Author: Godius Rweyongeza

  • KUNA KITU CHA KUJIFUNZA KUTOKA KWENYE NYASI

      Jipatie nakala hii kwa 5,000 tu. Tuwasiliane 0755848391 Habari ya asubuhi rafiki yangu! Siku ya leo napenda tujifunze kutoka kwa nyasi! Ndio nyasi kama nyasi๐Ÿ˜€. Nyasi huwa zinaonewa sana. Mara utakuta zimechomwa moto. Siku nyingine zimekanyagwa. Wakati mwingine zimelimwa. Au kufyekwa. Ila mara zote hizo huwa zinaota tena. Ukizichoma moto inakuwa kama umeziita, zinaota…

  • Fanya Hivi Ili Uweze Kupata Fedha Nyingi

     Kama unataka kushika fedha nyingi, anza kwanza kutumia vizuri fedha  kidogo ulizonazo. Ukishindwa kutumia vizuri fedha kidogo kwa uamimifu, ujue wazi hata fedha kubwa zitakushinda. Pata nakala ya kitabu cha MAAJABU YA KUWEKA AKIBA sasa ili ujifunze jinsi ya kutumia vizuri kiasi kidogo unachopata. BONYEZA HAPA Kitabu kinapatikana kwa elfu 7 tu. Godius Rweyongeza (Songambele)…

  • Nisikilize Mimi. Wazo Lako Hilo Sio Bora!

      Add caption Ndio! Wala hakuna mtu ambaye amewahi kuwa na wazo bora. Naona sasa unaanza kusema; “acha uongo kwani wazo la kuanzisha _search engine_ ya Google si lilikuwa bora? Na Mimi nakwambia halikuwa wazo bora? Wazo huwa linakuwa bora linapofanyiwa kazi. Facebook halikuwa wazo Bora, Ila lilifanyiwa kazi na kuwa bora. Coca-Cola halikuwa wazo…

  • Mambo Matatu Ya Kujifunza Kutoka Kwa Taifa La Israel

        Moja ya taifa ambalo limepiga hatua kiuchumi ni taifa la Israel. Taifa hili sio kwamba lina rasilimali kubwa sana ukilinganisha na mataifa mengine. HAPANA. Kuna kipindi taifa hili hili lilikuwa na uchumi wa chini sana. sasa hapa kuna vitu ambavyo vinalifanya taifa hili hapa kuendelea na kuzidi kupanuka. 1. wananchi wake kuthubutu. Wanathubutu…

  • Utatimiza Ndoto Yako Kama Utafanya Hivi

     Linapokuja suala zima la kutimiza ndoto yako moja ya kitu muhimu unachohitaji ni kujikumbusha juu ya ndoto yako mara kwa mara. Jikumbushe ndoto yako kwa kuiandika, Jikumbushe ndoto yako kwa kuiongea unapokuwa na watu. Jikumbushe ndoto yako kwa kuifanyia kazi.  Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ndoto yako itatimia kama utaipa muda na kuifanyia kazi.…

  • SITAKI UNAFIKI; Mambo Saba Ya Kufanya Unapokuwa Na Ndoto Kubwa

      Jamii yetu inafurahisha sana, Kuna baadhi ya vitu ambavyo ukisema au kufanya, basi utaonekana mwema na mtu anayefaa. Ila kuna vitu ambavyo ukisema au kufanya basi utaonekana mnafiki, asiyefaa na mwenye tamaa. Waambie watu kuwa unapenda kuajiriwa basi watakufurahia kwelikweli. Ila waambie hutaki, wakati wanaona kabisa vyeti vyako viko vizuri kwa asilimia mia, watakimbilia…

  • Usirudie tena kosa hili. (Fungu la Mungu vs Fungu Lako)

     wa ya watu wanafahamu vizuri Kuwa linapokuja suala la fedha, basi wanapaswa kutoa fungu la kumi kwa ajili ya kumtolea Mungu, kulingana na imani ya mtu. Hata hiyo, wanasahau kuwa lipo fungu la kumi la pili ambalo mtu anapaswa kujilipa Mwenyewe. Hili si la kutoa sadaka wala kumtolea Mungu kama lile la kwanza. Hili Fungu…

  • Mambo Matano Ya Kufanya Ili Uache Alama Hapa Duniani Na Kukufanua Uishi Milele

     Siku ya leo nina booonge la stori!!  Ngoja nicheke kwanza๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Na wewe unaweza kucheka pia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Ee bwana ee, siku hiyo bhana jamaa ndio alikuwa kwenye msiba wa kaka yake, akiwa na majonzi ya kumpoteza mpendwa wake. Hiyo ilikuwa ni miaka 1880, kabla ya simu janja kama hii ninayoitumia leo kukuandikia andiko hili. Lakini pia kipindi…

  • Ebu Na Wewe Pata Muda Wa Kushangaa Hili Hapa

        Jipatie nakala ya kitabu hiki hapa kwa KUBONYEZA HAPA Kuna baadhi ya watu ambao wanakumbuka magoli aliyofunga mchezaji wa timu fulani kwa miaka hata kumi iliyopita. Wengine wanafahamu kwa uhakika kuhusu mwenendo wa timu fulani kuanzia miaka ya 1960 mpaka leo hii, lakini watu hao hao ukiwauliza mwenendo wa maisha yao ya kifedha…

  • ACHA UTAPELI WEWE? Hivi Ndivyo Unaweza Kuondoka Kwenye Mtego Wa Kujitapeli Mwenywe Maishani Mwako

      Jana nilikuwa naangalia TEDTALK iliyotolewa na Ashley Stahil mwaka 2014. Kwenye maongezi yake alianza kwa kutoa stori fupi jinsi siku moja alivyotekwa na baadaye watekaji wakawa wanataka fedha kutoka kwa wazazi wake. Sasa baada ya tukio hilo lote kuisha Ashley alikuwa anajiuliza swali, hivi inawezekanaje watu wakachagua kufanya kazi kama hiyo maishani mwao. Kwa…

