-
ZAMA ZIMEBADILIKA -1
Zama za sasa hivi zimebadilika kabisa. UKitaka kupata matokeo ya tofauti kwenye zama hizi basi Unapaswa kuwa tayari kufanya vitu vya tofauti na vile ulivyozoea. Kiufupi ni kwamba vitu ambavyo vimekufikisha wewe hapo ulipo, havitweza kukusogeza mbele zaidi ya hapo. Kwa hiyo unapaswa kujisukuma zaidi ya hapo, ili uweze kupata matokeo ya kitofauti kabisaa! Moja…
-
Jicho La Muda-1
Kwa siku unayo masaa 24 sawa na mtu mwingine anayeishi hapa duniani. Hakuna MTU kwenye muda zaidi ya wewe hata kama ni tajiri kuliko wewe au masikini. Muda wote ni masaa 24. Mpaka sasa hivi hakijagunduliwa kifaa chochote chenye uwezo wa kuongeza muda wa mtu au kupunguza muda wa mtu masaa ni yale yale 24…
-
Kama Unafanya Kitu Hiki Basi Usitegemee Kupata Kile
Mbele yetu tena ni siku nyingine, nzuri na ya kipekee sana. Tunaenda kuhakikisha kwamba leo tunafanya kitu ambacho kitatusogeza mbele kwenye malengo yetu. Pia leo tunaenda kuhakikisha kwamba tunayafanya maisha ya mtu yeyote ambaye tutakutana naye, kuwa bora zaidi. Hii ndio siku njema ambayo tunaenda kuitumia. Leo napenda kusema kwamba kama unafanya kitu fulani ukitegemea…
-
Hii Ndio Maana Kuu Ya Cheti, Na Cheti Kikuu Ulichopewa Bure Kabisaaa
Duniani kuna zawadi na vyeti vingi sana ambavyo vimewahi kutolewa. Kama umesoma shule kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo basi utakuwa una rundo kubwa sana la vyeti. Lakini Swali ni je, vyeti hivi unavihitaji vyote? Utavitumia wapi? Maana sasa hivi imefikia hatua hadi kuhudhuria semina watu wanatoa vyeti. Ukisoma vitabu watu wanakupa vyeti. Sasa hivi…
-
Huyu Ni Mtu Ambaye Lazima Utamwambia Hapana
Kila siku huwa ni fursa mpya. Fursa kuanzia watu tunaokutana nao. Watu tunaoongea nao, vitu tunavyofanya n.k Sasa fursa hizi huwa zinategemea ni kwa jinsi gani ambavyo mtu anaenda kuzitumia. Moja ya fursa ambayo inajitokeza ndani ya siku katika maongezi ni kukubali au kukataa. Kusema ndio au Hapana. Kuna watu wanafikiri kwamba haya ni maneno…
-
Kitu Kikubwa Unachoweza Kufanya Juu Ya Ndoto Yako Kuu
Safari ya maisha inahusisha mambo mengi sana. Katika safari hii kuna watu wana kusudi kubwa ambalo wanapaswa kulitimiza na kuna watu wenye ndoto kubwa mno. Ndoto ni picha kubwa ya kesho yako ambayo unaijenga leo.Ndoto ni jambo kubwa sana ambalo linakufanya usilale (halikupi usingizi) mpaka utakapokuwa umelitimiza. Kutokana na ukubwa wa ndoto ambazo watu huwa…
-
Hili Ndilo Wazo Kubwa Sana Kuwahi Kutokea
Duniani kumekuwa na mawazo makubwa ambayo yameweza kubadili mwonekano wa dunia hii. Wazo la kuweka ndege angani lilikuwa ni wazo kubwa sana ambalo kiukweli mpaka sasa Kila mtu ni shuhuda kwamba limebadili mwonekano wa uso wa dunia. Wazo la kujenga ghorofa lilikuwa ni wazo kubwa sana ambalo kila anayeona jengo aina ghorofa leo hii lazima…
-
Mambo Matano (05) Unayoweza Kufanya Ukiwa Katika Mazingira Yanayokufanya Usijiamini
Moja kati ya vitu muhimu sana ambavyo unahitaji katika maisha yako basi ni kujiamini. Kujiamini katika kazi unayofanya.Kujiamini katika kile unachoongeaKujiamini unapokuwa na watu n.k Ubora Wa kujiamini ni kwamba unaonekana kwa macho. Yaani mtu anaweza kukuona kabisa na kukwambia kwamba hujiamini. Hii ni kutokana na tembea yako, ongea yako na mwonekano wako. Sasa leo…
-
Hapa Ndipo Mabadiliko Makubwa Huanzia
Maisha yanahusisha mabadiliko mengi sana. Kuna mabadiliko ya vipindi vya mwaka. Kuna mabadiliko ya hali ya hewa. Kuna mabadiliko kati ya siku moja na nyjngine. Kuna mabadiliko kutoka sehemu moja kwenda nyngine.Kuna mabadiliko kati ya mwaka mmoja na unaofiata. Mabadiliko haya hutufanya tukae tukijua kwamba hatupaswi kutulia na kitu kimoja au kuridhika na hali ile…
-
Mwandikie Mtu Huyu Barua Ya Kurasa Mbili Leo
Naam rafiki yangu. Siku zinazidi kusogea Mbele na maisha yanazidi kuwa bora zaidi. Tangu mwaka huu umeanza kuna hatua ambazo umekuwa unapiga kila siku. Inawezekana hatua hizi ni ndogo sana ila ni muhimu sana maana mafanikio makubwa sana huwa ni muunganiko Wa vitu vidogo vidogo ambavyo tunaviunganisha kila siku. Mwisho wa siku muunganiko wa vitu…
-
