Category: Uncategorized

  • Hii Ndiyo Sehemu Unayoweza Kukimbilia Pale unaposhindwa Kutimiza Malengo Yako

    Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo ni tarehe 10 ya mwezi wa 10, 2018. Zikiwa zimebaki siku 82 tu, mwaka huu kuisha. Kama mwaka huu ulikuwa umeweka malengo makubwa sana sasa umefika wakati wa wewe kujiuliza ni wapi umeweza kufika katika suala zima la kutimiza malengo yako ya mwaka huu.…

  • Kama Una Tabia Hii, Jua Kwamba Unakosa Kitu Hiki

    Kuna kitu huwa kinanishangaza, mtu anakuwa na pesa ila anasema ngoja niiweke weke  tu kwenye nguo. Au vitabu vyangu.Siku nikikutana nayo na sina pesa pesa nitafurahi. Mtu anaweka pesa yake ovyo ovyo, eti siku akivaa nguo akakutana nayo bahati mbaya basi atafurahi.Au anasubiri siku akipigika ndio anaanza kufurumusha nguo zake aangalie kama kuna pesa. Je,…

  • TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-011

    “Kama mabadiliko pekee unayosheherekea kwenye maisha yako ni sherehe ya kuzaliwa, basi bado hujaanza kuishi” Rafiki, naomba nikuulize swali, hivi ni lini watu walikaa na kushangilia mafanikio na mabadiliko yaliyokuwa yametokea kwenye maisha yako? Je, ni siku ile ulipofanya sherehe ya kuzaliwa? “Kama mabadiliko pekee unayosheherekea kwenye maiaha yako ni sherehe ya kuzaliwa, basi bado…

  • Kitu Hiki Ndicho Kinapaswa Kukusukuma Kuwa Kiongozi

    Kwanza kabisa napenda nikwambie kwamba wewe ni kiongozi. Haijalishi kwamba unafanya kazi ya kufagia, au wewe unadeki ofisi fulani. Wewe ni kiongozi. Ufahamu Ufalme Wa Mteja Na Jinsi Ya KumhudumiaMwananchi, septemba 27 2018 Haijalishi unafundisha wanafunzi wa awali tena chini ya uongozi wa mtu fulani. WEWE NI KIONGOZI Haijalishi wewe ni mjasiliamali, umeajiriwa, umejiajiri, umefukuzwa…

  • Hivi Ndivyo Unapaswa Kuishi Maisha Yako

    Sasa hivi tunaishi katika ulimwengu ambao ni rahisi sana kupeleka kifaa kwenye mwezi kuliko ilivyo rahisi kumtmbelea rafiki yako.Tupo kwenye ulimwengu ambao ni rahisi sana kuongea na watu wa mbali tukawasahau watu wetu wa karibu.Tupo kwenye ulimwengu ambao ni rahisi sana ku kuchati na kuzurura kwenye mitandao ila kujikuta tunasahau kazi zetu. Wakati haya yote…

  • HIVI NDIVYO UNAWEZA KUENDELEA KUNG’AA KILA SIKU KATIKA SEKTA YAKO

    Ni kawaida  ya binadamu kukua. Mtoto anapozaliwa huwa tunafurahia sana maendeleo yake. Kuanzia siku ya kwanza. Ile anapozaliwa tu, akilia kwetu huo tayari ni ukuaji na tunafurahia.Baada ya hapo akianza kutambaa, kwetu hiyo ni faraja na furaha tena.  Sio hilo tu, anapoanza kutembea, bado tunafurahi sana maana nyakati nzuri kama hizi hapa  zinakuwa zimejitokeza. kwa…

