-
Tafuta kitu cha kusifia kwa mtu
Mara nyingi huwa tunatafuta ubaya au kitu kibaya kinachoonekana kwa wengine. Ndiyo maana wengi wanapenda umbea kwa sababu unakutanisha watu ili kuwasema wengine. Kitu kimoja kikubwa tunachojifunza leo ni kuwa mbali na mapungufu ya watu, mabali na makosa yao. Bado kuna vitu ambavyo wanaweza kufanya vizuri. Kuna vitu vizuri kutoka kwa kwa hao watu…
-
Ijali sana fedha yako
Ijali sana fedha yako, usiwe mwepesi wa kuitumia baada ya kuipata. Na hata unapoamua kuitumia, usiitu ie kwenye mambo ambayo si ya msingi. Jitahidi kuiwekeza fedha yako ili kukupa fedha zaidi hapo baadaye. Kamwe, usikimbilie kuitumia hovyo fedha yako kwa sababu tu, ipo. Ukiitumia hovyo, unaweza kulia hapo baafhapo baadaye kwa sababu tu ya kuitumia…
-
USIFANYE UWEKEZAJI WOWOTE ULE BILA KUJUA KITU HIKI
Kama una mpango wa kuanza uwekezaji sehemu yoyote ile, hakikisha kwamba hauanzi kufanya uwekezaji bila kuwa na elimu na maarifa ya kutosha kuhusu uwekezaji ambao umeamua kuufanya. Ni bora uendelee kukaa na fedha zako kwa kipindi hiki ambacho hauna maarifa kuliko kuzitoa sadaka na kuwekeza bila ya maarifa sahihi kwenye kile unachoweza. Au la…
-
Inawezekana Wewe Kuwa Mwekezaji
Zamani nilipokuwa nikisikia neno mwekezaji basi nilikuwa najua lazima tu mwekezaji awe ametoka nje ya nchi. Lakini sasa hivi naujua ukweli. Na ukweli huu ni kuwa wewe na Mimi tunaweza kuwa wawekezaji pia. Unapoanza kuzungumzia uwekezaji wengi hufikiri kuhusu gharama za uwekezaji kuwa kubwa. Wengi wanadhani ili uwe mwekezaji basi unapaswa kuwa na kiwango kikubwa…
-
Muda Mzuri wa WEWE kuanza KUjifunza UWEKEZAJI
hivi umewahi kujiuliza ni muda gani mzuri wa wewe kujifunza kuhusu uwekezaji. je, pale unapokuwa mdogo au pale unapokuwa mkubwa. je, ni pale unapokuwa na fedha au pale unapokuwa huna fedha. kukna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka kumi iliyopita, ila muda mzuri zaidi wa wewe kupanda miti…
-
Unapata kile unachorudia kufanya.
Kama wewe una mpango wa kuwa huru kiuchumi. Anza kuweka akiba kidogo kidogo hata kama utakuwa unaenda taratibu kuliko ambavyo ungetamani, ila kwa kuwa hiyo akiba unaiweka, Basi jua kuwa upo kwenye njia nzuri ya KUELEKEA mafanikio makubwa. Kinyume chake pia Ni sawa. Kama wewe Ni tajiri na kila siku unatumia kiwango kikubwa cha…
-
Karibu kwenye songambele blog
Karibu kwenye songambele blog. Blogu yenye makala zaidi ya elfu moja 1000+ na mafunzo mengine mengi kwa njia ya picha na sauti. Kila siku nitaendelea kukuletea masomo na mafunzo zaidi mpaka uweze kufikia kiwango kikubwa Cha mafanikio. Kufanikiwa Ni haki yako, hivyo usikubali kuipoteza. Kuna mafunzo huwa natuma kwa niunge barua prpe jiunge na…
-
Inawezekana Kama Utaamua Kujitoa MzimaMzima
Si unajua kila mtu huwa ana vipaji vyake vya kipekee. Kuna watu ambao huwa wanaamua kuvitumia vipaji hivi. Huku wengine wakivizika vipaji hivi. Kitu kikubwa kwako, unapaswa kutumia vipaji vyako kiasi kwamba siku ukiaga dunia uwe unashangilia kuwa ulitumia kila kitu ulichokuwa nacho bila kubakiza kitu. Soma Zaidi: KONA YA SONGA MBELE; Zaeni Mkaongezeke. Subscribe…
-
Inawezekana Kama Hautangalia Nyuma
Mhispania Hernán Cortés aliweka rekodi ya kipekee Sana alipoenda kupigana Mexico (Aztec) Kwanzaalienda kupigana na jeshi dogo (watu 600 tu). Pili, alipofika vitani alichoma meli zake moto na kuwaambia wanajeshi wake wote kuna uamuzi mmoja mkubwa uliobaki. Kushinda vita au kufa. Kwa hiyo, hakukuwa na njia nyingine ya kurudi nyuma maana alishachoma meli zake…
-
Inawezekana Kuinuka Tena Baada Ya Kuanguka
Kama hujawahi kuanguka maana yake hujawahi hata kujaribu. Ila kama umewahi kufanya au hata kujaribu basi unajua wazi kuwa kuna changamoto na vikwazo ambavyo huwa vipo katika safari yoyote ya kimafanikio. Muda mwingine katika safari kama hii unakuta umeanguka. Hata hivyo, ninachopenda kukwambia ni kuwa unapaswa kuinuka hata baada ya kuanguka. Ukianguka 1. Jiulize kitu…
-
Kuna fedha naisubiri…
