-
Jinsi Ya Kuchagua Fungu Lililobora
Katika kuongea na watu wengi, wapo ambao huwa wananiambia kuwa wanapenda kusoma ila kutokana na bei za vitabu kuwa juu, basi wanashindwa kununua vitabu hivyo. Ila upande wa pili umekuwa ni tofauti. Ukikutana na watu waliofanikiwa na watu wanaosoma vitabu huwa wanalipia vitabu hata vya gharama kubwa, na wao ukiwauliza kwa nini wanafanya hivyo, utasikia…
-
USIWE MJINGA
Mtu wa kukubaliana na kila kitu ambacho umesikia kinasemwa na mtu fulani. Badala yake, jijengee utaratibu wa kupembua kila kitu unachosikia ili mwisho wa siku ufikie maamuzi yako ambayo ni sahihi. Ile ofa ya kupata kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kwa shilingi elfu 1 badala ya elfu sita inaendelea. Wasiliana nami Sasa kwa 0755848391…
-
Kitabu Cha AKILI YA DIAMOND kinazungumzia nini kwa ufupi?
Hili ni swali nimeulizwa leo, ambalo pengine na wewe unaweza kuwa unajiuliza swali hilo. Kiufupi, Hiki ni kitabu cha mafanikio. Kimezungumzia mambo 50 ya kimafanikio ila mtu wa mfano mwanzo mpaka mwisho wa kitabu ni DIAMOND PLATINUMZ. Vitu vyote vilivyoongelewa kwenye kitabu vinaweza kugawanywa kwenye vipengele vikuu vitatu. Kwanza ni KIPAJI (Utajifunza kuhusu jinsi…
-
SHUGHULIKA NA MAMBO YAKO
Juzi asubuhi nilikuwa namwagilia kwenye bustani yangu. Nyuma yangu kulikuwa ndege aina ya yangeyange kama kumi hivi. Sikuwa na muda nao maana wao walikuwa wanaendelea na biashara zao na mimi nashughulika na yangu. Nikiwa naendelea walitokea yangeyange wengine ambao walikuwa kama ishirini hivi. Wale waliokuwa nyuma yangu nao waliruka na kuungana na wenzao wakielekea mashariki…
-
KUWA TAYARI KULIPA GHARAMA
Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391 Asilimia KUBWA ya watu wanaandika kwa kutumia mkono wa kulia. Ukimwuliza anayetumia mkono was kulia kuandika, kwa nini hajatumia mkono wa kushoto? Atakwambia, siwezi. Ila ukweli sio kwamba hawezi Bali hajachukua hatua KUJIFUNZA kutumia mkono wa kushoto kuandika. Ila ukichukua hatua na kufanya mazoezi…
-
WEKEZA KIDOGO, PATA ZAIDI
Jipatie nakala ya kitabu hiki kwa kuwasiliana nami kwa 0755848391 Warren Buffet aliwahi kunukuliwa akisema kuwa uwekezaji mkubwa ambao mtu unaweza kuufanya no kuwekeza katika yeye. Kumbe kabla hujafikiria kuwekeza maeneo mengine, Anza kuwekeza katika wewe mwenyewe. Na moja ya njia bora zitakazokuwezesha kuwekeza katika wewe ni kwanza kujiongezea maarifa mara kwa mara. Tunaishi…
-
Fikra Tano Zinazokufanya Uzuie Mafanikio Makubwa
Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa zawadi ya siku nyingine. Leo hi nimeona nikushikirikishe fikra tano ulizonazo Sasa hivi ila zinakukwamisha. Kama utaendelea na fikra hizi hasa kwa mwaka mpya 2021, utazuia mafanikio makubwa kuja kwako. Fikra ya kwanza ni were kufikiri kuwa mafanikio yapo kwa uhaba. Yaani, kwamba mtu mmoja…
-
IPAMBANIE KESHO YAKO
Siku moja Arnord Shwarzenegger alikuwa akihadithia jinsi alivyopata ajali na kutoa damu wakati wanaendelea kurekodi tamhiliya. Kwa hali ya kawaida ya ubinadamu kila mtu alimwonea huruma na hasa director wake na hivyo alitaka wasitishe hilo zoezi la kurekodi tamhiliya ili Arnold aende hospitali kutibiwa kwanza. Lakini Arnold Shwarzenegger alikataa. Alisema, “nimekuja hapa kurekodi tamhiliya…
-
Siri Tano Zitakazokuwezesha Kufanikisha Malengo Makubwa 2021
Hiki ni kitabu changu bora Cha mwaka 2020. Anasema Mary Leo nimeikumbuka hadithi ya Anne Lamott. Kwenye kitabu chake cha Bird by Bird ameeleza JINSI siku moja alivyokuwa amepewa kazi ya kuchora ndege wengi kama kazi ya nyumbani kutoka shuleni. Alipofika nyumbani, aliona michoro ni mingi na hivyo akawa ameikatia tamaa. Lakini baba yake…
-
Vikwazo vitano vitakavyokuzuia KUFIKIA NDOTO ZAKO ndani ya 2021
Mwaka 2020 unaelekea kuisha. Umekuwa ni mwaka wenye matukio mengi sana ndani yake. Kuna watu waliweka malengo mwanzoni mwa mwaka ila hawakuanza kuyafanyia kazi, wakisubiri mpaka katikati mwa mwaka. Baadaye ulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Corona. Watu waliendelea kuhairisha zaidi malengo mpaka Corona iishe. Baadaye ulifuata uchaguzi mkuu. Nao uliwafanya watu wengi wamezwe kwenye…
-
JINSI YA KUOMBA FEDHA KUTOKA KWA WATU WENGINE: Njia Sita Zilizothibitishwa na Zisizoshindwa
