio kwamba lina rasilimali kubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine. HAPANA. Kuna kipindi taifa hili hili lilikuwa na uchumi wa chini sana. sasa hapa kuna vitu ambavyo vinalifanya taifa hili hapa kuendelea na kuzidi kupanuka. 1. wananchi wake kuthubutu. Wanathubutu…

  • Utatimiza Ndoto Yako Kama Utafanya Hivi

     Linapokuja suala zima la kutimiza ndoto yako moja ya kitu muhimu unachohitaji ni kujikumbusha juu ya ndoto yako mara kwa mara. Jikumbushe ndoto yako kwa kuiandika, Jikumbushe ndoto yako kwa kuiongea unapokuwa na watu. Jikumbushe ndoto yako kwa kuifanyia kazi.  Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ndoto yako itatimia kama utaipa muda na kuifanyia kazi.…

  • SITAKI UNAFIKI; Mambo Saba Ya Kufanya Unapokuwa Na Ndoto Kubwa

      Jamii yetu inafurahisha sana, Kuna baadhi ya vitu ambavyo ukisema au kufanya, basi utaonekana mwema na mtu anayefaa. Ila kuna vitu ambavyo ukisema au kufanya basi utaonekana mnafiki, asiyefaa na mwenye tamaa. Waambie watu kuwa unapenda kuajiriwa basi watakufurahia kwelikweli. Ila waambie hutaki, wakati wanaona kabisa vyeti vyako viko vizuri kwa asilimia mia, watakimbilia…

  • Usirudie tena kosa hili. (Fungu la Mungu vs Fungu Lako)

     wa ya watu wanafahamu vizuri Kuwa linapokuja suala la fedha, basi wanapaswa kutoa fungu la kumi kwa ajili ya kumtolea Mungu, kulingana na imani ya mtu. Hata hiyo, wanasahau kuwa lipo fungu la kumi la pili ambalo mtu anapaswa kujilipa Mwenyewe. Hili si la kutoa sadaka wala kumtolea Mungu kama lile la kwanza. Hili Fungu…

  • Mambo Matano Ya Kufanya Ili Uache Alama Hapa Duniani Na Kukufanua Uishi Milele

     Siku ya leo nina booonge la stori!!  Ngoja nicheke kwanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Na wewe unaweza kucheka pia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ee bwana ee, siku hiyo bhana jamaa ndio alikuwa kwenye msiba wa kaka yake, akiwa na majonzi ya kumpoteza mpendwa wake. Hiyo ilikuwa ni miaka 1880, kabla ya simu janja kama hii ninayoitumia leo kukuandikia andiko hili. Lakini pia kipindi…

  • Ebu Na Wewe Pata Muda Wa Kushangaa Hili Hapa

        Jipatie nakala ya kitabu hiki hapa kwa KUBONYEZA HAPA Kuna baadhi ya watu ambao wanakumbuka magoli aliyofunga mchezaji wa timu fulani kwa miaka hata kumi iliyopita. Wengine wanafahamu kwa uhakika kuhusu mwenendo wa timu fulani kuanzia miaka ya 1960 mpaka leo hii, lakini watu hao hao ukiwauliza mwenendo wa maisha yao ya kifedha…

  • ACHA UTAPELI WEWE? Hivi Ndivyo Unaweza Kuondoka Kwenye Mtego Wa Kujitapeli Mwenywe Maishani Mwako

      Jana nilikuwa naangalia TEDTALK iliyotolewa na Ashley Stahil mwaka 2014. Kwenye maongezi yake alianza kwa kutoa stori fupi jinsi siku moja alivyotekwa na baadaye watekaji wakawa wanataka fedha kutoka kwa wazazi wake. Sasa baada ya tukio hilo lote kuisha Ashley alikuwa anajiuliza swali, hivi inawezekanaje watu wakachagua kufanya kazi kama hiyo maishani mwao. Kwa…

X