-
Kama Fedha Ingekuwa Dini
Fedha ni kitu pekee duniani ambacho kinaunganisha watu wote. Hakijali jinsia, dini, rangi Wala kabila. Mwislam na mkiristo wanatofautiana kwa mamho mengu mengi kwenye dini, ila linapokuja suala zima la fedha basi wanakubaliana vizuri. Kwa hiyo nataka kusema Nini? Nataka kusema Mambo haya matano. Moja; kama fedha Ingekuwa dini, basi Ingekuwa dini yenye wafuasi…
-
Fursa Za Msimu
Kuna fursa nyingine huwa zinatokea kwa msimu na kupotea. Ndio maana hata kwenye vyombo vya habari utasikia wanasema, msimu huu wa pasaka, krismasi n.k. Maana yake hicho ni kipindi ambacho huwa kinaambatana na fursa fulani. Kuna fursa za msimu wakati wa pasaka, krismasi, mwezi mtukufu wa ramadhani, sikukuu za kiserikali na kidini, matamasha, semina…
-
Huu Ndio Ukweli Unapaswa Kuufahamu Kuhusu Wazo Bora La Biashara
Rafiki yangu, moja ya kitu ambacho watu wamekuwa wanakosea ni Kushindwa kuanza biashara huku wakisubiri wapate wazo bora la biashara. Ninachopenda ufahamu ni kuwa wazo Bora la biashara halishuki kutoka mbinguni.1. Wazo la biashara lipo kwenye huduma mbovu wanazotoa watu.2. Unaweza kupata wazo bora la biashara kutokea kwenye matatizo yanayowakumba watu.3. Unaweza kupata wazo bora…
-
Ugunduzi mkubwa kuwahi kufanyika hapa duniani
Zimewahi kufanyika gunduzi nyingi sana hapa duniani. Na hata leo hii bado kuna gunduzi nyingi zinaendelea kufanyika. Hata hivyo, kuna ugunduzi mkubwa ambao ndiyo ugunduzi nambari moja kukiko ugunduzi mwingine unaoufahamu wewe. Na ugunduzi huu ni kuwa mtu anaweza kubadili maisha yake akibadili mtazamo wake. Hii ni kauli ya James Allen ambayo aliitoa kwa…
-
Jinsi Habari Njema Zinavyoweza Kukufanya Upate Ushindi
Soma habari njema kwanza, kabla hujasoma habari mbaya Tunaishi katika ulimwengu ambapo habari mbaya zinasambazwa kwa kasi kwelikweli kuliko habari njema. Hata hivyo kwenye ulimwengu huu unapaswa kuwa mtu wa kusoma habari njema zaidi ya unavyosoma habari mbaya. Jiwekee utaratibu wa kusoma habari njema kwanza.Ukiamka asubuhi, tafuta habari njema na uzisome. Mchana, Soma habari…
-
PENDA MREJESHO.
Kwenye makala ya jana nilikutahadharisha kuhusu kuepuka kujiingiza kwenye ugomvi na watu kutokana na wewe kutaka kuwaonesha njia sahihi pale unapoona hawafanyi kitu sahihi. Nilikutahadhirisha hivyo, kwa sababu watu wengi hawapendi kuambiwa ukweli. Hata hivyo hali inapaswa kuwa tofauti kwako. Soma zaidi: Huu Ni Ugomvi Ambao Unapaswa Kujiepusha Nao Wewe unapaswa kuwa mtu wa kupenda…
-
Huu Ni Ugomvi ambao Unapaswa Kujiepusha Nao
Rafiki yangu, muda mwingine watu huwa tunajikuta tumeingia kwenye Ugomvi na watu. Tena kwa kujitakia kabisa. Leo nimeona nikwambie kitu komoja kinachofanya watu waingie kwenye ugomvi na jinsi ya kukiepuka. Kitu hiki ni kuwaonesha watu kuwa wanakosea. Ni wazi kuwa unaweza kuwa unaishi na watu ambao wanafanya vitu ndivyo sivyo. 1. Labda wanatumia fedha…
-
Wanaokwambia huwezi
Wanaokwambia hujui, wanatumia mwonekano wako wa nje au wanatukua uzoefu wao juu yao. Wewe una uwezo mkubwa sana ndani yako. Anza kuutumia.
-
Tujikumbushe Dibaji Ya Kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI
Rafiki yangu, kuna usemi kuwa kama kuna kitabu ambacho hakijawahi kuandikwa. Kiandike wewe. Wakati naandika kitabu Cha Kutoka SIFURI MPAKA KILELENI, nilikuwa naandika kitabu ambacho mwenyewe nilikuwa napenda kukisoma ila nilikuwa sijakipata sokoni. Cha kushangaza kuna watu wengi pia waliokuwa wanapenda kuona kitabu cha aina hiyo hiyo. Mmoja wao ni mwandishi wa Dibaji Ya Kitabu…
-
NGUVU YA RIBA MKUSANYIKO-Utangulizi
Riba mkusanyiko ni nini? Riba mkusanyiko ni muunganiko wa vitu baada ya kuwa vimefanyika kwa kipindi kirefu katika kuleta matokeo yaliyokusudiwa. Vitu vikifanyika mara kwa mara kwa muda mrefu, huleta nguvu ya pamoja ambayo kwa kufanya kitu kwa wakati mmoja isingewezekana. Kwa mfano ni nadra sana kuangusha ukuta kwa kupiga nyundo moja tu. Hata…
-
Anza Wewe Kwanza
Mabadiliko yoyote unayoka kuyaona, Anza wewe kuyafanyia kazi. Fanya kitu na kibadili kwanza, watu wengine watafuata nyuma yako. Huwezi tu kuhubiri mabadiliko wakati wewe mwenyewe hutaki kubadilika
-
Fursa zimejificha kwenye matatizo.
