Category: Uncategorized

  • Usisahau Kushukuru

    Kila siku mpya inakuja na  mambo mapya. Ndani ya kila siku mpya tunakutana na watu wapya. Kila mtu ana mchango wake katika kuhakikisha sisi tunasonga mbele. Usisahau kushukuru. Usisahau kushukuru kile ambacho watu wanakufanyia.Kuna watu ambao wanaweza kukuzuia wewe kufanya kitu fulani, ila mara ukakaa na kufikiri na kuja na mbinu mpya. usisahau  kuwashukuru maana…

  • Kosa Kuu Ambalo Watu Hufanya Wakati Wa Kuweka Malengo

    Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Kiukweli siku hii ya leo ni siku ambapo wewe hapo unapaswa kufanya makubwa sana.Na haya makubwa utayafanya kama…

  • A NOTE FROM SONGA MBELE; GO STRAIGHT TO THE POINT

    Mara nyingi sana watu wanapokuwa wanaongea na mtu wanaanza kuongea mbwembwe kibao kabla ya kuongea jambo la msingi. Unakuta mtu ana bidhaa anaanza kuzungumzia hili na kuzungumzia lile badala ya kumwambia mtu kwamba ana bidhaa fulani. Soma Zaidi;  A NOTE FROM SONGAMBELE; TOA KINACHOHITAJIKA Au mtu anakupigia simu ana shida, anaanza kupiga stori za juzi.…

  • Ni Mwaka Mmoja Sasa Tangu Kitabu Hiki Kiandikwe

    Ni mwaka sasa umepita tangu kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kiandikwe. Kitabu hiki nilikiandika mfululizo na kukipangilia kwa mwezi mzima. Na mwezi huu haukuwa mwingine bali ni mwezi wa nne 2017. Hapo awali kitabu hiki kilikuwa kimeandikwa kwenye daftari. Kama ambavyo inaonekana hapo juu. Baadae mwezi wa tano wa mwaka jana ulikuwa ni mwezi…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; TOA KINACHOHITAJIKA

    Ili umkamate samaki unahitaji kumpa chambo. IPO hivyo. Hakuna jinsi unavyoweza kumakamata samaki kwa kumpa ugali na nyama. Kwa hiyo gharama kubwa ya kumakata samaki ni kutafuta chambo na kumpa. Ukilifahamu hili kwenye safari ya mafanikio wala hata haitakupa taabu, maana utafanya kama unavyofanya kwenye samaki. Na chambo cha mafanikio ni kuwa tayari kulipa gharama.…

  • Huu Ni Aina Ya Ubabe Unaopaswa Kuuonesha

    Katika safari nzima ya kutoka sifuri kuelekea kileleni kati ya vitu ambavyo huwezi kuviepuka ni changamoto na vikwazo. Vikwazo vipo,Changamoto zipo,Kukata tamaa kupo,Kukatishwa tamaa kupo,Kukataliwa kupo, Yaani ili kuweza kukifikia kilele cha mafanikio ambayo unayataka basi lazima ujue wazi kwamba changamoto zote hizi lazima utakutana nazo tu.Ila ubora ni kwamba matatizo haya na changamoto sio…

  • Haya Ni Malalamishi Unayopaswa Kuwa Nayo

    Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo. Katika hali ya kawaida watu wanapenda kulalamika.  Wanapenda kuilalamikia serikali kwa sababu ya kutotoa fursa. Wanalalamikia serikali kwa kutowajali. Wanailalamikia serikali kwa kutotoa ajira na malalmishi mengine sana. Soma Zaidi; Hizi Ni Sauti Tano Ambazo Hupaswi…

  • Fanya Kile Unachopenda Kuona Kimefanywa

    Je, kuna kitu ambacho ungependa kuona kimefanyika?Je, kuna kitabu ambacho unafikiri bado hakijaandikwa?Je, kuna wimbo ambao unajua wazi haujaibwa? Soma Zaidi; Vitu Vinne (04) Vinavyowafanya Waajiriwa Kuendelea Kuajiriwa Rafiki yangu kama unajua kuna kitu ambacho hakijafanyika na ungependa kuona kinafanyika, basi weka juhudi kuhakikisha kwamba kitu hicho kinafanyika. Na unakifanya wewe. Kitu chochote ambacho unapenda…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; Umeongea Na Nani Leo?

    kila siku huwa ni siku njema sana ya wewe kuweza kuitangaza BIASHARA yako.Kama wewe Leo hujapiga hata hatua moja kuhakikisha kwamba unaitangaza BIASHARA yako jua kwamba hujaitendea hako BIASHARA yako  ipasavyo. Unapaswa kuhakikisha kwamba kila kunapokucha walau unamfikia MTU mmoja wa ziada. Kila siku unapaswa kuitangaza biashara yako ambapo ulikuwa bado hujafanya? Je, umefanya hivyo…

  • HUYU NI MTU UNAYEPASWA KUSHIRIKIANA NAYE

    Kila siku unapata nafasi ya kuwa na watu mbali mbali ambao unashirikiana nao. Ila sio kila MTU ambaye unakutana naye anakufaa. Kuna MTU mmoja muhimu sana ambaye unapaswa kushirikiana naye. Na hu sio mwingine. Bali MTU ambaye anakupa changamoto. MTU ambaye nawaza mambo makubwa.Mtu ambaye anawaza chanya.Mtu anayejua umuhimu wa Muda (anatunza miadi).Mtu anayekusikiliza pale unapopaswa…

