Category: Uncategorized

  • Kitu Hiki Huwezi Kukiepuka Mwaka Huu

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana. kwa hakika leo ni siku ya kipekee sana ambayo wewe unapawa kuhakikisha kwamba unaitumia vyema sana ili uweze kusonga mbele na kujikuta kwamba unafanya mambo makubwa. Kwa kawaida kuna vitu ambavyo huwa unaambiwa kwamba uviepuke ilil uweze kuwa na maisha ya namna fulani. Au kabisa unaambiwa…

  • Kama Tatizo Ni Nyota Ya Kwako Imeenda Wapi?

    Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi hii ya kipekee sana. Zawadi ya maisha. Moja kati ya vitu vinavyoongelewa sana na watu ni nyota. Mtu akifanikiwa wanasema ni nyota. Asipofanikiwa pia wanasema ni nyota. Mtu akijenga mahusiano mazuri wanasema ni nyota. Lakini pia mahusiano yake yakiwa mabaya wanasema ni nyota.  Imefikia hatua sasa watu wamesahau misingi…

  • Sheria Muhimu Unazopaswa Kuziishi

     1. Ongea kidogo zaidi ya wengine wanavyoongea. 2.shinda kwa matendo wala sio maneno. 3. Omba msaada pale unapouhitaji.  Usitake kushinda peke yako, tafuta kuwafanya with watu wengine ndipo na wewe utshinda zaidi (win-win) 4. Tumia kutokiwepo kwako, kufanye kuwa kwa manufaa.Ni bora watu wakasema, kwa nini sijakuona muda mrefu, kuliko watu kuuliza, hivi na leo…

  • Hili Ni Jambo Litakalokupa Uhuru Maishani Mwako

    Uhuru! Uhuru! Uhuru! Miaka mingi sana Tanzania ilipata uhuru kutoka kwa wakoloni. Mara tu baada ya uhuru mwalimu Nyerere alikuwa na haya kusema. Watanzania tunapaswa kupambana na maadui wakuu watatu ambao ni ujinga umasikini na maradhi.Vitu hivi vitatu mwalimu aliviita maadui wa taifa. Ila dawa ya vitu hivyo vyote vitatu ilikuwa ni elimu.Ujinga ni matokeo…

  • Kheri Ya Mwaka Mpya Na Mambo 12 Unayopaswa Kufanya Kuanzia Leo

    Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu, leo ni tarehe mosi januari 2019. Hongera sana kwa nafasi hii ya kipekee sana ya kuuanza mwaka huu. Najua hii ndio siku uliyokuwa umeisubiria kwa siku nyingi sana, sasa hakikisha kwamba unaitumia vyema kabisa. Mwaka huu ni mwaka wako, utumie vyema ili uzidi kusonga mbele. Huu ni mwaka wako…

  • Ndoto Haziwi Ukweli Ukiwa Umelala

    Kila mtu ambaye anaishi kwenye dunia hii ana ndoto kubwa. Iwe ameiandika sehemu au hajaiandika.ndio maana utasikia watu wanasema wangependa kuoa mke mzuri kuolewa na mme mzuri (hii ni ndoto)Utasikia wengine wanakwambia wanataka kuwa mamilionea (hii nayo ni ndoto)Wengine wanapenda kuwa wanamziki, waigizaji, wafanyabiashara maarufu (hizi pia ni ndoto) Kitabu hiki kipo kwa ajili yako.…

  • Huu Ndio Uwezo Mkubwa Sana Ambao Unao Ndani Yako

    Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii njema sana. Leo ni siku yetu ya kipekee sana hakikisha unaitumia vyema sana.UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATION-9 Malipo Kwa Wafanyakazi Siku ya leo napenda nikwambie uwezo wa kipekee sana mbao umejilaza ndani yako.Hivi umewahi kujiuliza kwamba una uwezo gani wa kipekee ndani yako?Je, ni kuongea?Je,…

  • TAFAKARI YA WIKI: Kuna watu wana shahada na wengine wana cheti cha shahada.

