-
KABLA HUJALAMIKIA MAMBO 100 AMBAYO HAUNA SHUKURU KWA MAMBO 10 ULIYONAYO
Unaweza kuwa mtu mzuri kwa kulalamika kwa vile vitu ambavyo hauna. Unalalamika hauna ajira. Unalalamika watu wako wa karibu hawakujali. Unalamila hauna konekisheni. Lakini kabla ya kulalamikia hivyo vitu vyote, umeshakaa chini na kujiuliza ni vitu gani vichache ulivyonavyo? Ni vitu gani vichache unaweza kushukuru kwa kuwa navyo? Ujue leo hii unapumua. Kuna watu walitamani…
-
Amsha Uandishi Ulio Ndani Yako
Kila mtu huwa anapenda kuonesha kuwa ana kitu ndani yake. Ila njia za kuonesha huwa zinatofautiana. Wapo ambao huchagua kufikisha ujumbe huo kwa kutumia tattoos, wengine michoro, wengine kwa kutumia nguo, na wengine unyoaji wao huwa unaongea au huwa umebeba ujumbe. Japo njia zote hizo na zaidi zinaweza kufikisha ujumbe kwa watu, ila maandishi…
-
ACHA MAIGIZO WEWE
Kwa asilimia kubwa picha na maonesho ambayo watu wanafanya kwenye mitandao ya kijamii yanakuwa sio uhalisia. Vivyo hivyo, kwa vile unavyoviona kwenye runinga. Kamwe usiwe kuwa mtumwa na kuigiza kila unachokiona. Chagua aina ya maisha yako, yaishi hayo. Usiigize. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu anyeishi maisha halisi na anayeigiza.Kuna tofauti kati ya mtu…
-
Vitu Vitano Ambavyo Bosi/ Mwajiri Wako Hawezi Kukwambia
siku ya leo nimeona nikueleze vitu vitano ambavyo bosi wako hawezi kukwambia. na vitu hivi hakuna mtu mwingine atakuja kukwambia isipokuwa mimi tu ndio nimeona inafaa nikwambie vitu hivi. sasa ni juu yako kuvifanyia kazi ili utengeneze maisha ya tofauti au la uendelee kama ulivyokuwa unafanya siku zote. 1.Bosi wako hawezi kukwambia fedha iliyoanzisha biashara…
-
Kama umeshindwa kuhudhuria darasa la uandishi litakaloanza tarehe 20 mwezi huu basi fanya hivi sasa hivi
Tarehe 20 mwezi huu wa kumi tutaanza darasa maalumu la kujifunza uandishi. Darasa hili linaenda kufanyika kwa watu watano tu ndani ya siku 33. Kama unasoma hapa na ungependa kushiriki, pole sana. maana nafasi hizo tano zimeisha Labda kuna kitu kimoja tu ambacho unaweza kufanya ili kujifunza uandishi.a na kitu hiki kinaenda kuwa na manufaa…
-
Vitabu Vitano Vifupi Ambavyo Mtu Anayeanza Usomaji Wa Vitabu Anaweza Kuanza Navyo
Kama kuna tabia moja muhimu ambayo unpaswa kuijenga, basi ni tabia ya kusoma vitabu. Hata hivyo, usomaji wa vitabu unaweza kuonekana ni mgumu hasa kwa mtu ambaye anaanza kutokana na vitabu vingi kuwa vikubwa. kama unaanza kujenga tabia ya kusoma vitabu ni vizuri kuanza kusoma vitabu vifupi ila vyenye ujumbe mzito huku wakati huohuo…
-
TENGENEZA NJIA
Kama njia iliyopo Sasa hivi huipendi, chukua hatua. Tengeneza njia ya kwako mpya. Ujue kulalamika ni rahisi sana, ila hakutakuletea matokeo unayotaka na njia nzuri ya wewe kupata matokeo mazuri Ni kuyatengeneza. Umekuwa nami rafiki yako wa ukweli Godius Rweyongeza Hakikisha Umesubscribe kwenye Channel yangu ya youtube kwa KUBONYEZA HAPA Jiunge na mfumo wa kupokea…
-
Kuamka Asubuhi Na Mapema Ni Tabia (Njia Sita Za Uhakika, Zilizothibitishwa Na Zisizoshindwa Zitakazokuwezesha Kujenga Tabia Ya Kuamka Asubuhi Na Mapema)