  • Mambo Saba Ya Kujifunza Kutoka Kwa Simoni Petro

    Petro alivua samaki usiku kucha bila kupata hata samaki mmoja. Hakupata hata mmoja!!! Ilipofika asubuhi alikuwa amechoka sana, na amekata tamaa. Lakini Yesu alimwambia endesha mashua mpaka kilindini mkatupe nyavu zenu, mpate kubua samaki (Luka 5:4).  Petro alipofanya hivyo alipata samaki wengi sana. Kiasi kwamba walijaza mashua yao na kuanza kuwapungia mkono wenzao ili waje…

  • Kitu Hiki Kitafanya kila Mtu Apende Kukusaidia

    Najua kwamba kila mtu angependa watu maarufu, viongozi wakubwa, wanampira wenye majina, wanamziki na waigizaji nguri wawe marafiki zake. Kila mtu angependa awe nao na kupiga nao picha (selfie) muda wowote ambao yeye atajisikia. Najua wengi wangependa kukutana na DIAMOND PLATNUMZ ili kupiga naye stori. Najua wengine wangependa kukutana na raisi Magufuli. Hata kama hawataongea…

  • KUTOKA SIFURI MPAKA UBILIONEA (Mbinu Kumi Zitakazokuinua Mpaka Ubilionea)

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii.Karibu sana kwenye makala hii ya leo tujifunze ni kwa jinsi gani tunaweza kutoka sifuri mpaka ubilionea. Hivi umewahi kufikiri juu ya kuwa na maisha ambayo utakuwa huwazi juu ya pesa ya kula?Maisha  ambayo hufikirii na kuumiza kichwa ni wapi utapata ada ya…

  • Usikose Kufanya Jambo Hili Kila Iitwayo Leo

    Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii ya leo. Leo hii ni siku bora sana kuwahi kutokea kwenye dunia hii. Rafiki yangu naomba uitumie vyema sana siku hii ya leo. Kitabu hiki kipo kwa ajili yakoTuwasiliane 0755848391 Kila iitwayo leo kuna kitu kimoja ambacho hata kama inakuwaje hupaswi kuacha kukifanya.Kitu hiki kitakufanya ukue kiakili, kiafya…

  • JIFUNZE, JIFUNZE

    Moja ya jambo ambalo unapaswa kulifanya kila siku maishani mwako basi ni kujifunza. Hakikisha kila kunapokucha unajifunza. Kila jioni unapaswa kujiuliza je, leo nimejifunza nini? Kama bado hujajifunza kitu hakikisha unachukua hatua kujifunza. Jifunze leo, jifunze kila kukicha. Kamwe usijisikie vyema na kutulia bila ya wewe kuhakikisha umejifunza kitu kipya. Lakini pia usiishie tukujifunza. Weka…

  • UCHAMBUZI WA KITABU SCREW IT, LETS DO IT

    Mwandishi: Richard BransonMchambuzi: Godius Rweyongeza Richard Branson ni mjasiliamali na mwanzilishi wa kampuni ya Virgin. Ni moja kati ya watu wacuache sana ambao wanachukua hatua za hatari. Katika kitabu chake SCREW IT, LETS DO IT ametushirikisha mambo mengi sana. Haya hapa ni mambo 17 kutoka kwenye kitabu chake. 1. Kuanza kazi ndio sehemu muhimu sana…

  • WHEN ONE PLUS ONE DOES NOT BECOME TWO: Mambo Matano Ya Kufanya Ndoto, Malengo Na Maono Yako Yanapoenda Kinyume Na Matarajio

    Kwa kawaida moja na moja ni mbili,njiti ikigusishwa na kiberiti moto huwaka na chumvi ikiwekwa kwenye maji itayeyuka. Hayo yote niliyotaja hapo juu yanatokea kwenye hali ya kawaida.  Ila kuna nyakati moja na moja huwa haziwi mbili. Kuna nyakati njiti ikigusishwa na kiberiti, moto hauwaki. Na kuna nyakati chumvi kwenye maji haisagiki. Je, nataka kusema…

