-
FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO
Usichukulie poa KIPAJI CHAKO. Kuna watu wana vipaji ambavyo wanaweza kuvitumia kufanya MAAJABU Ila hawafanyi hivyo. Unaweza kukuta mtu ana uwezo kuchora mchoro mzuri kweli ambao wewe ukiuangalia lazima tu utaduwaa! Ila akishauchora anaufuta au kuchana karatasi aliyochorea. Kisa eti kwa sababu anaweza kuuchora mchoro huo au hata ulio bora zaidi ya huo muda…
-
Kuhusu Kufanya Maamuzi
Kuna wakati unajikuta njia panda ukiwa unatakiwa kutoa maamuzi. Lakini unashindwa ufanye nini au usifanye nini. Kitu muhimu kufahamu ni kuwa unapaswa kufanya maamuzi. Kufanya maamuzi ni bora kuliko kutokuchukua hatua kabisa. Ukifanya maamuzi ukakuta hayakuwa sahihi, utajifunza na kuendelea mbele. Kama yalikuwa maamuzi sahihi ni wazi kuwa utanufaika. Lakini usipochukua hatua na kubaki kwenye…
-
Mo Dewji Afunguka Mazito Linapokuja Suala La Fedha.
Moja kati ya mtandao wa kijamii ambao huwa siutumii sana ni mtandao wa twitter. Na vile sina app ya twitter kwenye simu yangu, naweza kukaa hata mwezi bila kujishughulisha nayo. Ila huwa inatokea siku moja moja tu naukumbuka mtandao huu na hivyo kuingia hasa ili kuposta maandiko yangu. Sina hakika hata nimewafollow watu wangapi…
-
KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWENYE NYASI
Jipatie nakala hii kwa 5,000 tu. Tuwasiliane 0755848391 Habari ya asubuhi rafiki yangu! Siku ya leo napenda tujifunze kutoka kwa nyasi! Ndio nyasi kama nyasi๐. Nyasi huwa zinaonewa sana. Mara utakuta zimechomwa moto. Siku nyingine zimekanyagwa. Wakati mwingine zimelimwa. Au kufyekwa. Ila mara zote hizo huwa zinaota tena. Ukizichoma moto inakuwa kama umeziita, zinaota…
-
Fanya Hivi Ili Uweze Kupata Fedha Nyingi
Kama unataka kushika fedha nyingi, anza kwanza kutumia vizuri fedha kidogo ulizonazo. Ukishindwa kutumia vizuri fedha kidogo kwa uamimifu, ujue wazi hata fedha kubwa zitakushinda. Pata nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA sasa ili ujifunze jinsi ya kutumia vizuri kiasi kidogo unachopata. BONYEZA HAPA Kitabu kinapatikana kwa elfu 7 tu. Godius Rweyongeza (Songambele)…
-
Nisikilize Mimi. Wazo Lako Hilo Sio Bora!
Add caption Ndio! Wala hakuna mtu ambaye amewahi kuwa na wazo bora. Naona sasa unaanza kusema; “acha uongo kwani wazo la kuanzisha _search engine_ ya Google si lilikuwa bora? Na Mimi nakwambia halikuwa wazo bora? Wazo huwa linakuwa bora linapofanyiwa kazi. Facebook halikuwa wazo Bora, Ila lilifanyiwa kazi na kuwa bora. Coca-Cola halikuwa wazo…
-
Mambo Matatu Ya Kujifunza Kutoka Kwa Taifa La Israel
Moja ya taifa ambalo limepiga hatua kiuchumi ni taifa la Israel. Taifa hili sio kwamba lina rasilimali kubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine. HAPANA. Kuna kipindi taifa hili hili lilikuwa na uchumi wa chini sana. sasa hapa kuna vitu ambavyo vinalifanya taifa hili hapa kuendelea na kuzidi kupanuka. 1. wananchi wake kuthubutu. Wanathubutu…
-
Utatimiza Ndoto Yako Kama Utafanya Hivi
Linapokuja suala zima la kutimiza ndoto yako moja ya kitu muhimu unachohitaji ni kujikumbusha juu ya ndoto yako mara kwa mara. Jikumbushe ndoto yako kwa kuiandika, Jikumbushe ndoto yako kwa kuiongea unapokuwa na watu. Jikumbushe ndoto yako kwa kuifanyia kazi. Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ndoto yako itatimia kama utaipa muda na kuifanyia kazi.…
-
SITAKI UNAFIKI; Mambo Saba Ya Kufanya Unapokuwa Na Ndoto Kubwa
Jamii yetu inafurahisha sana, Kuna baadhi ya vitu ambavyo ukisema au kufanya, basi utaonekana mwema na mtu anayefaa. Ila kuna vitu ambavyo ukisema au kufanya basi utaonekana mnafiki, asiyefaa na mwenye tamaa. Waambie watu kuwa unapenda kuajiriwa basi watakufurahia kwelikweli. Ila waambie hutaki, wakati wanaona kabisa vyeti vyako viko vizuri kwa asilimia mia, watakimbilia…
-
Usirudie tena kosa hili. (Fungu la Mungu vs Fungu Lako)
wa ya watu wanafahamu vizuri Kuwa linapokuja suala la fedha, basi wanapaswa kutoa fungu la kumi kwa ajili ya kumtolea Mungu, kulingana na imani ya mtu. Hata hiyo, wanasahau kuwa lipo fungu la kumi la pili ambalo mtu anapaswa kujilipa Mwenyewe. Hili si la kutoa sadaka wala kumtolea Mungu kama lile la kwanza. Hili Fungu…