  • Vitu Vinne (04) Vinavyowafanya Waajiriwa Kuendelea Kuajiriwa

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana na bado kuna juhudi zaidi unazidi kuweka ili kuhakikisha kwamba unaweza kufika unapotaka kufika. Hongera sana rafiki yangu. Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini watu wanaendelea kukaa ajirani ingawa wanajua wazi kwamba kukaa ajirani hakuwezi kutoshereza mahitaji yao?Ukiongea na…

  • Unawahitaji Watu Ili Kufanikiwa

    Moja kati ya vitu ambavyo mara nyingi sana vinakuwa vimesimama nyuma ya ushindi wa watu mbali mbali ni watu. Watu ambao wanakuwa wanakusukuma kuweza kufikia hatua kubwa sana maishani. Soma Zaidi;  Usikubali Kukosa Namba Kwa  mfano ukifuatilia wanasiasa wakati wa kampeni utagundua wanawatafuta watu ambao wanakuwa na  ushawishi sana ili wawasaidie kupiga kampeni. Ukiwaangalia wanamziki…

  • Njia Tano (05) Za Uhakika Za Kupoteza Muda

    Ukitaka kujua umuhimu wa mwaka mmoja muulize mwanafunzi aliyerudia mwaka Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako na unaenda kuitumia siku hii kufanya makubwa sana. Moja kati ya rasilimali muhimu sana katika maisha ni muda. Kuna watu kila kukicha wanautafuta muda zaidi kwa kuwaajiri…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; Namba Za Simu

    Kama katika namba za simu zote zilizo kwenye simu yako hauna namba ambazo unaweza ukazipigia zikakusaidia kutatua tatizo Fulani basi hapo unapaswa kuivunja laini hiyo … Ndio inashangaza lakini ni ukweli.Kama watu wote ulionao kwenye simu yako muda wote tu wanataka mchati, tena sio masuala ya maana. vunja laini. Vunja laini na anzisha mpya ambayo…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; Matumizi Ya Pesa

    Moja kati ya vitu unavyopaswa kuviepuka ni watu kujua kwamba una pesa. Yaani hakipaswi kuwepo kipindi ambacho ukishika pesa mkononi kila mtu anajua. Kwa mfano pale unapopokea mshahara. Sio lazima kila mtu ajue kwamba sasa mshahara umeingia. Na ili kuepuka hili kuna tabia utapaswa kuzibadili.Mfano sio lazima watu wakujue kwamba unapokuwa na pesa ndipo unapost…

  • Vitu Haviishi Kama Vilivyoanza

    Vitu haviishi kama vilivyoanzaHapa katikati huwa kuna mabadiliko.Kazi hubadilikaMarafiki hubadilikaKipato hubadilikaMahusiano hubadilika Kwa hiyo pale utakapoona kitu hakiendi kama ambavyo kimeanza basi hapo usisite kuweka juhudi ili kupata matokeo unayoyataka. Vitu haviishi kama vilivyoanza. Watu mara nyingi hupenda kukuona kama walivyokuona siku ya kwanza. Kama hutapiga hatua na kusonga mbele zaidi basi watu watazidi kufurahi…

  • A NOTE FROM SONGAMBELE; VIDOGO VS VIKUBWA

    Ukilala muda unaopaswakufanya kazi, utafanya kazi mudaunaopaswa kulala Ukitumia pesa kufanya manunuzi ambayo si ya lazima ghafla utajikuta unahangaika kukopa pesa kwa ajili ya matumizi ambayo ni ya lazima Usipokuwa makini na matumizi ya hela kidogo mkononi hutaweza kutumia hela kubwa sana ambayo utakuja mkononi mwako. Kama huwezi kuanza na hatua hatua kdogo ndogo kuelekea…

  • KITABU, TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA

    Kwa siku nyingi sasa kumekuwepo na malalamishi kutoka kwa watu mbalimbali, ndani na nje ya bara la la AFRIKA, malalamishi haya haswa yanaelekezwa kwa wazungu na wakoloni na watu nchi za nje. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba sasa bara la Afrika lingekuwa limepiga hatua kubwa sana kama wasingekuwa wakoloni waliotawala nchi hizi za Afrika na…

  • Usibadili Kioo

    Tunaangalia kwenye kioo tunajiona sisi wenyewe.Itaonekana ajabu pale utakalalamika kwamba juu ya kile unachokiona kwenye kioo.Ni ajabu pia kubadili kioo ili upate picha ya tofauti. Kama tunataka kubadili picha ya kweye kioo lazima tujibadili sisi wenyewe. Kwa maneno mengine ni kwamba kama hutaki matokeo ya kile unachopata kwenye maisha basi unahitaji unahitaji kujibadili wewe kwanza…

  • Hii Ni sentensi Ambayo Unahitaji Kuiepuka

    Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema ya leo. Ndani ya kila siku mpya kuna vitu vya kufanya. Yaani kuanzia asubuhi mpaka ileee jioni unakuwa vitu kibao vya kufanya. Mbali na kwamba unakuwa na vitu hivi vingi sana vya kufanya. Bado unahitaji kufanya uchaguzi na kufanya baadhi na…

X