Walau kila mtu aliyekuzunguka ana kiasi fulani cha fedha ambacho yupo tayari kukitumia. Kuna mtu unaweza kuwa naye na akawa anakwambia kuwa hana fedha hata kidogo. Lakini wakati mnaendelea na maongezi, kinaweza kupita kitu fulani ambacho mtu huyo anapenda na mtu huyo akawa tayari kukilipia. Sasa unaweza kujiuliza, hivi kweli mtu huyu hakuwa na…
-
KITABU: JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO
JIPATIE nakala hii kwa kupiga simu kwenda 0755848391 Karibia kila mtu ana ndoto maishani mwake. Ukiongea na mtoto mdogo atakwambia ndoto yake kubwa bila ya uoga wowote. Ukiongea na mtu mzima atakwambia ndoto yake pia. Japo watu wenye ndoto ni wengi ila wachache sana ndiyo huwa wanaweza kutimiza ndoto zao. Sasa kwa nini watu huwa…
-
FURSA NI KAMA MAJI YA MTO
Kuna watu huwa wanafikiria kwamba fursa zipo kwa uhaba. Yaani, kwamba akiikosa fursa fulani ndiyo kama amepoteza kila kitu maishani. Kiufupi maisha hayako hivyo na wala fursa haziko hivyo. Fursa ni kama maji ya mto yanavyokuwa yanatiririka. Wewe hapo unaenda kwenye maji hayo unachota na kuondoka, na baadaye anakuja mtu mwingine naye anachota na…
-
Vitu Vitano Kutoka Kwenye Kamusi Ya Watu Wa Kawaida; Viepuke Kwa Manufaa Yako
Nakala za kitabu hiki, zipo (tuwasiliane kwa 0755848391) Watu wote ambao huwa wanaishi maisha ya kawaida huwa wana vitu ambavyo huwa vinawaunganisha. Na vitu hivi huanzia kwenye fikra zao, jinsi wanavyoishi maisha yao ya kila siku,ongea yao na hata ulaji. Muunganiko wa vitu hivi vyote ndiyo huwafanya wawe na maisha ya kawaida. Vitu hivi ndivyo…
-
Kauli Saba Unazopaswa Kuziondoa Kwenye Kamusi Ya Maongezi Yako
Maneno huumba. Ni usemi mfupi wa wahenga ila wenye maana kubwa sana. ni ukweli kuwa maneno yana uwezo wa kuumba kitu chochote. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kizuri, basi unaongea maneno chanya. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kibaya basi unaongea unaongea maneno hasi. Ni hivyo tu. Sasa siku ya leo nimeona nikuletee kauli tano ambazo…
-
Ondoka Kwenye Wimbi La Watu Elfu Moja Wasiozalsha Matokeo, Jiunge Na Watu Wachache Wanaofanya Vitu Vinavyoeleweka
Add caption Ukiingia kwenye chumba chenye watu elfu moja na kuuliza ni wangapi wangependa kuwa mamilionea, ni wazi kuwa unaenda kuona mikono zaidi ya elfu moja ikiwa imenyooshwa juu. Hii ndio kusema kwamba kuna watu wangependa kuwa mamilionea kiasi kamba wananyosha mikono miwili juu. Lakini watu hao ukiwauliza sasa ni wangapi wameshaanza kuchukua hatua…
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kufanya Kama Umeajiriwa
Hapo zamani za kale mfumo wa ajira haukuwepo kabisa. Hata hivyo, zilipoanza zama za viwanda, ndipo na mfumo rasmi wa elimu ukawekwa ili kuzalsisha watu wa aina fulani waliokuw wanahitajika kwenye viwanda lakini wakati huohuo mfumo wa ajira nao ukazaliwa. Kipindi hicho, watu walikuwa wanaandaliwa shuleni ili kukidhi mahitaji yaliyokuwepo kwenye viwanda. na kutokana…
-
Mwisho wa kupata kitabu cha JINSI YA KUWA MWAMDISHI MBOBEVU KWA SHILINGI ELFU TANO TU NI TAREHE 31 MWEZI HUU
Rafiki yangu, tangu tarehe 19 nilipotoa kitabu cha Jinsi ya kuwa mwandishi mbobevu ndani ya siku 30, nimekuwa nikikusisitiza kuwa unaweza kupata kitbu hiki kwa bei ya ofa ambayo ni elfu tano tu badala ya 6,500/-. Ila ofa hii haitadumu kwa muda mrefu. Hivyo, itafikia ukomo wake tarehe 31 mwezi huu. Ni muhimu sana…
-
Vitu Vitano Vitakavyokufanya Upate Mafanikio Yasiyo Ya Kawaida
Ni wazi kuwa kila mtu angependa kupata mafanikio makubwa na mafanikio ambayo watu wengine hawawezi kupata. Hata hivyo, si watu wote wanafanya vile vitu ambavyo vinapelekea kwao kupata mafanikio makubwa. ukweli ni kwamba ukifanya vitu ambavyo kila mtu anafanya, utaishia tu kupata matokeo ambayo kila mtu anapata. Ila ukifanya vitu kwa namna ya tofauti,…
-
Sheria Tano Za Nguvu Zitazokusaidia Kushinda Mengi Kwenye Maisha Ya Mtaani. Zifuate Kwa Faida Yako, Zivunje Kwa Hasara Yako
Pengine utakuwa umesoma 48 Laws of power kitabu kilichoandikwq na Robert Greene. Kama hujawahi kukisoma, basi baada ya kumaliza Kusoma andiko hili utapaswa kukitafuta na kukisoma. 50 CENT ni mmoja wa wasomaji wazuri na watu waliotumia kitabu hiki kwa mafanikio makubwa sana. Hata hivyo, leo hatutaongelea kitabu hiki 48 Laws Of Power…