Fursa zimejificha kwenye matatizo. Matatizo yaliyo kwenye jamii ukiyatatua ni fursa. Hivyo, kaa uangalie jamii yako ina matatizo gani, kisha angalia namna ya kuyatatua hayo matatizo . Siku siyo nyingi tulikuwa kwenye mlipuko wa ugonjwa UVIKO. Kuna watu mlipuko huu umekuwa fursa kwao wakati wengine umekuwa janga kubwa kwao. Kuna watu waliweza kufanya vitu…
-
KAMA HUWEZI KUKIFANYA KWA VIWANGO VIKUBWA, KIFANYE HATA KWA VIWANGO VIDOGO
Kama kitu huwezi kukifanya kwa viwango vya juu basi kifanye kwa viwango vya chini. Kama huwezi kuajiri watu wengi basi ajiri watu wachache. Kama huwezi kuwa na vyanzo vingi vya kipato vinavyoingiza kipato kikubwa, basi kuwa na vyanzo zaidi vinavyoingiza hata kipato kidogo.Kama huwezi kukimbia kilomita nne kwa siku, kimbia mita mia tano.Kama huna…
-
Siri nzito ya kufikia chochote unachotaka
Miaka mingi iliyopita Napolleon Hill aliwahi kusema; kitu chochote ambacho akili yako inaweza kuamini na kushikilia kwa muda mrefu inaweza kukifikia. Kumbe basi, kama unataka kufikia kitu chochote kikubwaMoja, unapaswa kukijua hicho kitu.Pili, unapaswa kuwa imani isiyoteteleka.Tatu, unapaswa kukifanyia kazi huku ukiwa na imani yako. Kama imani yako kuwa unaweza kufikia hicho kitu haitateteleka,…
-
Vitu 10 ambavyo siyo lazima uwe kiongozi ili uvifanye
Umekuwa ni utaratibu wa watu wengi kuilalamikia serikali na kuitwisha mzigo kwa kila kitu hata kwa vitu ambavyo wao wenyewe wanahusika kuvifanya maishani mwao. Siyo kwamba naikingia mkono serikali ili usiiseme, ila ebu mwangalie mtu kama huyu hapa. Kuna siku moja ambapo nilisikia jamaa analamlalamikia Magufuri kuwa ameshindwa kuiendesha nchi vizuri kwa sababu siku…
-
Njia bora ya wewe kukabiliana na tatizo la kughairisha
Rafiki yangu Kama umekuwa mtu wa kughairisha kazi zako, hii hapa nu njia ambayo unaweza kuitumia kwa manufaa. Njia hii ni 1. Kuamua kufanya hicho kitu kwa muda mfupi tu, labda dakika moja au mbili. Ukiweza kufanya hivi, utajikuta umeweza kufanikisha kazi yako, maana shida kubwa huwa ipo kwenye kuanza, ila ukishaanza dakika mbili zinaweza…
-
Ijue maana nzuri ya MASIKINI
Kusikiliza Makala Hii BOFYA HAPA Watu huwa wanapenda kusema kuwa kila kitu kina faida na hasara zake, hata hivyo nimewahi kujiuliza faida za umasikini zikuzipata. Na hata nilipowauliza watu waniambie faida za umasikini hakuna aliyeniambia. Soma zaidi: Nani Anaweza kuniambia faida ya umaskini? Sasa siku ya leo ninataka nikwambie maana ya umasikini. Mtu MASIKINI kwa…
-
Kwa Nini Nitaendelea Kuandika Kila Siku Bila Kuchoka
Leo nimeona nishirikishe kuhusu uandishi na kwa nini nitaendelea kuandika bila kuchoka. 1 Uandishi Ni kitu ambacho ninafanya kutoka moyoni 2. Uandishi ni kitu ambacho kinanipa ushindi. Hata kama ikitokea jdani ya siku yangu nimeshindwa kufanikisha majukumu yangu ila nitakuwa na uhakika kuwa kwenye suala zima la uandishi nimefanikiwa kwa kuandika kitu fulani. 3. Uandishi…
-
Jenga mazingira ya kupata fursa zaidi
Kama unaona kama fursa haziji kwako, Tengeneza mazingira ya kupata fursa. Maana fursa huwa hazikauki ni Kama mto mkubwa. Muda wote unatiririka tu. Na fursa hivyohivyo.Kwa hiyo, kama wewe unaona fursa haziji kwako basi ebu jikwamue kwa kutengeneza mazingira ya kuzipata fursa zaidi. Jiongezee ujuzi zaidi ya ule uliokuwa nao mwanzo.Jitangaze zaidi.Ongea na watu…
-
Anza kutumia kitu hiki kwenye maisha yako kuanzia leo
Siku ya leo kuna kitu kimoja ambacho ningependa kukwambia ili uanze kukitumia kwenye maisha yako. Ukitumia kitu hiki ni wazi kuwa kinaenda kuwa chenye manufaa makubwa sana kwako. Kitu hiki siyo kingine bali ni kuongea kile unachohitaji bila kuanza KUZUNGUKA. Kitu hiki kidogo kitakufanya ufanikishe Mambo mengi kwa wakati Kila la kheri Umekuwa nami,…