-
Mambo Matano Ya Kufanya Ili Uache Alama Hapa Duniani Na Kukufanua Uishi Milele
Siku ya leo nina booonge la stori!! Ngoja nicheke kwanza๐๐. Na wewe unaweza kucheka pia๐๐. Ee bwana ee, siku hiyo bhana jamaa ndio alikuwa kwenye msiba wa kaka yake, akiwa na majonzi ya kumpoteza mpendwa wake. Hiyo ilikuwa ni miaka 1880, kabla ya simu janja kama hii ninayoitumia leo kukuandikia andiko hili. Lakini pia kipindi…
-
Ebu Na Wewe Pata Muda Wa Kushangaa Hili Hapa
Jipatie nakala ya kitabu hiki hapa kwa KUBONYEZA HAPA Kuna baadhi ya watu ambao wanakumbuka magoli aliyofunga mchezaji wa timu fulani kwa miaka hata kumi iliyopita. Wengine wanafahamu kwa uhakika kuhusu mwenendo wa timu fulani kuanzia miaka ya 1960 mpaka leo hii, lakini watu hao hao ukiwauliza mwenendo wa maisha yao ya kifedha…
-
ACHA UTAPELI WEWE? Hivi Ndivyo Unaweza Kuondoka Kwenye Mtego Wa Kujitapeli Mwenywe Maishani Mwako
Jana nilikuwa naangalia TEDTALK iliyotolewa na Ashley Stahil mwaka 2014. Kwenye maongezi yake alianza kwa kutoa stori fupi jinsi siku moja alivyotekwa na baadaye watekaji wakawa wanataka fedha kutoka kwa wazazi wake. Sasa baada ya tukio hilo lote kuisha Ashley alikuwa anajiuliza swali, hivi inawezekanaje watu wakachagua kufanya kazi kama hiyo maishani mwao. Kwa…
-
Umuhimu Wa Kuw Na Misingi Unayosimamia Maishani
Ni muhimu sana kwenye maisha yako kuwa na misimamo na kuhakikisha kwamba unaisimamia, ikitokea kwamba umevunja msingi mmoja, utajikuta kwamba unavunja kila msingi ambao umejiwekea kwenye maisha na hivyo kuanza kuishi maisha ambayo hayana maana. Jijengee misingi sahihi, ifuate na iishi hiyo misingi bila kujali kwamba unapitia katikahali gani. kuna vitu vidogo unaweza kuona…
-
TOFAUTI KATI YA BLOGU NA TOVUTI
Moja ya swali ambalo watu wanapenda kuuliza ni tofauti kati ya blogu na tovuti. Siku ya leo nimeona nikueleze hizi tofauti ili na wewe uweze kuzifahamu. Blogu ni aina ya tovuti ambayo machapisho yake hujipanga kwa mangilio, huku yale yaliyowekwa kwa tarehe za karibuni yakionekana juu zaidi ukilinganisha ya yale ambayo yaliwekwa tarehe za…
-
Vitabu Viwili (02) Nilivyosoma Mwezi wa Nane
Mwanzoni mwa mwezi wa nane, nilianzisha utaratibu wa kukushirikisha vitabu ambavyo ninakuwa nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Na kwa mwezi wa nane nilikushirikisha vitabu nane nilivyosoma mwezi wa saba. sasa mwezi huu wa Tisa ningependa kukushirikisha vitabu vyangu 9 nilivyosoma mwezi wa saba. Bonyeza hapo chini kuangalia hilo somo. hakikisha kwamba UMESUBSCRIBE kwenye hiyo channel…
-
UMUHIMU WA ENEO KWENYE BIASHARA
pata nakala ya kitabu hiki kwa kuboonyeza HAPA Moja ya kitu muhimu kwenye biashara ni eneo. Yaani, unaweza kuwa na biashara nzuri lakini kama hutaiweka eneo zuri basi ni wazi kuwa utakuwa umekosea sana. Ebu chukulia mtu anafanya biashara ya kuuza magari na biashara yake akaiweka kijijini kabisa. japo biashara ni nzuri lakini…
-
Ni mpaka pale unapofanya kitu kinapowezekana
Mara nyingi vitu vingi huwa vinaonekana haviwezekani. ila ukiamua kwa dhati kuvifanyia kazi lazima tu vitawezekana. Kwa vile vitu ambavyo wewe umekuwa unaona haviwezekani, ebu amua kuwa ndani ya wiki hii ambayo tumeanza kuwa unaenda kuvifanya. na kweli vifanye bila kukosa. Mwisho wa siku utajikuta kwamba umeweza kutimiza vile ambavyo watu walikuwa wanasema haiwezekani, au…
-
Hivi Ndivyo Nilivyojibu Swali Nililoulizwa Kuhusu Kitabu Cha Kutoka Mpaka Kileleni
Jana nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na maelezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini. “…mtu akifanya kazi huyaelekea malengo…
-
Kama Unataka Kulipwa Zaidi, Basi Fanya Hivi
Rafiki yangu unaendeleaje. leo hii ningependa nikupe mbinu ambayo itakuwezesha wewe kulipwa zaidi. na ukweli ni kuwa kama unataka kulipwa zaidi rafiki yangu basi jifunze kuhusu mauzo. ukiweza kuwa muuzaji mzuri basi ni wazi kuwa huwezi kulala njaa hata siku moja. ila kama haujui kuuza utalala njaa mara nyingi tu. unaweza kushangaa na kujiiuliza hivi…
