Category: Uncategorized

  • Vitu Tisa (09) Vinavyopaswa Kuwa Sababu Ya Wewe Kuingia Ajirani Na kitu kimoja Cha Ziada Ambacho Hakipaswi Kukusuma Wewe Kuingia Ajirani

    Je, una mpango wa kuingia ajirani? Je, upo kwenye ajira sasa hivi? Kwa nini?Kawaida kila kitu huwa kinafanyika kwa sababu. Vivyo hivyo unapoingia kwenye ajira basi unapaswa kuwa na sababu inayokusuma. Najua utashangaa kuona nakuandikia kitu kama hiki. Katika akili yako unajua kwamba mtu unaingia ajirani ili upate pesa. Lakini kitu hakipaswi kuwa kitu kinachokusuma…

  • Jambo Moja Unalopaswa Kuliendeleza Kila Siku

    Hongera sana kwa siku hii ya leo. Ni siku ya kipekee, ni siku ambayo hujawahi kukutana nayo, ni siku ambayo unapaswa kuiishi. Ndani ya siku hii ya leo hakikisha unafanya vitu bora zaidi ya jana. Ongeza thamani zaidi ya zaidi ya jana. Kuwa mtu bora zaidi ya ulivyokuwa jana. Usikubali leo kuiona jana kama siku…

  • Kila Kitu Kipo Cha Kutosha

    Dunia tunamoishi kuna kila aina ya utajiri. Hakuna kitu kinachopatikana kwa udogo. Ukiona unatafuta kitu na hukioni sio kwamba hakipo ila wewe haujajiweka katika mkao wa kukiona, iko hivyo. Leo hii ukiamua Kutoka nje na kuangalia magari ya yenye rangi nyekundu utayaona mengi sana. Ukiamua kufuatilia juu ya viatu vya aina fulani utahshagaa sana, utakuatana…

  • Aliyeandika Pesa Ni Chanzo Cha Maovu Yote, Hakuwa Hata Na senti Moja

    Ukienda katika mazingira ya watu ambao hawana pesa, utawasikia wakisema kila aina ya ubaya juu ya pesa. Utawasikia wakisema wenye pesa hawalali, utawasikia wakisema wenye pesa hawali kama sisi ambao hawana. Utawasikikia wakijifariji kwamba hautazikwa na pesa kwenye jeneza moja…Na mengine mengi kweli…orodha inaendelea na kuendelea. Soma Zaidi: HII NI HAZINA ILIYOLALA KWENYE KITABU HIKI…

  • Maswali Matano (05) Ya Kujiuliza Siku Yako Ya Kuzaliwa

    Juzi tarehe 05/08 ilikuwa siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru sana wale wote mlionitumia salamu za pongezi. Hakika kwangu siku hiyo ilikuwa ni siku ya muhimu sana. Miongoni mwa mengi yaliyofanyika ilikuwa ni mimi kukaa chini na kujiuliza maswali kadha wa kadha haswa kuhusu uwepo wangu hapa duniani. Ni maswali ambayo katika hali ya kawaida ni…

  • Maeneo Manne (04) Ya Kupata Vitabu Mtandaoni Bure

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya kipekee. Moja kati ya vitu ambavyo nasisitiza kila siku ni kusoma vitabu.  Kusoma ni njia rahisi ta kupata maarifa ya ambayo watu wameyafanyia utafiti na wewe unakuwa una uwezo wa kuyapata yale maarifa ndani ya siku, wiki au mwezi kulingana na…

  • Kosa Moja (01) Yanayofanywa Na Watu Wakati Wa Usomaji Wa Vitabu

    “Ukitaja kumficha mwafrika kitu basi kiandike katika kitabu” ni usemi wa Kiafrika. Usemi huu unaashiria kwamba waafrika sio wasomaji wa vitabu. Tafiti zinaoenesha watu “wengi sana huwa wanakufa katika umri wa miaka 20 na kusubiri kuzikwa wakiwa na umri wa miaka 80″. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu wanapofikia umri wa miaka 20 wengi…

  • Shukrani Kwa Watu Wote KHERI YA SIKU YA KUZALIWA KWANGU

    Leo ni tarehe 5/8. Ni siku ya kuzaliwa kwangu. Siku hii ya leo naomba niitumie kutoa shukrani maana kama ilivyo kwambaKuwa na hisia za kutoa shukrani, bila kutoa shukrani ni sawa na kuandika barua bila kuituma. Kwa msingi huo nachukua nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai mpaka siku ya leo hii ninapoadhimisha siku…

  • HILI NALO NI RAHISI

    Moja kati ya kauli ambayo hutumiwa na watu wa kawaida ni kauli ya jambo hili ni rahisi na mimi naliweza. Ila mara nyingi ukiwafuatilia watu wa namna hii utagundua kwamba wao wanasema tu ili kujifurahisha.  Sio kila anayesema ni rahisi basi huwa anafanya kile kitu kuonesha urahisi wake uko wapi. Rafiki yangu, kama unataka kupiga…

  • Hii Ndio Sifa Ya Rafiki Wa Kweli

    Hongera sana rafiki kwa siku hii ya leo. Kumbuka kwamba siku ya leo ni siku ya kipekee sana. Haijawahi kutokea wala haitakuja kutokea. Ni siku mpya, ni siku ya kipekee na siku  itakayokuwezesha kufanya makubwa sana. Leo hii tuangalie sifa moja kuu ya rafiki wa kweli. Sifa nzuri sana ya rafiki wa kweli ni kwamba …

  • Hili Ni Jambo La Kishujaa Unalopaswa Kufanya Likiwa La Kwanza Kila Siku

    Zamani nilikuwa najua kwamba ili mtu aitwe shujaa, basi anapaswa kuwa ameipigania nchi yake katika vita au kufanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mtu mwingine.  Yaani nilijua kwamba mpaka awe amefanya kitu kikubwa sana, sana hapo ndipo tunakuja kusema kwamba huyu ni shujaa. Ila kumbe ushujaa sio mpaka vita. Ushujaa sio mpaka utangazwe kwenye vyombo…

  • Kama Huoni Thamani Ya Kitu Hiki Basi Huwezi Kuona Thamani Ya Vitu Hivi.

