-
Hii Ni Sentensi Iliyonichekesha
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kuelekea na kufikia mafanikio. Karibu sana kwenye makala yetu ya leo. Jana nilikuwa nasoma kitabu cha FROM VICTIM TO VICTOR ambacho kimeandikwa na mwandishi Joseph Chabalika Mushalika. Kuna mambo mengi sana nimepata kujifunza ila kwa leo ningependa…
-
Mambo Matano (05) Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuanza Jambo Lolote
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua kutekeleza na kufikia malengo yako ili uweze kufikia mafanikio. Karibu sana katika mada yetu ya leo. Katika mada yetu ya leo tutaanza kwa kuona stori nzuri kutoka kwenye Biblia (kitabu cha mwanzo 11:1-5)Nchi yote ilikuwa na lugha…
-
Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo – 2
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG, ni imani yangu unaendelea vyema katika harakati za kuelekea mafanikio. Karibu sana katika makala yetu ya leo. Makala yetu ya leo ni mwendelezo wa makala ya wiki iliyopita, kama hukusoma makala ya wiki iliyopita unaweza kuisoma HAPA Basi siku zikaendelea na hatimaye mtotoakapata kazi na…
-
Huu Ni Ugonjwa Hatari Unaokusumba Sana
Habari za leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa mtandao wa SONGA MBELE. Ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kufikia malengo yako na mafanikio. Karibu sana katika makala yangu ya leo Kuna ugonjwa mmoja ambao huwa unasumbua watu wengi sana. Ukiongea na watu kumi basi utagundua kati ya hao kumi, saba mpaka tisa wana…
-
Hili Ndilo Duka Lako Lenye Kila Kitu.
Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema ili kufikia mafanikio na kuwa na maisha bora. Karibu sana katika makala yetu ya leo.Leo tunaenda kuona duka lako lenye kila kitu. Duka hili unaweza kulitumia kila siku popote pale ulipo na kukusaidia kufikia hatua kubwa ya mafanikio. Soma zaidi hapa: Hii Ndiyo Maabara…
-
Huu Ndio Ujumbe Aliouandika Raisi Wa Marekani
Habari za leo rafiki na ndugu yangu ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio na karibu sana katika makala yetu ya leo. Katika makala yetu ya leo tunaenda kuona ujumbe mzuri ambao tunaweza kuupata kutoka kwa rais wa Marekani Mheshimiwa Donald Trump. Ujumbe huu ameuandika katika vitabu vyake vingi sana vikiwemo vitabu…
-
Matendo Hutibu Uoga
Moja kati ya vitu ambavyo husumbua sana akili za watu ni uoga. Uoga upo na unasumbua san akili za watu uoga unaweza kukufanya ushindwe kuchukua hatua fulani. Uoga ambao watu wengi wanao ni wa kisaikolojia. Uoga, hofu, mvutano vyote hutoka kwenye mawazo hasi. Uoga si kitu kizuri cha kukumbatia hata kidogo. Uoga ni adui nambari…
-
Mtoto Umleavyo Ndivyo Akuavyo
Habari ya leo rafiki yangu na ndugu yangu naamini unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Ni kawaida sana mtu akikua huwa anaanza kujivunia mambo makubwa sana aliyoyafanya akiwa mdogo au katika enzi za ujana wake. Utasikia mtu anakwambia nilipokuwa mdogo nilikuwa nacheza mpira wa miguu vizuri sana, yaani kama ningekosa basi siku hiyo mechi…
-
Utavuna Ulichopanda; Hii ndiyo Sheria Kuu Ya Asili
Habari za leo rafiki na ndugu yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika kupiga hatua ili uweze kufikia mafanikio. karibu sana katika makala yangu ya leo ambapo tunaenda kujifunza sheria moja kuu ya asili. Watu wengi wamekuwa na imani kwamba baadhi ya mambo ambayo hutokea, basi hutokea kwa bahati tu.Hakuna kitu (kiwe kizuri au kibaya) ambacho…
-
Hii ndiyo Maabara Pekee Ambayo Kila Mtu Anayo
Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu, ni imani yangu unaendelea vyema katika hatua za kufikia mafanikio. Leo hii tunaenda kuangalia maabara pekee ambayo kila binadamu anayo, kila sehemu na anaweza kutembea nayo popote pale aendepo Maabara ni sehemu ambapo wanasayansi hufanya majaribio ya kusanyansi. Hivyo maabara ipo kwa ajili ya watu kufanya utafiti…
-
Vitabu Vitatu Vya Kusoma Kabla Mwaka Huu Haujaisha
Habari za leo rafiki yangu na ndugu yangu. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari yako ya kuelekea mafanikio.Leo nataka nikushirikishe vitabu vitatu ambavyo vitakusaidia kupiga hatua kubwa sana ili uweze kufikia mafanikio. Vitabu hivi vimewasaidia watu wengi sana nikiwemo mimi. Naamini vitakusaidia na wewe kama utaamua kuvisoma. Jitahidi sana usome vitabu hivi kabla ya…
-
Mbinu Za Kukusaidia Kufikia Ndoto Yako Kabla Mwaka Haujaisha
Habari za leo ndugu yangu na rafiki yangu. Leo ni siku nyingine mpya ambapo kama kawaida yetu tunaenda kuitumia siku ya leo vizuri katika kuongeza maarifa na kufanya kazi zetu vizuri ili kuweza kufikia mafanikio. Leo pia ni siku ambayo tumeuanza mwezi mpya na mwaka wetu unakaribia ukingoni. Swali la kujiuliza Je, mipango yako uliyoiweka…
-
Je, wewe Una Matamanio Au Ndoto?