Huu Ndio Upenyo Ambao Unapaswa Kuutumia Kusoma Vitabu
Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. Hii ndio siku ambayo unapaswa kuitumia kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana. Kati ya visingizio vya watu wengi sana kuhusu kusoma vitabu ni kwamba hawana muda.Leo hii napenda nikupe upenyo mdogo ambao utautumia kusoma vitabu kila siku. Na upenyo huu upo kwenye muda wa ziada…
-
Hii Ndio Njia Bora Ya Kujiinua Mwenyewe
HII NDIO NJIA BORA YA KUJIINUA MWENYEWE Hongera sana rafiki kwa zawadi ya kipekee sana. Hii ndio siku iliyoandaliwa kwa ajili yako. Ifurahie na kuhakikisha unaitumia vyema kabisa. Kila siku ni siku yako wewe kuhakikisha unakuwa bora sana kuliko jana. Yaani kujiinua. Unapaswa kujiinua kwa vitendo, maneno, na wajibu, shughuli zako unazotimiza kila siku. Ila kama…
-
Hivi Ni Vitu Ambavyo Ni Rahisi Sana Kutovifanya
Ninajua kwamba kila siku unakuwa na majukumu mengi sana ya kutimiza. Kuanzia majukumu ya kazi, biashara, familia na mengine mengi. Kati ya hayo majukumu huwa unajikuta huyatimizi kila siku.Sio kwamba huyatimizi kwa sababu ya ukubwa wake. Bali huyatimizi kwa sababu ya hujajua kitu hiki kimoja. Na kitu chenyewe ni kwamba MAJUKUMU MADOGO NDIO HUWA YANAWASHINDA…
-
Hii Ndio Aina Ya Maarifa Unayopaswa Kuyapata
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya kipekee sana.Kama umesahau ni kwamba zimepita siku 19 tangu mwaka huu uanze. Sasa karibu sana kwenye somo la leo. Watu huwa wanaanzisha vitu ila huwa havidumu. Kuna watu huwa wanaanza kusoma ila mwisho wa siku hawamalizi kozi wanazozianza.Kuna watu huwa wnajiunga na mafunzo fulani mtandaoni ila mwisho…
-
Hizi Ni Baraka Zako Unazopaswa Kuhesabu
Bila shaka umewahi kusikia usemi unaosema kwamba hesabu baraka zako! Usemi huu unapenda tuwe watu wa kushukuru nakuona mazuri pale ambapo wengine wanaona mabaya. Kiukweli kuna mambo mengi sana ambayo unaweza kushukuru Kila iitwayo leo. Ni mengi sana ndio maana unapaswa kuhesabu baraka zako.Ebu ona hapa;1. Leo hii bado unavuta pumzi na kuishi wakati kuna…
-
Haya Ni Mambo Ya Kipekee Sana Usiyoyajua Kuhusu Biashara
Hivi ushawahi kuanza kitu baadae ukaja kugundua kwamba picha uliyokuwa nayo juu ya kitu ni tofauti? Au umewahi kupata safari ya kwenda mahali ambapo hukuwahi kwenda kabla, ukawa unajenga picha katika akili yako, ila ikatokea kwamba picha ya eneo uliyojenga ni tofauti na uhalisia? Je, umewahi kuwa unawasiliana na mtu katika simu ambaye hujawahi kukutana…
-
Vitu Vitano Vinavyoharibu Ubunifu Wa Watanzania
Moja kati ya vitu muhimu sana katika biashara, mahusiano na kazi ni ubunifu. Ni kupitia ubunifu mtu unaweza kuja na mbinu mpya za kuongeza wateja, ni kupitia ubunifu unaweza kujua ni bidhaa gani ukiiboresha zaidi itakuongezea wateja zaidi. Ni kupitia ubunifu utajua ni bidhaa gani ukiipunguza au ukiiondoa kwenye mfumo wako wa biashara utakuwa hujapungukiwa…
-
Zawadi nne(04) Kubwa Inazoweza kujipatia 2019
Tumezoe kwamba huwa tunanunua zawadi kwa ajili ya rafiki zetu, ndugu jamaa na marafiki.Na pengine huwa kuna misimu ambapo watu hujikita zaidi katika kununua zawadi. Watu huiita misimu hii kwamba ni misimu ya zawadi.Misimu hii inaweza kuwa ni ya sikukuu au siku ya wapendanao, siku ya mama au baba n.k Katika kipindi hiki huwa tunawanunulia…
-
Kitu Hiki Huwezi Kukiepuka Mwaka Huu
Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana. kwa hakika leo ni siku ya kipekee sana ambayo wewe unapawa kuhakikisha kwamba unaitumia vyema sana ili uweze kusonga mbele na kujikuta kwamba unafanya mambo makubwa. Kwa kawaida kuna vitu ambavyo huwa unaambiwa kwamba uviepuke ilil uweze kuwa na maisha ya namna fulani. Au kabisa unaambiwa…
-
Kama Tatizo Ni Nyota Ya Kwako Imeenda Wapi?
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi hii ya kipekee sana. Zawadi ya maisha. Moja kati ya vitu vinavyoongelewa sana na watu ni nyota. Mtu akifanikiwa wanasema ni nyota. Asipofanikiwa pia wanasema ni nyota. Mtu akijenga mahusiano mazuri wanasema ni nyota. Lakini pia mahusiano yake yakiwa mabaya wanasema ni nyota. Imefikia hatua sasa watu wamesahau misingi…
