Category: Uncategorized

  • Huu Ni Ubishi Ambao Kila Mmoja Anapaswa Kuuonesha

    Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki. Hongera sana kwa siku hii njema ya leo rafiki yangu. Hakika leo ni siku ya kipekee sana, basi hakikisha unaitumia vyema ili uzidi kusonga mbele. Moja kati ya watu wanaofikia mafanikio makubwa sana kwenye dunia hii ni watu WABISHI. Wabishi ni watu ambao wanafurahia sana mema…

  • Hii Ni Nafasi Ambayo Unapaswa Kuishikilia Siku Zote

    Niliingia katika mfumo wa elimu kama mwanafunzi miaka takribani 16 iliyopita. Kwa mara ya kwanza nikiwa shule ya msingi baada ya kufanya mtihani wa kwanza matokeo yalitolewa. Walianza kusoma matokeo. Kwangu hili lilikuwa jambo geni ambalo nilikuwa sijawahi kukutana nalo maishani. Katika matokeo hayo kulikuwa na nafasi ya kwanza mpaka ya mwisho.Kwa jicho la haraka…

  • UCHAMBUZI WA KITABU: THE ALCHEMIST

    Ukisia watu hawasomi vitabu, basi jua kwamba hawasomi kwa sababu ya uzembe. Ukisikia watu wanasoma vitabu jua kwamba wamejitoa kweli kutafuta maarifa  na wana kiu ya maarifa.  Katika dunia hii unaweza ukaamua kufanya kimoja kati ya hayo hapo. Mosi kujitoa au kuzembea. Na huwezi kufanya yote mawili. Kwa nini nimeanza uchambuzi wa leo kwa namna…

  • 365: ANZA KUTUMIA KILE ULICHONACHO

    MADE IN AFRICA:  IMETENGENEZWA BARANI AFRIKA Mbinu 366 Za Kujing’arisha barani Afrika GODIUS RWEYONGEZA MBINU YA 365: ANZA KUTUMIA KILE ULICHONACHO Mara nyingi watu huwa wanazunguka huku na kule kutafuta fursa. Na sio jambo la ajabu kukuta watu wamekaa tu kwa kisingizio cha kwamba hawana kitu au hawana kazi ya kufanya.  Na hapo hapo watu…

  • Lugha Muhimu Ambayo Ni Zaidi Ya Maneno Ya Kawaida

    Kwa kawaida mawasikiano kati ya mtu mmoja na mwingine yanapitia katika lugha. Lugha ndio kiunganishi kati ya watu wa mataifa, na makabila mbali mbali. Kwa Tanzania Kiswahili ndio lugha yetu ya taifa ambayo inatuunganisha sana. Kwa sasa hivi ukienda kwenye kila kona ya Tanzania basi utakuta watu wanaongea Kiswahili. Hata kama bado utawakuta watu hao…

  • UCHAMBUZI WA KITABU: Maswali 101 Ya Kumuuliza Mwenza Wako Kabla Ya Ndoa

    Kila mtu katika maisha anapenda kuwa na mahusiano mazuri. Anapenda kuolewa au kuoa mke ambaye wataweza kuishi kwa pamoja na kufurahia maisha. Hata hivyo wanandoa walio wengi huwa wanaishia kulia, hii ni kutokana na ukweli kwamba mambo waliyokuwa awanayategemea kukutana nayo kwenye ndoa huwa yanakuwa kinyume kabisa. Pengine mwenza waliyekuwa wanamwamini kwamba huyu ndiye, hugeuka…

  • Kitu Kimoja Ambacho Unapaswa Kukiepuka

    Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo. Binafsi nafurahi sana maana siku hii ya leo ni siku ya kipekee sana katika maisha yetu na kama kawaida hakikisha unaweka juhudi kubwa sana katika kuhakikisha kwamba unazidi kusonga mbele. Rafiki yangu siku ya leo kwako iwe ya kivitendo zaidi kuliko maneno.  Hakikisha kwamba…

  • Vitu Vitatu (03) Vitakavyoongeza Ufanisi Kazini Kwako

    Naam, hongera sana kwa siku nyingine ya kuishi hapa duniani. Ukiona umeamka tena ndani ya siku nyingine basi jiulize kitu gani kikubwa leo unaenda kufanya? Ni thamani gani unaenda kuiweka siku hii ya leo?Hayo ni maswali muhimu sana ambayo unapaswa kujiuliza.Wakati kujiuliza maswali kutakufanya uongeze ufanisi mkubwa sana. Lakini bado nakuongezea vitu vingine vitakavyokufanya uongeze…

  • Athari Ya Mtazamo Wako Kwa Vitu Vinavyokutokea

    Rafiki yangu, hongera sana kwa siku hii njema ya leo. Ianze siku ya leo ukiwa na mtazamo chanya wa kushinda. Mtazamo wa kufanya makubwa na mtazamo wa kukutana na mambo mazuri. Kwa nini kuwa na mtazamo kama huu? Hili ni swali ambalo kwa haraka haraka unapaswa kuliuza. Kiukweli ni kwamba mtazamo chanya ndio utaleta mwitikio…

  • Hii Ni Kauli Ambayo Unapaswa Kuiepuka Kwenye Maisha Yako

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana, sana kwa siku hii ya leo. Tangu tunapoamka asubuhi mpaka jioni huwa tuko kwenye maongezi. Na maongezi huwa tunayatumia kama njia ya kuwasiliana na watu wengine.  Maongezi haya huwa yanakuja kupitia kauli tunazotoa. Na mara nyingi sana watu huongea na kutoa kauli bila kufikiri. Kitu…

  • TWO IN ONE: Jinsi Ya Kutumia Kanuni Hizi Mbili Kama Kitu Kimoja.