    Siku moja profesa aliwapa wanafunzi wake kazi ya kufanya. Ili kazi hiyo iweze kufanyika vizuri, na kwa weredi wa hali ya juu sana basi aliwagawa wanafunzi wake katika makundi. Lengo la profesa huyo lilikuwa ni kuwaleta wanafunzi wake pamoja, ili washirikishane ujuzi, wajadiliane na kuja na kitu kimoja kikubwa. Kazi iliyotolewa na profesa kwa  wanafunzi…

  • Haya Ni Maeneo Muhimu Unapoweza Kupata Kitabu Cha Nyuma Ya Ushindi Bila Usumbufu Wowote

    Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. Kuishi leo ni nafasi moja nzuri sana ambayo haupaswi kuipoteza. Itumie kadri ya uwezo wako. Nimekuwa nikikwambia kwamba miongoni Mwa vitabu ambavyo Unapaswa kuvisoma wewe hapo ni kitabu cha NYUMA YA USHINDI. kitabu hiki kimezungumzia somo muhimu sana ambalo watu wengi huwa hawapendi kukizungumzia…

  • SEMINA YA KUFUNGUA MWAKA; 2019 Mwaka Wangu Wa Kung’aa

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana kuliko siku yoyote ile ambayo umewahi kuiona.Zikiwa zimebaki siku chache sana kuumaliza mwaka  huu. Naomba sasa uanze kujiuliza malengo yako uliyoyaweka mwanzoni Mwa mwaka huu yamefikia wapi? Je, umetimiza mangapi? Je, malengo gani hujatimiza? Kwa nini? Katika kitabu Chake cha From…

  • Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Kuna kitu Nataka kuandika!

    Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Kuna kitu Nataka kuandika! Siandiki kwa sababu ya huyo anayeonekana anaanguka ila Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Ndio nataka niandike kitu! Kwanza najua video hii umeiona mara nyingi sana kabla ya hapa. Lakini sasa nataka uiangalie kwa namna ya tofauti. Ninataka uone kile ambacho ulikuwa hujakiona. Ndio maana nakwambia Kuna…

  • TAFAKARI YA WIKI; ELIMU YA CHUO HAITOSHI, (Kitu Kimoja Unachopaswa Kuambatanisha Na Elimu Yako)

    Kwa kawaida mtu unapokuwa umefanya kitu na kukikamilisha mpaka mwisho, basi kifuatacho unakuwa unangojea pongezi, shukrani au vitu vya namna hiyo. Ila sio mara zote, ukikamilisha kitu utapongezwa. Na sio watu wote hukupongeza. Kuna wengine wataona madoa katika jambo jema sana ulilofanya. Na kuna wengine watakupongeza na kukutaka uongezee kitu cha ziada kwenye kile ulichokamilisha.…

  • Tafadhali Usimkumbatie Mtu Huyu, Atakuumiza Sana

    Hongera sana kwa siku hii njema sana. Leo hii ni tararhe 09 Disemba. Zikiwa zimebaki siku 22 mwaka wetu ufike ukingoni. Kwa kawaida watu tumekuwa na utaratibu Wa kukumbatiana hasa pale tunapokutana na watu. Kukumbatia imekuwa ni ishara ya kukaribishwa kwa mtu, upendo na furaha anayoionesha mtu kwako. Ukitaka kujua kwamba mtu amekukaribisha, basi ishara…

  • Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Mtaji Wa Biashara Ukiwa Bado chuo

    Kila mwaka kuna idadi kubwa sana ya wanachuo wengi sana wanaohitimu kutoka vyuo vikuu mbali mbali hapa nchini. Idadi ya wanachuo wanaohitimu kila mwaka ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu wanaoajiriwa. Hivyo kufanya vijana wengi waliohitimu chuo kuzurura mitaani, wakizunguka huku na kule kutafuta ajira. Wapo wanaobahatika na kupata ajira hizi hata hivyo…

  • Wewe Ni Nani Kuacha?