  • Umuhimu Wa Kuw Na Misingi Unayosimamia Maishani

      Ni muhimu sana kwenye maisha yako kuwa na misimamo na kuhakikisha kwamba unaisimamia, ikitokea kwamba umevunja msingi mmoja, utajikuta kwamba unavunja kila msingi ambao umejiwekea kwenye maisha na hivyo kuanza kuishi maisha ambayo hayana maana. Jijengee misingi sahihi, ifuate na iishi hiyo misingi bila kujali kwamba unapitia katikahali gani. kuna vitu vidogo unaweza kuona…

  • TOFAUTI KATI YA BLOGU NA TOVUTI

       Moja ya swali ambalo watu wanapenda kuuliza ni tofauti kati ya blogu na tovuti. Siku ya leo nimeona nikueleze hizi tofauti ili na wewe uweze kuzifahamu. Blogu ni aina ya tovuti ambayo machapisho yake hujipanga kwa mangilio, huku yale yaliyowekwa kwa tarehe za karibuni yakionekana juu zaidi ukilinganisha ya yale ambayo yaliwekwa tarehe za…

  • Vitabu Viwili (02) Nilivyosoma Mwezi wa Nane

    Mwanzoni mwa mwezi wa nane, nilianzisha utaratibu wa kukushirikisha vitabu ambavyo ninakuwa nimesoma ndani ya mwezi uliotangulia. Na kwa mwezi wa nane nilikushirikisha vitabu nane nilivyosoma mwezi wa saba. sasa mwezi huu wa Tisa ningependa kukushirikisha vitabu vyangu 9 nilivyosoma mwezi wa saba. Bonyeza hapo chini kuangalia hilo somo. hakikisha kwamba UMESUBSCRIBE kwenye hiyo channel…

  • UMUHIMU WA ENEO KWENYE BIASHARA

        pata nakala ya kitabu hiki kwa kuboonyeza HAPA Moja ya kitu muhimu kwenye biashara ni eneo. Yaani, unaweza kuwa na biashara nzuri lakini kama hutaiweka eneo zuri basi ni wazi kuwa utakuwa umekosea sana. Ebu chukulia mtu anafanya biashara ya kuuza magari na biashara yake akaiweka kijijini kabisa. japo biashara ni nzuri lakini…

  • Ni mpaka pale unapofanya kitu kinapowezekana

    Mara nyingi vitu vingi huwa vinaonekana haviwezekani. ila ukiamua kwa dhati kuvifanyia kazi lazima tu vitawezekana. Kwa vile vitu ambavyo wewe umekuwa unaona haviwezekani, ebu amua kuwa ndani ya wiki hii ambayo tumeanza kuwa unaenda kuvifanya. na kweli vifanye bila kukosa. Mwisho wa siku utajikuta kwamba umeweza kutimiza vile ambavyo watu walikuwa wanasema haiwezekani, au…

  • Hivi Ndivyo Nilivyojibu Swali Nililoulizwa Kuhusu Kitabu Cha Kutoka Mpaka Kileleni

    Jana nilishiriki kwenye mjadala kwenye kundi la KITABU CHAT. ambapo mada kubwa ilikuwa ni KILICHOMO NDANI KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI. Nilianza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu kitabu hiki hapa cha kipekee sana. baada ya utangulizi na maelezo machache, yalianza kuulizwa maswali. swali la kwanza kuulizwa lilikuwa ni hili hapa chini.  “…mtu akifanya kazi huyaelekea malengo…

  • Kama Unataka Kulipwa Zaidi, Basi Fanya Hivi

    Rafiki yangu unaendeleaje. leo hii ningependa nikupe mbinu ambayo itakuwezesha wewe kulipwa zaidi. na ukweli ni kuwa kama unataka kulipwa zaidi rafiki yangu basi jifunze kuhusu mauzo.  ukiweza kuwa muuzaji mzuri basi ni wazi kuwa huwezi kulala njaa hata siku moja. ila kama haujui kuuza utalala njaa mara nyingi tu. unaweza kushangaa na kujiiuliza hivi…

  • Kitabu Cha Akili Ya Diamond Kinazidi Kupamba Moto, Jionee Mwenyewe Hapa

      Unaweza kupata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA Habari ya siku ya leo rafiki yangu.hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana kwenye makala yetu ya siku ya siku leo ambapo tunaenda kuona jinsi kitabu cha Akili Ya Diamond kinavyozidi kupamba moto.   Kitabu hiki cha Akili Ya Diamond ni kitabu cha kipekee…

  • Jijengee Mazingira ya kufanikiwa

    Unaweza kupata kitabu hiki kwa kubonyeza HAPA Ujue kila mazingira huwa yana aina ya kitu ambacho huwa yanavutia. Ukijijengea mazingira ya kimafanikio ujue basi mafanikio yatakufuata. Ila usipojenga mazingira ya kimafanikio basi ujue mafanikio yatakukimbia. Ukitaka kunielewa kwenye hili hapa nataka tu kukupa mfano wa panya na mende. Kuna mazingira ambayo huwa yanavutia panya na…

  • Fanya kitu hiki hapa siku ya leo

    Pata vitsbu hivi vitano kwa bei ya kitabu kimoja https://www.getvalue.co/home/product_details/maajabu_series Habari ya siku hiii njema rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana Mara nyingi sana katika maisha huwa tunakimbizana na vitu vingi sana. unaweza kukuta kwamba mtu analalamika na kulalamika juu ya hali fulani za maisha. Kwa mfano unaweza kukuta kwamba katika kila…

X