Category: Uncategorized

  • Umuhimu Wa Kuw Na Misingi Unayosimamia Maishani

      Ni muhimu sana kwenye maisha yako kuwa na misimamo na kuhakikisha kwamba unaisimamia, ikitokea kwamba umevunja msingi mmoja, utajikuta kwamba unavunja kila msingi ambao umejiwekea kwenye maisha na hivyo kuanza kuishi maisha ambayo hayana maana. Jijengee misingi sahihi, ifuate na iishi hiyo misingi bila kujali kwamba unapitia katikahali gani. kuna vitu vidogo unaweza kuona…

  • TOFAUTI KATI YA BLOGU NA TOVUTI

       Moja ya swali ambalo watu wanapenda kuuliza ni tofauti kati ya blogu na tovuti. Siku ya leo nimeona nikueleze hizi tofauti ili na wewe uweze kuzifahamu. Blogu ni aina ya tovuti ambayo machapisho yake hujipanga kwa mangilio, huku yale yaliyowekwa kwa tarehe za karibuni yakionekana juu zaidi ukilinganisha ya yale ambayo yaliwekwa tarehe za…

  • Vitabu Viwili (02) Nilivyosoma Mwezi wa Nane

    Mwanzoni mwa mwezi wa nane, nilianzisha utaratibu wa kukushirikisha vitabu ambavyo ninakuwa nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Na kwa mwezi wa nane nilikushirikisha vitabu nane nilivyosoma mwezi wa saba. sasa mwezi huu wa Tisa ningependa kukushirikisha vitabu vyangu 9 nilivyosoma mwezi wa saba. Bonyeza hapo chini kuangalia hilo somo. hakikisha kwamba UMESUBSCRIBE kwenye hiyo channel…

  • UMUHIMU WA ENEO KWENYE BIASHARA

        pata nakala ya kitabu hiki kwa kuboonyeza HAPA Moja ya kitu muhimu kwenye biashara ni eneo. Yaani, unaweza kuwa na biashara nzuri lakini kama hutaiweka eneo zuri basi ni wazi kuwa utakuwa umekosea sana. Ebu chukulia mtu anafanya biashara ya kuuza magari na biashara yake akaiweka kijijini kabisa. japo biashara ni nzuri lakini…

  • Ni mpaka pale unapofanya kitu kinapowezekana

    Mara nyingi vitu vingi huwa vinaonekana haviwezekani. ila ukiamua kwa dhati kuvifanyia kazi lazima tu vitawezekana. Kwa vile vitu ambavyo wewe umekuwa unaona haviwezekani, ebu amua kuwa ndani ya wiki hii ambayo tumeanza kuwa unaenda kuvifanya. na kweli vifanye bila kukosa. Mwisho wa siku utajikuta kwamba umeweza kutimiza vile ambavyo watu walikuwa wanasema haiwezekani, au…

  • Hivi Ndivyo Nilivyojibu Swali Nililoulizwa Kuhusu Kitabu Cha Kutoka Mpaka Kileleni

    Jana nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na maelezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini.  “…mtu akifanya kazi huyaelekea malengo…

  • Kama Unataka Kulipwa Zaidi, Basi Fanya Hivi

    Rafiki yangu unaendeleaje. leo hii ningependa nikupe mbinu ambayo itakuwezesha wewe kulipwa zaidi. na ukweli ni kuwa kama unataka kulipwa zaidi rafiki yangu basi jifunze kuhusu mauzo.  ukiweza kuwa muuzaji mzuri basi ni wazi kuwa huwezi kulala njaa hata siku moja. ila kama haujui kuuza utalala njaa mara nyingi tu. unaweza kushangaa na kujiiuliza hivi…

  • Kitabu Cha Akili Ya Diamond Kinazidi Kupamba Moto, Jionee Mwenyewe Hapa

      Unaweza kupata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA Habari ya siku ya leo rafiki yangu.hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana kwenye makala yetu ya siku ya siku leo ambapo tunaenda kuona jinsi kitabu cha Akili Ya Diamond kinavyozidi kupamba moto.   Kitabu hiki cha Akili Ya Diamond ni kitabu cha kipekee…

  • Jijengee Mazingira ya kufanikiwa

    Unaweza kupata kitabu hiki kwa kubonyeza HAPA Ujue kila mazingira huwa yana aina ya kitu ambacho huwa yanavutia. Ukijijengea mazingira ya kimafanikio ujue basi mafanikio yatakufuata. Ila usipojenga mazingira ya kimafanikio basi ujue mafanikio yatakukimbia. Ukitaka kunielewa kwenye hili hapa nataka tu kukupa mfano wa panya na mende. Kuna mazingira ambayo huwa yanavutia panya na…

  • Fanya kitu hiki hapa siku ya leo

    Pata vitsbu hivi vitano kwa bei ya kitabu kimoja https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_series Habari ya siku hiii njema rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana Mara nyingi sana katika maisha huwa tunakimbizana na vitu vingi sana. unaweza kukuta kwamba mtu analalamika na kulalamika juu ya hali fulani za maisha. Kwa mfano unaweza kukuta kwamba katika kila…