  • NIKIWA MKUBWA

    Kila mtoto huwa na ndoto fulani katika maisha yake.Ukiwasikiliza watoto wadogo utasikia wakisema maneno kama,Nikiwa mkubwa nitakuwa raisi wa nchi hiiNikikua nitakuwa daktariNikikua nitakuwa kama fulani…. Na wewe unayesoma hapa kuna siku ulikuwa mtoto. Kuna ndoto ulikuwa nazo si ndio?Je, ulikuwa na ndoto zipi? Ulitaka kuwa nani? Sasa leo hii napenda nikuulize? Ziko wapi hizo…

  • Neno Hili Litakufanya Upendwe Na Watu, Na Neno Hili Litakufanya Uchukiwe Na Watu

    Habari rafiki. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee sana. Leo ni siku njema sana kuwahi kutokea duniani. Miongoni mwa njia za mawasiliano anazotumia binadamu ni maneno. Kwa siku mwanaume anasemekana anatamka maneno 7,000 huku mwanamke akitamka maneno 20,000. Kati ya maneno hayo yote yanayosemwa kwa siku moja, kuna maneno mawili muhimu sana ambayo yakitamkwa…

  • Vikwazo Viwili (02) Vikubwa Cha Ukuaji

    Habari ya siku hii njema sana rafiki.Mara nyingi mtu akiwa anaanza kitu huwa anaanza kwa motisha kubwa sana. Utakuta mtu anakuwa na moto wa kufanya kitu kiasi kwamba humwambii kitu. Utasikia mtu anakuambia yaani fursa fulani inalipa sana na mimi ngoja niifanye. Hapo mtu anakuwa anajua mazuri mengi ya jambo husika. Kadri siku zinavyozidi kusogea…

  • Kijana Huu Ndio Muda Kupangilia Ratiba Zako Vizuri

    Habari ya siku hii njema sana ya leo. Hongera sana kwa aiku hii ya kipekee sana. Kwa hakika hii ni siku ambayo  unapaswa kuitumia vyema sana. Siku zinazidi kukimbia kila kukicha. Na kila siku inayopita basi hiyo hairudi. Wakati huu unabaki kuwa wakati pekee wa wewe kupangilia ratiba zako na kufanya mambo makubwa. Kama leo…

  • Unapaswa Kuwa Na Ndoto Kubwa

    Unapaswa kuwa na ndoto kubwa sana za maisha ambazo unazifanyia kazi. Usiishi tu ilimradi unaishi. Usifanye tu ilimradi unafanya. Bali hakikisha unafanya kweli kazi ukiwa unajua unaelekea wapi. Na sehemu nzuri unapoweza kuelekea ni kwenye ndoto yako kuu ya maisha. Je, unayo ndoto?Je, unataka  kufikia nini baada ya miaka mitatu mpaka mitano?Unataka kuwa unamiliki nini…

  • TAFAKARI YA WIKI: Kipaji Ni Bei Rahisi Sana Kuliko Chumvi

    Kila mtu kazaliwa na kipaji ndani yake. Yaani mtu anapozaliwa anakuwa na vipaji kati ya 500 mpaka 700. Ila kadri mtu anavyokua kulingana na mazingira, elimu, maarifa, n.k kuna baadhi ya vipaji vinaachwa pembeni na kile kitu ambacho mtu anaweka nguvu yake zaidi ndicho ambacho mwisho wa siku kinaibuka na kukua zaidi. Kipaji ni kitu…

  • Haribu kilichopo Ili Upate Kitu Bora Zaidi

    Wahenga walisema kwamba mtaka cha uvunguni sharti ainame.  Ukifuatilia usemi huu kwa undani utagundua kwamba pale unapohitaji kitu kizuri basi kuna gharama ambayo unapaswa kuilipa kabla hujapata kitu. Na gharama hii muda mwingine inaweza kukutaka kuharibu kitu kwanza kabla kitu kizuri hakijaonekana. Kwa hiyo pale utakapotakiwa kuharibu kitu kwanza usishangae wala usisite kama kuharibu ndio…

X