-
Nguvu ya lengo moja kuelekea mafanikio makubwa
Kama unataka kuwa na maisha bora na yenye maana, anza kwa kuwa na lengo ambalo unaenda kufanyia kazi maishani mwako. Kuwa na lengo tu kunaweza kukufanya ubadili tabia zako na mambo mengine yote. Kutakufanya upangilie ratiba zako upya. Kutakufanya ubadili namna ya unavyonunua vitu na kutumia fedha zako n.k. Kitu hiki kitalaamu kinaitwa Diderot effect.…
-
Ujumbe Muhimu Watu Ambao Wanahitaji Kutoka Kwako
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Kuna kitu kimoja ambacho watu wanahitaji kutoka kwako rafiki yangu. Na kitu hiki hapa ni ujumbe wa matumaini. Watu wanahitaji sana ujumbe wa matumaini kutoka kwako. Ujue tunaishi kwenye ulimwengu ambapo watu wanakatishwa tamaa sana, taarifa za habari nyingi zinaoneshwa katika namna ya kukatisha…
-
Kitu muhimu kitakachokutofautisha wewe na watu wa kawaida
Kuna vitu ambavyo watu waliofanikiwa na watu waliobobea huwa wanafanya ila watu wa kawaida huwa hawavifanyi. Mojawapo ya kitu hicho ni kufanya kazi kila siku bila kujali kitu gani ambacho kinatokea. Ujue kila mtu anaweza kufanya kitu chochotge kwa kujiskikia kisha akaacha, ila watu waliofanikiwa hawafanyi vitu kwa kujisikia au kutojisikia. Bali wanafanya kwa…
-
Hii Ni Zawadi Ambayo Inadumu Milele
Siku ya leo napenda tu kukwambia zawadi moja ya kipekee ambayo najua unayo ila pengine umekuwa hauitumii vyema. ni zawadi ya familia. familia ni zawadi ambayo unayo na inadumu milele. hivyo, ni jukumu lako kuhakikisha kwamba unaitumia vyema zawadi hii. Hakikisha kwamba unapokuwa na wanafamilia wako mmnafurahia kuwa pamoja waambie wanafamilia wako kwamba unawapenda. kama…
-
Kuwa Mtu Wa Kusema Ukweli
Imepita 9 hivi tangu niliposoma riwaya ya S. N. Ndunguru inayoitwa The Divine Providence. Kiufupi ukiniambia nikuueleze riwaya hiyo hata kwa ufupi, siwezi kusema chochote kuhusu hiyo riwaya. Sikumbuki hata ilikuwa inahusu nini. Isipokuwa nakumbuka kitu kimoja tu kutoka kwenye ile riwaya. Kitu hiki sijawahi kukisahau na wala sitakuja kukisahau. Na kitu hiki kinakutwa kwenye…
-
Kosa Kubwa Linalogharimu Wengi Kwenye Fedha
Njia rahisi ya wewe kupoteza fedha ni pale unapoanza kutumia fedha yako ili kuwaonesha watu kuwa una fedha. Pale unaponunua vitu ili watu wajue kuwa una fedha. Hapo unakuwa umeingia kwenye mtengo mbaya ambao unakufanya usiishi maisha yako, badala yake unaanza kuishi maisha kwa kuangalia wengine watakuonaje. Ni mtego mbaya maana mwisho wa siku…
-
Tafuta kitu cha kusifia kwa mtu
Mara nyingi huwa tunatafuta ubaya au kitu kibaya kinachoonekana kwa wengine. Ndiyo maana wengi wanapenda umbea kwa sababu unakutanisha watu ili kuwasema wengine. Kitu kimoja kikubwa tunachojifunza leo ni kuwa mbali na mapungufu ya watu, mabali na makosa yao. Bado kuna vitu ambavyo wanaweza kufanya vizuri. Kuna vitu vizuri kutoka kwa kwa hao watu…
-
Ijali sana fedha yako
Ijali sana fedha yako, usiwe mwepesi wa kuitumia baada ya kuipata. Na hata unapoamua kuitumia, usiitu ie kwenye mambo ambayo si ya msingi. Jitahidi kuiwekeza fedha yako ili kukupa fedha zaidi hapo baadaye. Kamwe, usikimbilie kuitumia hovyo fedha yako kwa sababu tu, ipo. Ukiitumia hovyo, unaweza kulia hapo baafhapo baadaye kwa sababu tu ya kuitumia…
-
USIFANYE UWEKEZAJI WOWOTE ULE BILA KUJUA KITU HIKI
Kama una mpango wa kuanza uwekezaji sehemu yoyote ile, hakikisha kwamba hauanzi kufanya uwekezaji bila kuwa na elimu na maarifa ya kutosha kuhusu uwekezaji ambao umeamua kuufanya. Ni bora uendelee kukaa na fedha zako kwa kipindi hiki ambacho hauna maarifa kuliko kuzitoa sadaka na kuwekeza bila ya maarifa sahihi kwenye kile unachoweza. Au la…
-
Inawezekana Wewe Kuwa Mwekezaji
Zamani nilipokuwa nikisikia neno mwekezaji basi nilikuwa najua lazima tu mwekezaji awe ametoka nje ya nchi. Lakini sasa hivi naujua ukweli. Na ukweli huu ni kuwa wewe na Mimi tunaweza kuwa wawekezaji pia. Unapoanza kuzungumzia uwekezaji wengi hufikiri kuhusu gharama za uwekezaji kuwa kubwa. Wengi wanadhani ili uwe mwekezaji basi unapaswa kuwa na kiwango kikubwa…
-
Muda Mzuri wa WEWE kuanza KUjifunza UWEKEZAJI
hivi umewahi kujiuliza ni muda gani mzuri wa wewe kujifunza kuhusu uwekezaji. je, pale unapokuwa mdogo au pale unapokuwa mkubwa. je, ni pale unapokuwa na fedha au pale unapokuwa huna fedha. kukna mtu mmoja aliwahi kusema kwamba muda mzuri wa kupanda mti ulikuwa ni miaka kumi iliyopita, ila muda mzuri zaidi wa wewe kupanda miti…
-
Unapata kile unachorudia kufanya.