  • DAKIKA 15 NA SONGAMBELE

        Rafiki yangu unaendelaje? Ni vizuri sana ushukuru kwa ajili ya siku hii ya leo. Maana, kuiona siku hii ya kipekee ni jambo jema kabisa. kuna watu wengi walitamani kuiona siku ya leo ila haikuwezekana. Hivyo, tumia sekunde chache kushukuru kwa ajili ya zawadi ya siku hii ya leo.   Lakini pia hakikisha kwamba…

  • Hivi Ndivyo Unapishana Na Fedha Kwenye Zama Hizi Za Intaneti

        Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. siku ya leo napenda nikwambie vitu ambavyo vinakufanya upishane na fedha kwenye zama hizi za intaneti na mitandao.   1. kudharau majukwaa ambayo unapata. Kama  unayadharau majukwaa au kuyachukukulia poa, basi ujue kwamba unapishana na fedha. Maana majukwaa ya mitandaoni ni sawa…

  • ONE TIME OFFER: Pata vitabu vyangu 12 kwa kulipia kitabu kimoja tu

        Kuna matukio ambayo huwa yanajitokeza kwenye hii dunia, ambayo huwa yanajulikana kama one time event. Yaani, kwamba likitokea ndio limetokea huwa halijirudii tena. Mfano wa tukio la aina hiyo hapo ni kuteswa, kufa kufufuka mpaka kupaa kwa Yesu Kristu kama ilivyoelezwa kwenye Biblia. Tukio la aina hiyo hapo ni one time event maana…

  • SHUHUDA ZA KWELI KUTOKA KWA WASOMAJI WA KITABU CHA AKILI YA DIAMOND

    Pata nakala ya kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA Rafiki yangu karibu sana katika ukurasa huu ambapo unaenda kupata shuhuda za kweli kutoka kwa watu waliosoma kitabu cha Akili ya Diamond. Kama bado hujapata nakala ya kitabu hiki hapa, basi unapaswa kufahamu kuwa unajikwamisha sana. chukua hatua leo hii kwa KUBONYEZA HAPA Nashukuru sana mwanamafanikio.…

  • USICHOKE KUIFANYIA KAZI NDOTO YAKO

      Usichoke kufanya kazi na Kuweka juhudi kwenye kile unachofanya. Hata kama unakutana na changamoto usiishie njiani, endelea kuweka kazi. Maana yajayo yanafurahisha.  Godius Rweyongeza Jiunge nami youtube kwa KUBONYEZA HAPA Pata vitabu vyangu kwa KUBONYEZA HAPA Kupata makala maalumu kwa watu maalumu basi BONYEZA HAPA

  • Maajabu Ya Mtandao Wa Intaneti

      Mtandao wa intaneti umerahisisha sana suala zima la kujifunza.  Vitu ambavyo kwa siku za nyuma vingekugharimu sana, leo hii unaweza kuvipata kinganjani mwako kwa bando unalonunua. Muda mwingine unaweza kupata maarifa haya ya kipekee bure kabisa kwa kutumia bando la rafiki, kampuni unapofanya kazi, au chuo unaposoma. Jitahidi sana kadiri uwezavyo kutumia hii nafasi…

  • Hii Akili Ya Diamond, Ndio Akili gani?

    Juzi niliandaa somo lililokuwa na mkusanyiko wa maswali ambayo watu wanauliza sana kuhusu kitabu cha Akili Ya Diamond Lakini swali ambalo limeendelea kujitokeza ni swali la je, hii Akili Ya Diamond, ndio akili gani haswa? Kiufupi ni kuwa kuna mambo 50 ambayo yote kwa pamoja yanatengeneza akili moja ya diamond. Na mambo nayo yote 50…

  • Fanya Kitu Hiki Hapa Kama Unataka Kufanikiwa

      Rafiki yangu hongera sana kwa nafasi ya siku hii nyingine na ya kipekee sana. Siku ya leo nimeona nikwambie kitu hiki kimoja ambacho kitabadili mtazamo wako kwenye mambo mbalimbali ambayo unafanya hapa duniai. Na kitu hiki ni kwamba kama unataka kufanikiwa basi kuwa mtu wa thamani. Jiongezee thamani yako kwenye kile ambacho unafanya. Fanya…

  • Leo ndio siku ya mwisho kabisa ya kupata kitabu cha AKILI YA DIAMOND mwa bei ya ofa

     Habari ya leo. Leo ndio siku ya mwisho kabisa ya kupata kitabu cha AKILI YA DIAMOND mwa bei ya elfu 3. Baada ya saa tano dakika 59 Usiku, hutaweza kukipata kwa bei hiyo tena. Kupata sample ya kitabu hiki kwa kubonyeza HAPA Karibu ujipatie nakala hii kwa kubonyeza HAPA Bei ya ofa ni 3,000/- tu. Bei…

  • Hivi Ndivyo Kitabu Cha Kutoka Sifuri Mpaka Kileleni Kinaweza Kufika Mezani/Nyumbani Kwako Leo Hii

      Rafiki yangu, bila shaka umekuwa na siku njema sana.  Mwanzoni mwa mwa mwaka huu nilizindua kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Kitabu hiki cha kipekee kimewafikia wengi mpaka sasa na kila mtu ambaye amekipokea kitabu hiki hapa amethibitisha kuwa kitabu hiki hapa kimemsaidia mambo makubwa sana.  Mfano mzuri ni huyu hapa  Safi kabisa mkuu,hongera…

X