Category: Uncategorized

  • Jinsi Ya Kuwafanya Watu Uliowapa Kazi Wapende Kazi Uliyowapa

      Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana. Siku ya leo hakikisha unaitumia vizuri kwenye safari yako ya mafanikio. Leo ningependa tujadili jinsi ya kuwafanya wale watu ambao umeaajiri waipende kazi yao na kuifanya kwa ufanisi, bila kukukimbia. Nimeona niandike hili hapa maana kwa wiki kadhaa zilizopita nimeshuhudia watu wawili wa…

  • Vitu Nane (08) Vidogo Ambavyo Unaweza Kuanza Kufanya Leo, Vikaongeza Thamani Yako Na Ya Watu Wengine

    HONGERA sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. leo hii nimeona nikultee vitu vitano ambavyo ukianza kufanya leo hii vitaongeza thamani yako na thamani ya maisha ya watu wengine pia 1. Kutabasamu 2. kusema maneno chanya kuhusu watu 3. kusoma kurasa kumi za kitabu kila siku 4. kuvuta hewa kwa nguvu unapoamka asubuhi.…

  • Hii Ndio Maana Halisi Ya Kusamehe Saba Mara Sabini Na Jinsi Ya Kuitumia Kupata Mafanikio Zaidi

    PATA KITABU HIKI KWA SHILINGI ELFU KUMI TU Rafiki yangu hongera tena kwa siku nyingine tena. Leo hii nimeona niongee kitu muhimu ambacho kinaweza kukufanya ufikie  utajiri wako wa kifedha, kiroho na KIAFYA. Kama utakitumia vyema au kama utakitumia vibaya, kitakuzuia kuufikia huu utajiri. Na kitu hiki ni kusamehe.     Unaweza kushangaa hivi kusamehe…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Kinapaswa Kukusukuma Wewe Kuitafuta Fedha Zaidi

     Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii nyingine ya kipekee sana, karibu sana kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukushirikisha kitu ambacho kinapaswa kukusukuma wewe kutafuta fedha zaidi.    Rafiki yangu kumekuwepo na watu ambao wana imani mbalimbali kuhusiana na fedha kiasi kwamba wengine wamekuwa wanaona aibu kuitafuta fedha. Wengine wamekuwa wanafikiri kwamba…

  • PATA ZAWADI YA KITABU HAPA

    Hivi  mwezi huu wa sita umepanga kusoma kitabu gani? kuna kitabu hiki hapa naona kitakufaa sana ndani ya mwezi huu hapa. kinaitwa 50 THINGS YOU SHOULD NEVER TAKE FOR GRANTED. unaweza kuendelea kwa  BONYEZA HAPA ILI KUKIPATA kama wewe hupendi kusoma vitabu vya kiingereza basi nimeandaa uchambuzi wake ambao unajitosheleza vizuri tu. unaweza kuusoma huu uchambuzi…

  • INALIPA KUKUMBUKA MAJINA YA WATU

      Rafiki yangu kuna vitu ambavyo vinalipa ukvifanya kwenye hiii dunia. Moja ya kitu ambacho kinalipa kufanya ni kukumbuka majina ya watu.   Majina ya watu usiyachukulie poa hata kidogo. watu wanapenda kukumbukwa kwa majina yao. Nadhani wewe ni shahidi wa hil hapa. kila mara unapokutana na mtu ambaye ulishamwambia jina lako ila sasa anaonesha…

  • Jinsi Ya Kujiimarisha Kifedha Katika Hali Zote Unazopitia

    ni haki yako kuwa na fedha kwa kiwango chochote unachotaka Kuna mchezaji mmoja ambaye alikuwa anajifunza vizuri sana kuhusu mbinu za mchezo wa masumbwi ila alipokuwa anaingia uwanjani na kupigwa ngumi moja, alikuwa anapteza ule uwezo wake wote na hivyo kuanza kucheza kwa hisia kama vile hajawahi kujifunza mpira maishani mwake.   Kitu kama hiki…

  • Hii Ndiyo Sifa Ya Biashara Ambayo Watu Wengi Hawajui

      Rafiki yangu bila shaka umekuwa na siku bora kabisa. karibu kwenye makala ya leo ili tuzungumzie sifa ya biashara ambayo ulikuwa hujui. Na sifa hii hapa inakuangusha kwenye biashara yako. Sifa hii ni kwamba biashara huwa inachukua tabia za mwanzislihi au mmiliki wa biashara hiyo. Unaweza kushangaa kuwa biashara na yenyewe inachukuaje tabia za…

  • Hatua Sita (06)Za Kuufikia Ukuu Kwenye Kazi Yako

     Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee sana. Watu wengi huwa wanaanza kufanya kitu mwanzoni kwa juhudi kubwa sana. Kuna ambao huwa wanaweza kuendelea kufanya kile kitu kwa muda na baadae kuacha hasa baada ya kukutana na changamoto za hapa na pale. Na kuna wale ambao huwa wanaendelea kwa kusuasua na kufikia hatua…

  • Kila Biasahara Inapaswa Kuhakikisha Ina kumbukumbu Hii Hapa

    [Enter Post Title Here]     Kila biashara inapasawa kuhakiisha kwamba inatunza kumbukummbu za mawasiliano na wateja wake, ili iweze kuwasiliana naye muda wowote ule hata pale ambapo hauonani na mteja wako.   Kwa hiyo kwa kila mteja anayekuja kwako basi hakikisha kwamba unatunza namba zake za simu au mawasiliano mengine ambayo mteja anatumia Kama…

  • MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: kKOSA LA #5; KUPITA FURSA MARA KWA MARA

    Kitu kingine ambacho kinawafanya watu wawe masikini ni kukosa jicho la kuziangalia fursa. Yaani, kila fursa zinapojitokeza basi wao wanazipita na hata kutoziangalia kwa jicho la fursa. Hata hivyo, halil ni tofauti kwa matajiri. Kila inapojitokekza fursa wao wanahakikisha kwamba wanaitumia vizuri. Na fursa huwa zinakuja katika namna tofautitoauti. Fursa kuptIia matatizo ambayo unakumbana nayo…

  • MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: KOSA LA #3 KUDHARAU UTARATIBU WA KUWEKA AKIBA

        Asilimia kubwa ya watu wamekuwa wanaamini kwamba ukipokea fedha inakuwa ni ya kwako yote. Hivyo wanatumia kadiri watakavyo. Hata hivyo ukweli ni kuwa fedha unayopokea leo sio ya kwako yote. Wewe unakuwa kama umeshikilia fedha ya watu wengine kwa muda. Maana baada ya hapo utaenda kununua chakula, nguo, vinywaji, na matumizi mengine. Kwa…

  • MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA: Kosa La #2 Kukataa Kuchukua Hatua Kwa Kile Ambacho Unajua

    Siku zote ni matendo yana nguvu kubwa kuliko maneno. unaweza kuwa na elimu na unajua vitu vingi lakini kama hutumii hiyo elilmu katika kuhakikisha kwamba unasonga mbele, basi ni wazi kuwa hiyo elimu haitakuwa na msaada wowote kwako. hivyo moja ya kosa ambalo watu wanafanya ni kujifunza kuhusu fedha na kutoafnyia kazi kile ambacho wao…

  • Vitu 50 Ambavyo Hupaswi Kuchukulia Poa

    Kuna vitu katika maisha ya kila siku ambavyo watu huwa wanachukulia poa, ila japo vina uzito mkubwa sana. wapo wanaofanya hivi kwa kujua. Eubu chukulia vitu kama  kuvuta hewa ya oksijeni. Ni kitu cha kawaida ambacho pengine unaweza kupitisha wiki bila kuona umuhimu wake au hata kujua kama unapumua, ila pale ambapo mtu anaumwa na…

  • MAKOSA 50 AMBAYO WATU HUFANYA KUHUSU FEDHA : KOSA LA KWANZA; Kutokuwa na kipaumbele cha kujifunza kuhusu fedha

    Inashangaza kuona kwamba watu wanaamka kila siku kwenda kutafuta kufanya kazi kwa siku tano au sita za wiki. Na kurudia ratiba hiyo mwaka hadi hadi mwaka. Lengo lao kufanya kazi ni kutafuta fedha ila hawachukui muda wa kujifunza kuhusu kile ambacho wanakitafuta, ambacho ni FEDHA. Kitu hiki ndicho kinawafanya watu wengi wazidi kuhangaika kwenye masuala…

  • Habari njema sana kwako rafiki yangu.

      Hongera sana kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. habari niliyonayo jioni ya leo ni kwamba vitabu vyangu vyote ambavyo ni vinapatikana kwenye mfumo wa nakala tete unaweza kuvipata kwa punguzo la asilimia 10 kwa kila kitabu kwa siku hizi zilizobaki kabla ya mwezi huu kuisha. Chukua hatua leo hii ili uweze kujipatia…

  • KULIPA DENI NI LAZIMA SIO OMBI: Njia Zilizothibitishwa Zitakazokusaidia Kulipa Madeni Yako

    Habari ya siku ya leo rafki yangu. Hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Leo nilipenda nikwambie kuwa kama umejikuta kwenye madeni na kuna watu ambao wanakudai, usiyakimbie hayo madeni. Badala yake jipange kuyalipa. Kulipa madeni ni lazima sio ombi. Ni wewe ulichukua hatua ya kukopa, unapaswa pia kuchukua hatua ya kulipa hayo…

  • Kama Unataka Kuongeza Kiwango Chako Cha Fedha Zinazoingia Fanya Hivi

    Rafiki yangu hongera kwa nafasi ya siku hii ya kipekee. Karibu sana kwenye makala ya leo ambapo tunaenda kuona jinsi ambavyo unaweza kuongeza kiwango chako ch fedha. Na njia hii ni KUWA MAKINI NA KIWANGO KIDOGO AMBACHO UNAPATA SASA HIVI. Yaani, hiki kiwango kidogo ambacho unakipokea sasa hivi unaweza kukitumia kwa manufaa makubwa ili kuongeza…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kutumia Muda Wako Na Fedha Kwa Manufaa

    Moja ya kitu muhimu kwenye maisha ya kila siku ni muda na fedha. Ipo misemo kadha wa kadha ambayo imesemwa ikiwa ni pamoja na watu kusema kuwa muda ni mali. Muda haumsubiri mtu. Na misemo mingine kama vile poteza fedha utaipata ila ukipoteza muda hautaupata.  Kwenye makala ya leo sitaki nikuelekeze jinsi kupoteza fedha na…

  • JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA ZA TAARIFA

    Tupo kwenye zamaambapo ni rahisi kufuatili maisha ya watuwengine, huku wewe mwenyewe ukajisahau kabisaa. Sasa leo hii nimekuletea somola JINSI YA KUPANGILIA MAISHA YAKO KWENYE ZAMA HIZI ZA TAARIFA.  Bonyeza kiunzi hapo chini kuliangalia.Usisahau KUSUBSCRIBE

X