Kama wewe una mpango wa kuwa huru kiuchumi. Anza kuweka akiba kidogo kidogo hata kama utakuwa unaenda taratibu kuliko ambavyo ungetamani, ila kwa kuwa hiyo akiba unaiweka, Basi jua kuwa upo kwenye njia nzuri ya KUELEKEA mafanikio makubwa. Kinyume chake pia Ni sawa. Kama wewe Ni tajiri na kila siku unatumia kiwango kikubwa cha…
-
Karibu kwenye songambele blog
Karibu kwenye songambele blog. Blogu yenye makala zaidi ya elfu moja 1000+ na mafunzo mengine mengi kwa njia ya picha na sauti. Kila siku nitaendelea kukuletea masomo na mafunzo zaidi mpaka uweze kufikia kiwango kikubwa Cha mafanikio. Kufanikiwa Ni haki yako, hivyo usikubali kuipoteza. Kuna mafunzo huwa natuma kwa niunge barua prpe jiunge na…
-
Inawezekana Kama Utaamua Kujitoa MzimaMzima
Si unajua kila mtu huwa ana vipaji vyake vya kipekee. Kuna watu ambao huwa wanaamua kuvitumia vipaji hivi. Huku wengine wakivizika vipaji hivi. Kitu kikubwa kwako, unapaswa kutumia vipaji vyako kiasi kwamba siku ukiaga dunia uwe unashangilia kuwa ulitumia kila kitu ulichokuwa nacho bila kubakiza kitu. Soma Zaidi: KONA YA SONGA MBELE; Zaeni Mkaongezeke. Subscribe…
-
Inawezekana Kama Hautangalia Nyuma
Mhispania Hernán Cortés aliweka rekodi ya kipekee Sana alipoenda kupigana Mexico (Aztec) Kwanzaalienda kupigana na jeshi dogo (watu 600 tu). Pili, alipofika vitani alichoma meli zake moto na kuwaambia wanajeshi wake wote kuna uamuzi mmoja mkubwa uliobaki. Kushinda vita au kufa. Kwa hiyo, hakukuwa na njia nyingine ya kurudi nyuma maana alishachoma meli zake…
-
Inawezekana Kuinuka Tena Baada Ya Kuanguka
Kama hujawahi kuanguka maana yake hujawahi hata kujaribu. Ila kama umewahi kufanya au hata kujaribu basi unajua wazi kuwa kuna changamoto na vikwazo ambavyo huwa vipo katika safari yoyote ya kimafanikio. Muda mwingine katika safari kama hii unakuta umeanguka. Hata hivyo, ninachopenda kukwambia ni kuwa unapaswa kuinuka hata baada ya kuanguka. Ukianguka 1. Jiulize kitu…
-
Kuna fedha naisubiri…
Imekuwa inatokea mara kwa mara watu wanaahidiwa fedha na kuanza kuweka mipango kamambe juu ya hiyo fedha. Hata hivyo huwa kuna mawili kwenye fedha ya kuahidiwa. Inaweza kutumwa kweli. Au isitumwe kabisa kitu ambacho kitakukwamisha au la utaendelea kusema, Kuna fedha naisubiri. Unaweza kupanga kufanya mipango mingi kiasi kwamba fedha hiyo inapokuja, unashindwa kufanya…
-
Inawezekana kuondokana na madeni
Madeni ni moja ya kitu ambacho kinawasumbua watu wengi na hivyo kuwafanya washindwe kuwa na uhuru lakini hapohapo kuwanyima mwanya wa kuufikia uhuru wa kifedha. Sasa ukweli ni kwamba, inawezekana wewe hapo kuufikia uhuru wa kifedha na kuondokana na madeni. Vifuatavyo ni vitu muhimu vya kufanya ili uweze kuondokana na madeni. Kwanza orodhesha madeni yako…
-
INAWEZEKANA
Inawezekana wewe kufikia kiwango cha mafanikio unachotaka. Inawezekana wewe kuishi bila madeni. Inawezekana wewe kuifikia ndoto yako kubwa. Inawezekana wewe kuufikia uhuru wa kifedha. Kiufupi hakuna kitu ambacho Kama utaamua kufanya kitashindikana. Ila itapaswa kuweka malengo ya kufikia kitu hicho. Kisha kuanza kuyafanyia kazi hatua kwa hatua. Ebu Sasa niambie ni kitu gani ambacho wewe …
-
UKISIMAMA MBELE YA MUNGU
Umepewa kipaji hivyo unapaswa kukitumia vizuri kiasi kwamba siku ukifa ukaenda mbele ya Mungu usiwe umeacha hata tone la kipaji chako ambacho hakijatumika. Kiasi kwamba uwe na ujasiri wa kumwambia Mungu kuwa ulichonipa chote nimekitumia.