    Ukiona unafanya kitu ila haukifanyi kwa namna ya kueleweka. Ukiona unafanya kitu  ila ukahisi kama bado unakosa kitu fulani hivi, basi hapo unapaswa kujua kwamba hauna maarifa ya kutosha. Usikimbie kitu hicho kwa sababu hujaweza kukifanya vizuri. Badala yake kimbilia kutafuta maarifa zaidi na zaidi ili uweze kukifanya kwa ubora. Moja kati ya watu wa…

  • TAFAKARI YA WIKI; Jinsi ya Kuunganisha Elimu Ya Shuleni Na Maisha Ya Kawaida

    GODIUS RWEYONGEZA (Songambele)SUA, chuo kikuu0755848391 Ni takaribani wiki tatu sasa yangu niandike makala iliyokuwa na kichwa cha *mambo kumi (10) unayopaswa kuyafahamu Kabla ya kufumua nywele Zako Za  graduation*. Kwa hakika, hii ilikuwa makala iliyofumbua macho ya watu wengi sana. Siku hii ya Leo, tutafakari ni kwa jinsi gani unaweza kuunganisha kile ulichojifunza darasani na…

  • IJUE NGUVU YA KIDEO NA UNAVYOWEZA KUITUMIA KUONGEZA MAUZO

    Kuna njia mbali mbali unaweza kuzitumia kutangaza bidhaa zako na kuongeza mauzo.Kwa Leo napenda uijue nguvu ya kideo hasa kwenye zama hizi za taarifa, ambapo kila kitu kipo kiganjani! Yaani, kila taarifa unayo mkononi. Video ni njia ambayo unaweza kuitumia kutangaza bidhaa, kujitangaza au kuonesha kile ulichonacho.Zama za sasa hivi, zimehamia mtandaoni. Yaani kila kitu…

  • Njia Rahisi Ya Kuandika Kitabu Bila Kukiandika

    Kuna usemi unaosema hivi, ukitaka kuishi milele, basi Unapaswa kufanya vitu vitatu, moja kuzaa mtotoPili kupanda miti naTatu kuandika Kitabu. andika kitabu bila kukiandika Ukiangalia viu hivi vyote ni vya kudumu sana. Yaani ukizaa mtoto, maana take umeruhusu kizazi kiendelee hapa Duniani.Ukipanda miti maana yake umeacha hazina kubwa, ambayo itadumu kwa kipindi kirefu sana.Na mwisho ukiandika…

  • Ongeza Ufanisi Wako Kwa Kufanya Vitu Vitatu Kila Siku

    Kitabu hiki kipo kwa ajili yako Kwa sh.10,000/- tu. Siku moja ina masaa 24. Yakipita ndio yamepita, yaani hayarudi tena. Ndani ya masaa haya kuna vitu vingi sana unaweza kufanya. Ila kama unataka kuongeza ufanisi kazini hupaswi kufanya vitu vyote hivyo. Ufanisi hautokani na idadi kubwa ya kazi ulizonazo. Ufanisi unatoka kwenye kazi kidogo ambazo…

  • Kama Pesa Haiwezi Kununua Kitu Hiki, Umasikini Utaweza??

    Kumekuwepo na semi mbali mbali zinasemwa juu ya pesa. Wengine wanasema, pesa sio kila kitu. Wengine wanasema  pesa ni chanzo cha maovu yote, (japo Biblia inasema, upendo wa pesa ni chanzo cha maovu) Soma Zaidi; Aliyeandika Pesa Ni Chanzo Cha Maovu Yote, Hakuwa Na Senti Haya Moja Ukiingia google utakutana na makala zenye vichwa kama…

X