-
Tumia Vyema Rasilimali Zilizopo
Ukitaka kufanya mambo makubwa basi kuwa tayari kabisa kutumia raslimali ulizonazo. Kuna vitu vingi ambavyo kwa Sasa vimekuzunguka na unaweza kuanza kuvitumia hivi kuweza kufikia mafanikio makubwa maishani mwako. Labda unaweza kujiuliza hivi mimi nina raslimali gani? Lakini pia mimi nikuulize wewe unataka kufanya nini? Anza kwa kujua ni kitu gani unataka kufanya maishani. Ukishajua…
-
USIDHARAU MTU KWA KUMWANGALIA TU
Katika maisha kuna watu na vitu vinanifurahisha sana. Kati ya watu wanaonifurahisha sana ni wajenzi, hasa wajenzi wa ghorofa. Wakianza kujenga wanachukua mabati wanazungushia eneo linalojengwa (tena muda mwingine mabati makuukuu).Sasa wewe ukitoka huko na dharau zako unaweza kushangaa na ukacheka sana. Kumbe wenzako ndio wapo wanajenga kitu cha ghorofa. Kitu hiki kitufanye tutafakari juu…
-
GHARAMA YA KULIPA ILI KUPATA MATOKEO YASIYO YA KAWAIDA
Ni ukweli kwamba ukitaka kufanya mambo yasiyo ya kawaida, lazima ufanye maandalizi yasiyo ya kawaida. Maandalizi haya yatahusisha kutoa jasho jingi sana na kufanya kazi muda mrefu. Hii ni gharama unayopaswa kuilipa.Ila kumbuka kwamba maandalizi haya yasiyo ya kawaida yatakulipa pia katika namna ambayo sio ya kawaida. Ndio maana Robin Sharma anashauri kwa kusema, “ukitoa…
-
DO OR DIE: Kitu Unachokihitaji Kuliko Kitu Kingine Chochote Maishani
Kitabu cha nyuma ya ushindi kipo kwa ajili yako. Tsh 5000/- Siku za hivi karibuni kulikuwa na timu ya mpira wa miguu ambayo ilikuwa inahamasisha wachezaji wake kwa kutumia kampeni ya FANYA AU KUFA (DO OR DIE). Kampeni hii imeonesha kuzaa matunda makubwa sana kwa timu husika. Kampeni hii bado inaonekana kama kampeni inayoifaa timu…
-
IJUE KANUNI YA MBEGU NA JINSI YA KUITUMIA
Rafiki kila kitu unachokiona kimejengwa chini ya misingi na kanuni fulani. Kitu hiki kikifuata kanuni hiyo sio tu huweza kuwa bora zaidi bali pia huwasaidia wengine kupata zaidi au kuboresha mazingira zaidi. Mbegu hizi tunazoziona pia zipo chini ya kanuni maalumu ambayo hutumika kwa manufaa. Kanuni ya mbegu ni kwamba, mbegu lazima ife ili kuzalisha…
-
Hili Ni Jambo Ambalo Kila Mzazi Anapaswa Kumfundisha Mtoto Wake
Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana. Hii ni siku ya kipekee ambayo unapaswa kuitumia vizuri sana. Watoto wanapozaliwa huwa hawajui kitu, bali huwa wanajifunza kila kitu kutoka kwa wazazi wao, jamii na mazingira yaliyowazunguka. Wazazi ndio watu wenye uwezo na ushawishi mkubwa sana kwa watoto maana vitu vingi sana vya kwanza maishani watoto…
-
IJUE KANUNI YA CHUMVI NA JINSI YA KUITUMIA
Chumvi ni miongoni mwa vitu ambavyo vimeanza kutumika tangu enzi na enzi. Yaani tangu mababu zetu enzi zile. Kikubwa kilichofanyika kwenye chumvi ni uboreshwaji wa kuitunza kwenye pakiti. Ila kazi chumvi ya mababu zetu na chumvi ya sasa ni ile ile. Kazi yenyewe sio nyingine bali kuongeza radha katika chakula. Hii kazi ya chumvi. Sasa…
-
Hii Ndio Kauli Ya Kishujaa Unayoweza Kujiambia Kila Kukicha
Kwa siku mwanaume anasemekana kuongea maneno yasiyopungua 7,000 huku mwanamke akiongea maneno zaidi ya elfu 21. Wakati kauli na maneno yaliyo mengi yanayoongelewa mara nyingi huwa ni stori za kawaida, unapaswa sasa kubadilisha na kuanza kuongea kauli za kishujaa. Na leo hii nakuletea kauli moja muhimu sana ambayo ni ya kishujaa ambayo unapaswa kuitamka kila…
-
IJUE KANUNI YA JUA NA JINSI YA KUITUMIA
Kwa kawaida jua huchomoza asubuhi na kuzama jioni. Wakati jua linawaka huwa linapitia katika vipindi mbali mbali. Ambapo asubuhi huanza kuwaka taratibu, mchana ukali wa jua huongezeka wakati ila jioni ukali hupungua/ hufifia. Jambo hili linafanana kabisa na maisha ya ukuaji wa binadamu.Kuchomoza kwa jua asubuhi ni sawa na kuzaliwa kwa mtu.Ukali wa jua mchana…
-
Unahitaji Kitu Kimoja Tu
Kama kuna kitu kimoja unapaswa kufanya maishani mwako basi ni kutafuta kitu kimoja na kuweka nguvu, muda, akili na uwezo wako wote hapo. Kuna vitu vingi sana vya kufanya kila iitwayo leo, lakini je, vitu hivi vyote vinahitaji muda wako? Huhitaji kuhangaika na kila kitu kinachokuja mbele yako. Bali unapaswa kuwekeza nguvu na muda mwingi…
-
IJUE KANUNI YA UJENZI WA GHOROFA NA HAKIKISHA UNAITUMIA
