-
Mo Dewji Atoa Siri Tano Zilizomfanya kufanikiwa Sana
Siku ya leo nimeona nikusogezee siri tano za mafanikio kama ambavyo Mo Dewji amezitaja kwenye mojawapo ya Twitter yake. Kwenye hiyo Twitter, Mo Dewji anasema; Toka nikiwa kijana nilikuwa na ndoto ya kuwa mjasiriamali.Safari ya ujasiriamali imejaa vikwazo matuta na kona nyingi. Unahitaji kuwa na nidhamu, ustahimilivu na zaidi adabu, kadri unavyosonga mbeleKutumia njia za…
-
Ujumbe Muhimu Kwa Wasomaji Wote Wa Vitabu
Rafiki yangu habari ya siku ya leo. Hongera sana kwa nafasi ya siku hii ya kipekee sana. siku ya leo nina ujumbe muhimu kwako wewe msomaji mzuri wa vitabu. na ujumbe huu ni kwamba kama unafikiri kwamba unaweza kujifunza zaidi kupitia usomaji wa vitabu, basi unapaswa kuandika kitabu chako pia. Kama wewe umekuwa…
-
Kutana na Zhang Yiming, Billionea wa Kichina Na Mwanzilishi Wa TikTok Pamoja Na Mambo Matano Ya Kujifunza Kutoka Kwake
Zhang Yiming ni mwanzilishi wa mtandao wa kampuni mama ya ByteDance ambayo ipo nyuma ya mtandao Tiktok. Billionea huyu aliyezaliwa mwaka 1983 ana utajiri wa Zaidi ya bilioni 44. Siku siyo nyingi bilionea huyu alistaafu uongozi wake kwenye kampuni yake huku akisema kuwa kwa sasa anaenda kujisomea vitabu ili aweze kupata mawazo mengine mazuri…
-
Huduma Sita Muhimu Unazoweza Kupata Kutoka Kwangu
Habari yako rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikushrikishe huduma ambazo unaweza kupata kutoka kwangu. 1. HUDUMA YA VITABUMpaka sasa nimeandika vitabu 16. Unaweza kuona baadhi ya vitabu hivyo hapa. Chagua kitabu chochote unachoona kinakufaa, Kisha jipatie nakala ya kitabu husika. BONYEZA HAPA KUONA ORODHA YA VITABU VYANGU VYOTE. 2. HUDUMA YA KUJIFUNZA UANDISHIMoja ya…
-
Njia Tano Za Kuingiza Fedha Mtaani Kwako Kuanzia Leo
Habari ya leo rafiki yangu. Siku ya leo nimeona nikuletee njia tano za haraka zitakazokufanya wewe kuanza kuingiza fedha kuanzia leo hapo mtaani Kwako. 1. Angalia kitu ambacho watu wanalalamikia sana kisha kifanye vizuri kwa kuondoa tatizo wanalolalamikia watu. 2. Tafuta sehemu yenye tatizo kisha litatue hilo tatizo. 3. Anza leo kufanya biashara ya mtaji…
-
Maeneo Matano Unapopaswa Kukaa Kimya
Tumepewa mdomo na masikio mawili. Mara nyingi hiki kimekuwa kinatumiwa Kama kiashiria cha kuwa tunapaswa kuwa wasikivu. Kuna mazingira ambayo wewe unapaswa kuwa kimya na usiongee sana. Sasa siku ya leo ninakuletea maeneo matano ambapo wewe unapaswa kuwa mkimya. Moja, kama unaona mtu unayeongea naye hakupi nafasi ya kuongea. Pili, pale unapoona mtu anaweza kukuelewa…
-
Ushauri Wa Mhe Jakaya Mrisho Kikwete Kwa Kijana anayetaka Kufanikiwa
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Ni rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku ya leo nimeona nikuletee ushauri murua kabisa kutoka kwake ambao Nina hakika utakusaidia sana wewe. Mheshimiwa anasema kwamba, kama unataka kula lazima ukubali kuliwa. Hii ndiyo kusema kwamba huwezi kupata vinono kama hujakubali kuhenyeka kwanza. Ukitaka…
