-
Kitu cha kufanya pale unapokuwa na ndoto kubwa inayohitaji pesa na wewe hauna pesa.
Mara nyingj unapokiwa unaanza maisha, lazima ndoto zako zitakuwa kubwa. Ni kubwa kiasi kwamba ukimwambia mtu atabaki kushangaa na kukakaa mdomo wazi hadi nzi wakaingia. Bila shaka unekutana na hali hii kama bado utakutana nayo. Wewe unayejua wapi unaenda na kwa nini huwezi kushangaa. Mwingine akisikia ndoto yako atakuuliza pesa utaitoa wapi ya kufanya hayo…
-
Kitu kibaya zaidi ya kutokuwa na macho ya kuona (utashangaa kusoma kitu hiki cha kipekee).
Hellen Keller (1880-1968) alikuwa mwandishi, mwanasiasa na Mwalimu wa chuo. Kwa miaka hiyo alikuwa ni kipofu wa kwanza kupata shahada ya Chuo kikuu. Siku moja alitoa hotuba moja ambayo iligusa maisha ya watu. Baada ya hotuba hiyo waandishi walikusanyika ili kumuuliza maswali ya hapa na pale. Wakati maswali yanaendelea kuulizwa alijitoleza kijana mmoja ambaye alisafisha…
-
Imethibitishwa. Mbinu Za Kitabibu Zinafaa Kutumika Katika Maisha Ya Kawaida Ya Kila Siku
Hongera sana rafiki kwa kuiona siku hii ya leo. Ikiwa ni tarehe 29 August Ukienda hospitali unaumwa utataja tatizo lako kwa mtaalamu wa Afya. Mtaalamu huyu wa Afya kwa kutumia ubobezi wake atakupima au atakusikiliza tu na kisha kutoa dawa. Kuna mambo mengi ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wa afya wa hospitalini ila kwa leo…
-
Hili Ni Jina Ambalo Unapaswa Kuacha Kulazimisha Kujiita
Siku hizi kumekuwepo na watu wengi ambao wanajiita wajasiliamali. Uwepo wa mitandao ya kijamii pia umerahisisha hili kwa kufanya watu wengi waandike kwenye akaunti zao kwamba wao ni wajasiliamali. Pengine utakuta mtu anajitambulisha kwa watu kwamba yeye ni mjasiliamali. Yaani ujasiliamali umekuwa kama cheo vile. Kama vile watu wanavyoitwa daktari, mwalimu, waziri n.k Sasa pia…
-
Kitu Muhimu Unachopaswa Kurekebisha Kwenye Biashara Yako
Ni siku nyingine bora sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Katika biashara kuna mambo mengi sana ambayo unaweza kufanya. Kutunza kumbukumbu, kutafuta wateja wapya, kuuza, kutafuta watu wa kuajiri na mengine mengi. Leo hii napenda nikwambie kitu kimoja muhimu sana ambacho unapaswa kukijua kuhusu biashara yako. Na kitu hiki sio kingine…
-
Haya Ni Mambo Mawili Ambayo Nategema Kutoka Kwako
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa zawadi ya siku hii njema ya leo. Kwa siku Sasa nimekuwa nakushirkisha maarifa ya kukuinua ili ufikie kwenye viwango vya juu kupitia kwenye blogu hii hapa. Leo hii ningependa uyajue mambo mawili ambayo nayategemea kutoka kwako. 1. Kufanyia kazi kile ambacho unajifunza kwenye blogu…
-
Hii Ni Kauli Ya Kishujaa Ambayo Unaweza Kuisema Unapokuwa Umekwama Na Watu Wanaonekana Kwenda Kinyume Chako
Watu wenye ndoto kubwa sana huwa wanafika sehemu ambapo wanakwama kabisa na hali huwa inaonekana kwenda kunyume na matarajio yao. Hapo ndipo watu waliokuwa wakiwaamini tangu mwanzo huanza kuonesha mashaka na pengine kutaka kuwakimbia. Kiukweli ni kipindi kigumu ambacho watu hawa hupitia ila kwa sababu wana ndoto kubwa wanavumilia na hatimaye kwenda wanapotaka. Hiki ndicho…
-
Ungekuwa Wewe Ungefanyaje?
Hivi kama wewe ndio mteja na hiyo biashara unayofanya Sasa hivi inamilikiwa na mtu mwingine ungeenda kweli kununua hapo? Je, kitu gani kingekufanya ukanunue. Je, kama wewe ungekuwa mwajiri na na kazi unaoifanya inafanywa na mtu mwingine. Je, ungeendelea kumbakiza kwa utendaji huo? Kwa nini? Hivi kama wewe ungekuwa tayari umefikia ndoto zako zoote za…
-
Kiu Muhimu Unachopaswa Kujifunza Na Kuvifahamu Kiundani
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana. Leo imekuwa siku bora sana kwetu, ni siku ya kipekee sana ambayo unapaswa kuitumia kufanya kitu ambacho kitabadili maisha yako na kukufanya usonge mbele. Kuna kitu kimoja tu ambacho unapaswa kukifahamu haswa na unapaswa kukifahamu kiundani. Na kitu hiki ni MAUZO.Kila mtu katika maisha huuza. Iwe…
-
Watanzania Tujenge Utaratibu Wa Kukubali Vitu Vyetu.