Imekuwa inatokea mara kwa mara watu wanaahidiwa fedha na kuanza kuweka mipango kamambe juu ya hiyo fedha. Hata hivyo huwa kuna mawili kwenye fedha ya kuahidiwa. Inaweza kutumwa kweli. Au isitumwe kabisa kitu ambacho kitakukwamisha au la utaendelea kusema, Kuna fedha naisubiri. Unaweza kupanga kufanya mipango mingi kiasi kwamba fedha hiyo inapokuja, unashindwa kufanya…
-
Inawezekana kuondokana na madeni
Madeni ni moja ya kitu ambacho kinawasumbua watu wengi na hivyo kuwafanya washindwe kuwa na uhuru lakini hapohapo kuwanyima mwanya wa kuufikia uhuru wa kifedha. Sasa ukweli ni kwamba, inawezekana wewe hapo kuufikia uhuru wa kifedha na kuondokana na madeni. Vifuatavyo ni vitu muhimu vya kufanya ili uweze kuondokana na madeni. Kwanza orodhesha madeni yako…
-
INAWEZEKANA
Inawezekana wewe kufikia kiwango cha mafanikio unachotaka. Inawezekana wewe kuishi bila madeni. Inawezekana wewe kuifikia ndoto yako kubwa. Inawezekana wewe kuufikia uhuru wa kifedha. Kiufupi hakuna kitu ambacho Kama utaamua kufanya kitashindikana. Ila itapaswa kuweka malengo ya kufikia kitu hicho. Kisha kuanza kuyafanyia kazi hatua kwa hatua. Ebu Sasa niambie ni kitu gani ambacho wewe …
-
UKISIMAMA MBELE YA MUNGU
Umepewa kipaji hivyo unapaswa kukitumia vizuri kiasi kwamba siku ukifa ukaenda mbele ya Mungu usiwe umeacha hata tone la kipaji chako ambacho hakijatumika. Kiasi kwamba uwe na ujasiri wa kumwambia Mungu kuwa ulichonipa chote nimekitumia.
-
Jinsi Ya Kudandia Teknolojia Mpya
Tunaishi katika dunia ambapo teknolojia mpya inazidi kubadilika kila siku. Sasa mabadiliko haya ya kiteknolojia hayapaswi kukuacha nyuma muda wote. Kuna namna ambayo unapaswa kuitumia ili uweze kuendana na mabadiliko haya. Ebu fikiria kwa mfano Sasa hivi, uwepo wa maroboti umeanza kuwafanya watu wakose kazi hata wale ambao ziku zote walikuwa na kazi ambazo ziliaminika…
-
JITUME KWA FAIDA YAKO
Katika kazi yoyote ile unayofanya jenga utaratibu wa kujituma na kufanya kazi kwa bidii. Hata kama kazi hiyo siyo yako. Unapojituma humnufaishi mtu yeyote, unakuwa unajinufaisha mwenyewe. Hata kama kazi umelipwa fanya zaidi ya vile unavyolipwa. Usiangalie manufaa ya muda mfupi badala yake angalia manufaa ya muda mrefu. Hivyo jitume zaidi kwa manufaa yako.…
-
Jifunze Kitu Kwa Kila Mtu
Usiwachukulie poa watu ambao unakutana nao leo. Kila mtu ana funzo kubwa ambalo unaweza kulipata haijalishi mtu huyo amefanikiwa au hajafanikiwa. Bado kuna kitu kikubwa cha kujifunza kwake. Kama amefanikiwa hapo ndio unahitaji kujifunza mbinu alizotumia yeye mpaka kufanikiwa. Zitumie mbinu hizo kwa manufaa yako pia. Kama hajafanikiwa ila anapambana kuelekea ndoto yake, bado unaweza…
-
Hii Hapa Ndiyo Sababu Kuu Inayopaswa Kukusukuma Wewe Kutimiza Ndoto Yako
pata nakala ngumu kwa kuwasiliana na 0755848391 Umewahi kujiuliza ni kwa nini unapaswa kutimiza ndoto za maisha yako? Kwa nini?Kwenye kitabu changu cha Jinsi Ya Kufikia Ndoto Zako (ukurasa wa 36-38) nimeeleza sababu kumi za kwa nini unapaswa kufanyia kazi ndoto zako. Siku ya leo ninaenda kukupa sababu moja ya ziada na hivyo…
-
Ifuatayo ni orodha kamili ya vitabu vyangu vyote
Ifuatayo ni orodha kamili ya vitabu vyangu vyote. Ni kitabu gani ambacho hujasoma? Chagua kimoja ukipate kwa punguzo la asilimia 20 leo ikiwa ni siku valentine. Hivi vya kwanza ni hardcopy👇👇 1. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO (20,000). (Hardcopy) 2. Kutoka sifuri MPAKA KILELENI (10,000) (hardcopy) Hivi vingine Ni soft copy👇👇 3. Nyuma ya ushindi…
-
Wiki hii kwa ufupi: Masomo Sita Yaliyotikisa Wiki Hii
Juma la saba la mwaka 2021 limeshafika ukingoni. Ule mwaka uliokuwa unaonekana mpya sasa umeshaanza kuota mvi za uzee. Sio mpya tena. Wengi walioweka malengo wameshayasahau na wengine hawajachukua hata hatua moja kufanya kitu KUELEKEA hayo malengo yao. Hili siyo mimi tu ninayelisema, bali tafiti za kitaalamu pia zinaonesha hivyo. Tafiti zinaonesha asilimia kubwa…