-
Nukuu Tano Zilizokonga Nyoyo Za Watu Kutoka Kwenye Kitabu Cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO
Kitabu cha JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO, ni kitabu ambacho kimeeleza kwa kina jinsi wewe unavyoweza kufanikisha NDOTO ZAKO na kufanya mambo makubwa. Kitabu hiki kina madini kuanzia mwanzo wa kitabu mpaka mwisho wa kitabu. Sasa kwenye hiki kitabu kuna nukuu nyingi ambazo zimekonga nyoyo za watu, ila leo nitakushirikisha nukuu tano tu. 1. …Ukweli…
-
Njia Tano Za Kusoma Vitabu Vikubwa Bila Kutumia Nguvu Kubwa
Vitabu ni mojawapo ya njia ya kuongea na watu waliofanikiwa, viongozi maarufu, wanafalsafa, na hata watu wengine ambao tayari walishaaga dunia. Ni kupitia usomaji wa vitabu ndipo tunapata kuongea nao, kusikiliza maoni yao na hata kujadiliana nao mada fulani fulani. Sasa, watu wengi huwa hawapendi kusoma vitabu kutokana na ukweli kuwa vitabu vingine ni vikubwa…
-
Sababu Tano Kwa Nini Unakutana na Vikwazo na Changamoto
Binafsi sio mpenzi wa kuangalia tamthiliya, ila kipindi nipo sekondari nilisoma sana vitabu vya tamthiliya . Kwenye vitabu hivi huwa kuna mhusika mkuu. Mhusika mkuu huwa anakutana na changamoto, kuna wakati anaweza kupigwa kiasi kila mtu akadhani amekata roho, kumbe bado yu hai. Kuna wakati mpaka anaweza kutupwa kwenye maeneo ya hatari ila baadaye…
-
Jiandae kufanikiwa
Mafanikio hayatakuja kwako Kama ambavyo jua linawaka kwa kila mtu, badala yake wewe unapaswa kujiandaa kwa ajili ya kufanikiwa. Tengeneza mazingira yanayovuta mafanikio kuja kwako. 1. Anza kuishi tabia za kitajiri kama kuweka kuweka akiba, kuamka mapema, kufanya tahajudi (meditation), kuweka malengo na Kuyafanyia kazi 2. Fanya kazi kwa bidii maana mafanikio halisi hayaji…
-
VIDEO: FUNZO KUBWA KUTOKA KAMPUNI YA SPACEX KUHUSU NAMNA YA KUFANYIA KAZI NDOTO ZAKO
kampuni ya SpaceX ni moja ya kampuni yenye NDOTO ya kufanya watu wawe na makazi kwenye sayari tofauti. Hii ndiyo ndoto ta mwanzilishi wake #ElonMusk na wafanyakazi wote wa kampuni hiyo. Kampuni hii imekuwa na ndoto hii tangu ilipoanzishwa mpaka leo hi. ndiyo maana nasema lazima hapa Kuna kitu kikubwa Cha kujifunza. Fuatilia someone…
-
Maeneo Matano Yanayopoteza Fedha Zako Na Jinsi Unavyoweza Kuipata Fedha Hii Kwa Ajili Ya Akiba
Kuna vitu ambavyo unafanya au kununua na vitu hivyo vinakupelekea wewe kupoteza fedha ambayo ingekuwa msaada kwako. Sasa siku ya leo ningependa kukueleza vitu vitano vinavyokufanya wewe upoteze fedha. Fedha hii inaweza kuwa kianzio kwako kwenye masuala mazima ya kuweka akiba. MOJA, KUNUNUA au KULIPIA VITU UNAVYOWEZA KUFANYAKuna vitu ambavyo wewe mwenyewe unaweza kufanya kwa…
-
Ushauri wa Aliko Dangote Kwa Kijana Anayetaka Kuanzisha Biashara