    Siku zote  mtu kama unapenda kupata kitu kikubwa sana, lazima uwe tayari kuchukua hatua kubwa sana. Labda utakuwa unajiuliza kwa nini leo hii nimeanza na kauli kama hiyo hapo. Ni kweli rafiki yangu, lazima ujiulize. Najua kwamba katika maisha unataka kupiga hatua kubwa sana ya kukutoa hapo mpaka viwango vingine vya juu kabisa. Na ili…

  • Hii Ni Biashara Ambayo Unapaswa Kuepukana Nayo

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo. Ni mara nyingi sana umekuwa ukiambiwa na watu juu ya biashara ambazo unapaswa kufanya. Ni mara nyingi sana umekuwa ukizisikia fursa muhimu sana ambazo unapaswa kuzikimbilia zikakuinua kutoka hapo ulipo kwenda hatua ya ziada.  Lakini ni mara chache…

  • Kitu Chochote Ambacho Hakikuumizi, Kinakuimarisha

    Hongera sana rafiki kwa siku hii ya leo.Kama kuna kitu kikubwa sana ambacho unapaswa kufanya ndani ya siku hii ya leo basi ni kukua. Kwenda ambapo ulikuwa hujawahi kwenda. kuuza kitu katika biashara yako kwa mtu ambaye ulikuwa hujawahi kumuuzia. Kuongeza kipato chako leo ili kiwe tofauti na kilivyokuwa jana. Kuongea na mtu mmoja ambaye…

  • Aina Tatu Za Watu: MOTO, BARIDI NA UVUGUVUGU

    Leo ni terehe 09 Julai 2018. Hongera sana rafiki ya kwa siku hii ya kipekee sana. Haijawahi kutokea  haitakuja kutokea. Moja kati ya usemi ambao ni rahisi sana kuusikia kutoka kwa vijana ni usemi kama huu hapa.  YAANI SIKU HIZI KWENYE KUANGALIA MOVIE SIPO,….KWENYE KUANGALIA MPIRA SIPO…..YAANI NIPO NIPO TU. Bila shaka umewahi kusikia usemi…

  • Uchambuzi wa Kitabu: FAILING FORWARD Ukianguka angukia mbele

    Hivi ni kitu gani kinawafanya watu wengine wanafanikiwa na wengine wanashindwa. Je, ni kitu gani kinawafanya watu wengine wanaonekana kila wanachogusa kinabadilika kuwa dhahabu huku wengine wanaonekana  kila wagusacho haking’ai. Je, inaweza kuwa ni familia ambazo watu wamezaliwa? Hapana maana watu wawili wanaweza kuwa wamezaliwa kwenye familia moja, mmoja akatokea kuwa mwenye mafanikio na mwingne…

  • Hiki Ni Kitu Ambacho Huwafanya Watu Wengi Kushindwa

    Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kutafakari kitu ambacho watu huwafanya watu wengi kushidwa, kuanguka na kuacha kufikia ndoto zao. Watu…

  • HII NI HAZINA ILIYOLALA KWENYE KITABU HIKI KIMOJA

    Moja kati ya hazina kubwa sana ambazo dunia yetu inazo ni vitabu. Vitabu ni hazina kubwa sana ambayo   ndani yake kuna kila aina ya madini.  Kama umewahi kusikia kwamba watu wanachimba dhahabu ardhini basi dhahabu pia inaweza kuchimbwa kwenye vitabu. Na dhahabu hii itakusaidia sana wewe kuweza kusonga mbele na kupiga hatua kubwa sana. Mwezi…

  • Jambo Moja Ambalo Halipaswi Kukushangaza

    Mara nyingi sana huwa tunaamua kufanya vitu na watu mbali mbali. Huwa tunanda makundi ili kufanya kazi pamoja na watu n.k, Na mara nyingi sana huwa tunaweka nguvu yetu kubwa sana huko tukifahamu kwamba makundi haya tuliyoyaunda yatadumu milele. Na mara makundi yanapoleta dosari au kuonesha hali ya kutoeendelea basi watu hukata tamaa na kuona…

  • Jambo Moja Unalopaswa Kufahamu Kabla Ya Kuingia Kwenye Mahusiano

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo.Rafiki yangu naomba niikwambie kwamba tupo katika dunia hii kuhakikisha kwamba tunafanya mabadiliko makubwa sana. hii ndio kusema kwamba hatupaswi kuwa watu wa kufanya kitu ilimradi tu tumefanya au kuonekana kwamba tumo. Bali tunapaswa kuhakikisha kwamba tumekifanya kwa kuweka nguvu na…

  • Nani ametengeneza kanuni hii? Haifanyi kazi!!!

    Nakumbuka shule ya msingi kuna maswali ambayo usingeweza kuyafanya bila ya kuwa na kanuni. Kwa hiyo ulipaswa kumeza kanuni husika ili uweze kufanya swali fulani kwa ufanisi. Kwa hiyo ulikiwa wajibu wa kilaw mwanafunzi kuhakikisha kanuni zilizo katika mtaala anazijua na kuzifuata. Kama ni kanuni ya mduara, basi kila mwanafunzi alipaswa kuijua haswaaa, na kuitumia…

X