Juzi nilikuwa kwenye daladala nasoma Kitabu cha JINSI YA KUTOKA UMASIKINI MPAKA MAFANIKIO cha Erick Shigongo. Mara alijitokeza jamaa ambaye alikuja kukaa pembeni mwangu. Baada ya kuwa amekaa na kutulia, jamaa akawa ameona Kitabu nilichokuwa nasoma. Akaniomba akione. Sikuwa mchoyo, nikampa. Baada ya muda akanirudishia Kitabu changu. Nikakawa nasikiliza kwa umakini ili nisikie atakachosema. Ila…
-
Kitu Hiki kitatokea Pale Utakaposema Haiwezekani
Hivi umewahi kufanya jambo na kuona haiwezekani. Au umewahi kufanya jambo na kuishia njiani? Shida ilikuwa nini? Inawezekana ulisema haiwezekani na ukaamua kuishia njiani. Ukweli ni kwamba hakuna kitu ambacho hakiwezekani ukiamua. Kila kitu kinawezekana. Ila pale unaposema kwamba haiwezekani unakuwa unajiwekea kizuizi cha kusongambele na kufikia viwango vikubwa. Sasa kinachotokea ni kwamba utakwama na…
-
Mambo Matano (05) Usiyoyajua Kuhusu Fursa
Mara kwa mara ukiskiliza vyombo vya habari utagundua kwamba waafrika walio wengi wanahama na kusafiri kwenda nje ya bara la afrika na haswa ulaya ili kutafuta fursa. Wakati huohuo watu ambao sisi tunawaita wawekezaji wanatoka ulaya kuja Afrika kutafuta fursa pia. Sasa labda swali linabaki fursa zipo wapi? Zipo ulaya au Afrika?Je, wote tuhame twende…
-
Huyu Ni Mtu Ambaye Unapaswa Kumfahamu Nje Ndani
Mara nyingi sana huwa tunajihusisha na vitu vingi sana. Unakuta mtu anafuatilia vitu vingi, kuanzia taarifa ya habari, kuangalia tamthiliya kufuatilia maisha ya watu mtandaoni na mambo mengine kadha wa kadha. Ila kuna mtu ambaye huwa unamsahau kumfuatilia kila siku. Na mtu huyu siye mwingine Bali wewe hapo. Yaani kabla hujafuatilia habari zilizotokea Darfur, au…
-
Hakuna Mafanikio Bila Kujitoa Sadaka
Hakuwezi kuwepo naafanikio makubwa bila ya mtu kujitoa sadaka nankuachana na vile vitu ambavyo anavipenda kwa muda ili aweze kupata mafanikio makubwa baadae. Unapaswa kujitoa sadaka kwa kuachana na mawazo hasi na kuweka nguvu zako na muda wako kayika kufanya mambo ya maana. kama utawekabngugu zako na muda wako katika kufanya mambo ya maana, hamna…
-
Moyo wako Uko wapi?
“Fanya unachopenda” ni usemi ambao umekuwa unatumiwa kuwashauri watu ili waweze kufanya kitu cha kitofauti na kipekee sana.Jambo hili ni la kweli ndio maana siku ya leo ningependa kutilia mkazo na kusisitiza kitu hiki kwa herufi kubwa. Watu wengi waliofanya makubwa katika sekta zao ni wale ambao walikuwa wanapenda kile wanachofanya. Na walikifanya kwa moyo…
-
Mambo 25 Niliyojifunza Ndani Ya Miaka 25 Ya Kuishi Kwangu Hapa Duniani
Mwaka 1994, tarehe 5/8 ilikuwa ni siku ambayo kwa mara ya kwanza nilizaliwa na kuvuta pumzi ya kwanza ya dunia hii. Na leo hii ndipo naadhimisha miaka 25 ya kuzaliwa kwangu. Niseme kwamba hii ni siku muhimu ambayo imenifanya niweze kuona mengi, kukutana na watu wengi na kuzunguka maeneneo mengi. Miaka yangu ishirini na tano…
-
Namna Watu Wa Kawaida Wanavyofanya Mambo Yasiyo Ya Kawaida
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana ya leo. Kila siku inayokuja kwako imebeba baraka, hivyo hakikisha kwamba unaitumia vyema kufanya makubwa. Siku hii ya leo napenda tuongee laa undani na kuona ni kwa namna gani watu wa kawaida wanaweza kufanya mambo ambayo sio ya kawaida.Watu wote ambao tunawaona wameweza kufanya mambo ambayo…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kuwa Gwiji Kwenye Mchezo Maisha
Maisha ni mchezo ambao unapaswa kujua namna ya kuucheza. Hata hivyo mchezo huu una Sheria zake ambazo ni za kipekee sana. Hivyo unahitaji kuzifahamu Sheria hizi. Kama ilivyo kwenye mchezo wa mpira wa miguu, sio kila mtu ni gwiji kwenye mchezo huyo. Vivyohivyo kwenye mchezo wa maisha. Sio kila mtu ni gwiji. Ila wewe unaweza…
-
Mambo Matatu (03) Ambayo Vijana Wa Kitanzania Wanakosea ila Wanayafanya Kuwa Uhalisia
. “Watanzania siku hizi mmeanza kuamka kidogo, kidogo. Ila bado itawachukua muda kidogo kuweza kufikia viwango vya watu kujituma bila kushurutishwa”Alisema baba mmoja wa makamo ambaye ni mgeni hapa nchini. Hongera sana rafiki yangu na leo hii napenda nikwambie mambo ambayo watanzania wengi wamekuwa wanayafanya kimakosa na kuendelea kurudiarudia makosa haya haya kila siku. Ma…
-
Viashiria Saba Vinavyoonesha Kwamba Umaskini Utakuandama Maisha Yako Yote
Kila mtu anapenda kufanikiwa. Hata mtoto ana uwezo wa kutambua na kujua kwamba kitu fulani ni bora zaidi ya kingine. Ndio maana utasikia mtoto mdogo anawaombea wazazi wake wapate gari, wanunue ghorofa na vitu vingine kama hivyo. Hii ni ishara ya waziwazi kwamba utajiri unapendwa na kila mtu. Na ni ukweli usiopingika kwamba utajiri ni…