    Kuna vitu huwa hatuoni thamani yake katika udogo wake, tukisubiri kuja kuona thamani ya vitu hivyo vitakapokuwa  vikubwa sana. Ila ukweli ni kwamba  kama hujaona thamani ya vitu vidogo basi huwezi kuona thamani ya vitu vikubwa. Kama huoni thamani ya shilingi mia moja basi hutaona thamani ya laki. Kama huoni thamani ya dakika moja basi…

  • Hii Ni Imani Mbaya Ambayo Watu Wanayo Juu Ya Kushindwa

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana. Katika maisha yetu ya kila siku moja kati ya jambo ambalo halipendwi kuongelewa sana na neno kushindwa. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu walio wengi wanafikiri kwamba kushindwa ndio mwisho wa kila kitu. Na wengine wanajua kwamba…

  • Sifa Tatu Wanazobeba Wajasiliamali Kwa Pamoja

    Kuanzisha, kukuza na kuendeleza biashara kuanzia chini sio suala la kuchukulia lelemama. Ni suala ambalo kiukweli lina misingi yake mikubwa sana ambayo ipo na misingi hii wajasiliamali makini sana wanaifahamu.  Na ukiwafuatilia watu wote walioanzisha na kukuza biashara zao basi utaguandua kwamba kuna vitu ambavyo wao wanavyo, vinavyowaunganisha na kuwafanya wazidi kung’0aa na kuinua biashara…

  • Kitu Kimoja Cha Thamani Unachoweza Kufanya Siku Yako Inapoanza

    Kwa kawaida sana asubuhi watu huwa wanakimbizana na vitu vingi sana, sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba watu walio wengi huwa wanaianza siku wakiwa wamechelewa hivyo kujikuta wamechelewa kufanya baadhi ya vitu. Na hivyo kuna vitu ambavyo watu huwa wanasahau kabisa kuvifanya. Soma Zaidi: Nani Ametengeneza Kanuni Hii? Haifanyi Kazi!! Kuna vitu vingi unaweza…

  • Swali Moja Ambalo Kila Mwenye Malengo Anapaswa Kujiuliza Kila Wakati

    Kuna maswali ya kila aina ambayo unapaswa kujiuliza kila siku unapoamka asubuhi, mchana na jioni haswa linapokuja suala zima la kuelea kwenye kilele cha malengo yako. Soma Zaidi: Maswali Muhimu Unayopaswa Kujiuliza Kila Unapoamka Asubuhi Soma Zaidi:  Maswali Muhimu Ya Kujiuliza Kabla Ya Kuingia Kwenye Ujasiliamali Ila kiukweli kuna swali moja muhimu sana ambalo unapaswa…

  • Hii Ndio Sifa Ambayo Kila Kiongozi Anabeba

    Mara nyingi sana likiongelewa neno kiongozi basi kinachokuja kwenye akili za watu walio wengi sana ni mtu mwenye mamlaka au madaraka. Kwa maana ya kawaida ambayo inatumiwa na watu wengi sana. Basi kiongozi ni mtu ambaye ana cheo katika shirika, kampuni au taasisi fulani. Lakini je hii ni kweli? Vipi nikisema hata mfagia barabara ni…

  • Kijana Usidanganyike, Wakati Unazidi Kusogea

    Kumekuwepo na misemo kadha wa kadha ambayo vijana wamekuwa wakiitumia kujikinga wakati wanafanya jambo fulani.Kwa mfano unakuta kijana anaangalia tamthiliya wakati wote, ukimuuliza kulikoni basi atakwambia maisha yenyewe menyewe magumu wacha nile ujana. Wakati huo huo anasahau kwamba muda anaosema anakula ujana  unazidi kusogea na hauji kujirudia kamwe. EBU KIJANA ANZA KUJIFIKIRIA MARA MBILI TATU…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Unapaswa Kukitafuta Unapokutana Na Watu

    Habari ya siku hii njema sana rafiki. Hongera kwa uhai wa siku hii nyingine. Kama ishara ya kujipongeza naomba uvute pumzi kwa nguvu mara tano. Sasa tuendelee. Kila siku unakutana na watu wapya. Na pengine unakutana na watu walewale ambao umewazoea. Je, umeshajiuliza ni kitu gani unapaswa kukitafuta kila unapokutana na mtu. Je, ni kitu…

  • Hivi Ndivyo Watu Wanaweza Kufikia Malengo Makubwa Sana

    Je, una lengo kubwa sana kiasi kwamba unajiuliza nitalifikiaje? Je, umepabga kulifikia baada ya muda gani? Hongera sana kwa kuwa lengo kubwa kama hili hapa. Ila sasa tunapaswa kuzungumzia juu ya saikolojia ya kuhakikisha wewe unalifikia lengo lako.  Sasa ni muda wa kuingia kwa ndani na kuangalia mambo ambayo watu hufanya katika kuhakikisha kwamba wanafikia…

X