Kwa kawaida kila mtu huwa ana kuna vitu vuzuri ambavyo angependa kuvifikia maishani mwake. Ni mafanikio ambayo hupenda kuyafikia. Mambo yote ambayo binadamu hufikria huweza kuwekwa katika makundi mawili. # Kundi la kwanza ni matamanioHili ni kundi ambalo mtu huwa anataka kuwa mtu fulani au kufikia mafanikio fulani bila kuweka juhudi. Ebu tuchukulie mtu anataka kuwa…
-
Je Shule na Maisha Vinaendana?
Habari za leo rafiki na msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio ambayo umeipanga.Leo tunaenda kuona mambo fulani ambayo huwa tunajifunza shuleni lakini katika hali halisi ya maisha huwa ni tofauti. Kwa kawaida watu wengi sana wana mtazamo kwamba wasome au wasomeshe watoto, katika shule nzuri, wapate maksi nzuri…
-
Hili ni Kosa Amabalo Watumiaji Wengi wa Mtandao Hufanya
Habari za leo msomaji wa SONGA MBELE BLOGNi imani yangu unaendelea vyema kupiga hatua na kuweza kufikia mafanikio. Hongera sana kwa siku njema ya leo na karibu sana katika somo la leo. Ni ukweli kwamba watu wengi hupenda kushinda katika mitandao ya kijamii wakichati na kubadilishana mawazo na marafiki zao. Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya…
-
Mambo Ya Kufanya Kabla na Baada ya Semina
Kwa kawaida katika semina huwa tunapata nafasi ya kuungana na kukutana na watu wengi sana. Watu waliotoka maeneo mbalimbali na kila mtu akiwa na shughuli zake anazofanya. Utakutana na watu waliovaa vuzuri na kupendeza na wengine wakiwa wamevaa kawaida. Je, wewe utaongea na akina nani? Je, utawaambia nini hawa? Hapa ndipo walipo marafiki zako wapya…
-
Hili ni Jambo la Pekee Ambalo Huwezi Kuliepuka
Habari za leo ndugu msomaji wa SONGAMBELE BLOG. Ni imani yangu unaendelea vyema katika safari ya kuelekea mafanikio. Leo hii tunaenda kujifunza jambo la muhimu na pekee sana ambalo huwezi kuliepuka. Jambo hili utapaswa kulifanya kila siku ili maisha yako yaweze kufikia mafanikio.Je jambo lenyewe ni lipi? Soma; Ukweli Kuhusu Safari ya Mafanikio Jambo lenyewe ni mabadiliko.…
-
Hiki Ndicho Kitu Ambacho Wewe Unacho, Peke Yako.
Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa najiuliza swali “ kwa nini mambo mapya yanazidi kugundulika kila siku?Sikuwahi kupata jibu zuri la mambo haya mpaka pale nikipomaliza kidato cha sita, ndipo nilipokuja kugundua jambo hili. Swali jingine nililokuwa nikijiuliza ni “ je, kuna uwezekano wa kugundua mambo mapya kila siku”. Ni mara myingi sana mimi na rafiki zangu…
-
Maneno ya Kuepuka Kuongea Kila Siku.
Unapohitaji kupata kitu ambacho hakimo kwenye bajeti usiseme “siwezi kupata hicho”Watoto wako wanpohitaji kwenda kucheza na kujumuika na wenzao usiwaambie “sina uwezo”Mke wako anapotaka vazi zuri usimwambie “ hatuna uwezo.” Usiwe na mtazamo huu wa uhaba Badala yake ukihitaji kitu kizuri jisemee “ nitakipata “Hata kama hauna pesa karibu ya kununua kile unachohitaji. Angalia kwanza…
-
Ifahamu Tofauti Kati Yako na Huyu.
Matokeo yako ya sasa hayana cha kufanya na maisha yako ya baadae.Hivi kama wewe kwa sasa ni maskini ni kweli kwamba wewe utaendelea kuwa maskini?Hivi kama wewe unaingiza elfu kumi kwa siku ni kweli kwamba utaendelea kuwa unaingiza elfu kumi. Soma;Ijue Siri YaBabiloni kuwa mji tajiri kuliko yote duniani Hapa jibu la haraka ni hapana.…