Kati ya vitu ambavyo vinashangaza sana ni ujenzi wa ghorofa. Ghorofa ni nyumba iliyojengwa ikiwa na vyumba juu yake. Sasa kinachotokea ni kwamba ujenzi wa ghorofa huanza kwa kuchimba msingi wake kwenda chini. Tena kadri ghorofa inavyokuwa ndefu zaidi ndivyo wajenzi wake wanashuka chini zaidi katika uchimbaji wake.Kitu hiki kinatufundisha jambo kubwa sana katika maisha.…
-
Hiki Ndicho Kitu Watu Waliofanikiwa Wanafanya
Wale ambao leo hii unawaona wanafanya vizuri katika maeneo fulani ya maisha, basi kuna wakati walikuwa watu wa kawaida sana au hawajui kabisa kitu hicho. Ila baada ya muda kujitoa haswa sasa wamweza kufikia hapo unapowaona kiasi kwamba unatamani mafanikio yao. Juu ya hili wahenga wanasema kwamba “hata jogoo alianza kama kifaranga” Kumbe kila unaowaona…
-
Hii Ndio Orodha Ya Vitabu Vya Kipekee Sana
1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI Kabla ya kuandika kitabu hiki kulikuwa na maswali mengi ambayo nilihitaji kupata majibu yake. Nilijiuliza. Hivi kwa nini katika jamii kuna watu ambao ni Matajiri na wengine ni masikini?Kwa nini wengine wamefanikiwa huku wengine wanahangaika? Je, kwa nini baadhi ya watu wana mahusiano mazuri wengine mahusiano yao ni mabaya?Kwa nini…
-
Hii Ndio Tatu Mzuka Ambayo Hupaswi Kukosa Kuicheza
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na wimbi kubwa sana la uchezaji Wa michezo ya kubahatisha. Kitu hiki kimewafanya vijana kwa wazee wajihusishe na michezo hii ili kupata utajiri wa haraka. Kinachotokea kwenye michezo hii ni kwamba mtu anajikuta anapoteza sana pesa zake kila akicheza. Sasa rafiki yangu kwa kuwa nakujali sana, ningependa nikushirikishe tatu…
-
Hii Ndiyo Sehemu Ambayo Unaopaswa kuilenga Siku Zote Ili Uweze Kufika Kwenye Kilele Cha Mafanikio
Kila umayemwona yuko juu kuna siku alikuwa chini. Kila jogoo anayewika kuna siku pia alikuwa kifaranga.Suala hili linatupa mwelekeo mzuri kabisa wa kujua kwamba tunaweza kuwa tunayotaka kama tutaamua kuwa hivyo. Lakini ili uweze kufikia kwenye kilele chochote kile mfano cha mlima lazima utokee chini. Na Unapaswa kupanda kuelekea juu. Unapokuwa umefika huko ndipo unapongezwa…
-
ZAMA ZIMEBADILIKA-5
Moja kati ya usemi ambao kocha Makirita Amani amekuwa akiutumia ni usemi kwamba, tunaishi katika zama ambapo mtu wa kawaida ana vyanzo vingi vya maarifa kuliko mfalme wa karne ya 15″. Usemi huu unasimama kama ulivyo bila hata kuhitaji miguu ya ziada kuubeba. Kiwango ambacho binadamu amekuwa akipata maarifa kimekuwa kikibadilika Kutoka kizazi kimoja hadi…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Kitaimarisha Mahusiano Yako
Ikiwa ni siku nyingine kabisa rafiki yangu. Mwezi mpya na siku zinazidi kusogea mbele. Mwaka ambao hapo mwanzoni ulionekana ni mpya sasa upya wake hauonekani tena. Leo hii napenda nikwambie kitu kimoja kitakachoimarisha mahusiano yako. Na hapa mahusiano ninayozungumzia ni mahusiano ya mme na mke, mahusiano ya kibiashara, mahusiano ya kindugu pamoja na mahusiano yako…
-
NANI ATALIA UTAKAPOKUFA?
Katika kitabu cha WHO WILL CRY WHEN YOU DIE kuna sentensi moja ya kutafakariaha sana. Mwandishi wa Kitabu anaanza kwa kusema kwamba, “ulipozaliwa ulilia wakati waliokuwa wamekuzunguka wakishangilia, Unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba utakapokufa watu walie huku wewe ukishangilia”. Kauli hii sio kauli ndogo hata kidogo. Ni kauli iliyoshiba kweli kweli. Kauli hii inatufanya Mimi…
-
ZAMA ZIMEBADILIKA-3
Mwaka 1982 Buckminster Fuller alianzisha kitu kinachojulikana kama Knowledge Doubling Curve. Katika mchoro huo Buckminster alionesha kwamba mpaka mwaka 1900 maarifa yalikuwa yanaongezeka mara dufu kila baada ya miaka 100. Ila ndani ya miaka 45 kufikia mwaka 1945 maarifa yalikuwa yanabadilika kila baada ya miaka hamsini. Sasa tumefikia kiwango ambapo maarifa yanabadilika kila baada ya…
-
ZAMA ZIMEBADILIKA-2
Mtu mmoja aliwahi kusema kwamba tupo katika zama ambazo mtu anaweza kuwa maarufu dunia nzima ndani ya dakika kumi na tano tu! Ukweli huu sio wa kubeza hata kidogo. Ukiangalia kwenye zama za sasa utaona kwamba, 👉unaweza kutoa video moja ukashangaa Ndani ya muda kidogo imesambaa maeneo mengi sana. 👉Pengine mtu ambaye ulikuwa hutegemei kabisa…