Aliko Dangote ni tajiri namba moja kwenye bara zima la Afrika, kitu kikubwa ambacho kimemfanya yeye kuwa tajiri mkubwa ni biashara zake anazofanya. Amekuwa akifanya biashara tangu miaka ya 70 mpaka leo. Ameanzia chini (SIFURI) mpaka ameweza kufikia mafanikio makubwa (KILELENI). Hivyo, ni wazi kuwa lazima atakuwa na busara za kumwaga kwako na kwangu linapokuja…
-
Aina 5 Za Nidhamu Unazopaswa Kuwa Nazo
Siku siyo nyingi sana niliakuandikia makala maalumu kukueleza maana halisi ya nidhamu. Kama hukubahatika kufuatilia makala hii basi ni muhimu kwako kuhakikisha kwamba unabonyeza HAPA ili kuifuatilia makala hii kwanza. Sasa baada ya wewe kuwa umeijua maana halisi ya nidhamu, siku ya leo ningependa ufahamu aina tano za nidhamu unazopaswa kuwa nazo ili kuweza…
-
Sababu tano kwa nini hufanikiwi
Unaendeleaje rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii nyingine mpya na ya kipekee sana. Siku ya leo ninaenda kukushirikisha sababu tano, kwa nini wewe hapo hufanikiwi. Kwenye kila sababu tunaenda kuona ni kitu gani ambacho wewe unaweza kufanya ili na wewe uweze kuingia kwenye orodha ya watu ambao wamefanikiwa. Hivyo, kaa mkao wa kula…
-
Vitu Vitano vya kuepuka ili uweze kufikia malengo yako
Ni wazi kuwa furaha ya mtu yeyote anayeweka malengo ni kuona yanakamilika. Kama umeweka malengo yako kwa kufuata VIGEZO sahihi na kuepuka HAYA ni wazi kuwa malengo yako yatatimia. Hata hivyo, malengo yako yanaweza yasitimie kutokana na wewe kuendekeza vijitabia vingine vya kukukwamisha. Hivyo, hapa chini kuna vijitabia vitano unavyopaswa kuepuka baada ya kuweka…
-
Njia Tano Za Kuyafanyia Kazi Malengo Yanayojirudia Kila Mwaka
Kuna malengo ambayo huwa yanajirudia kila mwaka. Yaani, utakuta kuwa kila mwaka lengo hilohilo linajirudia na linapaswa kufanyika. Na tena unaweza kukuta lengo la aina hii linahitaji fedha. Zifuatazo ni njia tano za kufanyia kazi malengo Yanayojirudia kila mwaka. Kwanza, yafahamu malengo yenyewe Yanayojirudia kila mwaka. Kama Ni kusafiri kwenda kuwaona wazazi, kupanda miti, kuchapa…
-
Sababu Tano Kwa Nini Afrika Ndiyo Eneo Pekee Unapoweza Kutengeneza Mabilioni ya Fedha Zaidi Ya Eneo Jingine Hapa Duniani
Kabla ya julai 2016, nilikuwa napenda sana kufuatilia taarifa ya habari. Na mara kwa mara nilipokuwa nikisikiliza taarifa ya habari nilisikia wakitangaza kuwa kuna watu wamekamatwa wakijaribu kuingia Ulaya kinyume na utaratibu au pengine walisema kuna maelfu wameaga dunia baharini wakati wanavuka kuingia Ulaya. Wote hawa walikuwa wanaenda huko ili kutafuta maisha mazuri au…
-
Njia 5 Za Kuifanya Fedha Ikufuate
Kuna watu wana tabia ambazo kwa vyovyote vile zinaendelea kuvuta fedha kwao. Na wengine kwa tabia yao, hata iweje Ni LAZIMA tu fedha iwakimbie. Umewahi kujiuliza Ni kwa jinsi gani unaweza kufanya fedha ivutike kwako mara kwa mara. Zifuatazo Ni njia tano za kuivuta fedha kwako. 1. TOA THAMANI KUBWA KWA WATU. Labda kwanza…