Benjamin Franklin ambaye anafahamika kama mwananchi wa kwanza Marekani alikwahi kuandika kwamba kulala mapema na kuamka asubuhi na mapema kunamfanya mtu awe na afya njema, tajiri na mwenye busara. Haya maneno aliyaandika zaidi ya miaka 200 iliyopita kwenye moja ya barua aliyokuwa anaandika kwa mwanae. Pengine Franklin angekuwa anarudi leo hii angeshangaa kwa…
-
Habari Njema Kwako Na Habari Mbaya Kwako Na Hatua Moja Unayoweza Kuchukua Sasa Ili Ujifunze Uandishi
Rafiki yangu siku sio nyingi nilikupa taarifa kuwa walikuwa wanahitajika watu watano ambao ningewafundisha kuhusu uandishi. Na kwenye taarifa hii nilikwambia kwamba watu hawa watano nitawafanya kuwa waandishi wabobezi ndani ya siku 33 tu. Kiukweli nafasi hizi tano zimeshambuliwa kiasi kwamba tangu juzi nafasi hizi zimeisha na hivyo kama bado wewe ulikuwa unajipanga kwamba uweze kuhudhuria…
-
Njia Tano Za Kutengeneza Utajiri Na Moja Kuu Inayokufaa
Utajiri ni asili ya mwanadamu yeyote. Ni kitu muhimu kwake kuwa nacho. Kamusi ya kiswahili sanifu inasema kuwa utajiri ni hali ya kuwa na mali nyingi. Hata hivyo, leo hapa tunaenda kuona kuwa utajiri ni zaidi ya kuwa na mali nyingi. Maana kuna utajiri wa aina tatu. Kwanza, kuna utajiri mali na vitu vingine vizuri…
-
Usishindane Kwa Bei Labda Kama Wewe Ni Rockefeller. Vitu Sita Ambavyo Vinaweza Kukufanya Uwe Wa Kipekee Kwenye Soko Bila Kupunguza Bei
Kwa sasa hivi dunia ina mabilionea zaidi ya elfu 2. Hata hivyo,h haikuwa hivo mwanzoni mwa karne ya 19 ambapo mamilionea tu walikuwa wanahesabika, sasa mabilionea ndio walikuwa wachache kabisa kulinganisha na zama hizi hapa ambapo mabilionea wanaongezeka kila mwaka. Kipindi hicho Rockefeller aliibuka kuwa mtu mwenye fedha nyingi sana kuliko mtu yeyote aliyekuwa…
-
Kutana Na Watu Watano Walioshindwa Karibia Kwenye Kila Kitu Na Bado Wakashinda Kwa Kishindo
Matatizo, vikwazo na changamoto humtokea karibia kila mtu kwenye maisha. Watu pekee ambao matatizo na vikwazo haviwezi kuwatokea ni wale waliolala kwenye makaburi. Ila kwa yeyote yule ambaye bado anapumua, basi matatizo na vikwazo ni kama sehemu ya maisha. Kitu kimoja cha kushangaza kuhusu matatizo, vikwazo na changamoto ni kwamba huwa vinawaimarisha baadhi…
-
Jinsi Kufanya Kazi Kwa Bidii Kunavyoweza Kukukutanisha Na Wafalme
Wiki naendelea kusoma kitabu cha 50Cent cha Hustle Hard Hustle Smart. Hik ni kitabu cha kipekee sana na kina mafunzo mengi kutoka kwa nguli huyu wa mziki. Moja ya somo kubwa ambalo tunaenda kujifunza siku ya leo ni kufanya kazi kwa bidii. 50Cent anasema kwamba, kama kuna kitu ambacho utapaswa kufanya ni kujituma na kufanya…
-
USIONGEE SANA, ACHA KAZI ZAKO ZIONGEE
Add caption Kati ya mtego mkubwa UNAOWEZA kujiingiza ni mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa unajua, mtego wa kutaka kuwaonesha watu kuwa umefanikisha kitu fulani. Hivi ndivyo watu wengine wanafanya. Wakifanya kazi kidogo, kelele zao zinakuwa nyingi mtandaoni. Wanataka kila mtu ajue. Sasa wewe unapaswa kuanza kufanya tofauti. Fanya kazi, zikamilishe Kisha ziache kazi…
-
Nafasi za kuingia darasani kujifunza uandishi zinaelekea kuisha. Changamka sasa hivi, usije kupitwa na fursa hii hapa
Juzi nilitangaza nafasi kwa ajili ya watu ambao wangependa kujifunza uandishi. Watu hawa wanaenda kuhudhuria darasa maalumu la uandishi ambalo litaendeshwa kwa siku 33 mfululizo. Kwenye darasa hili hapa tunaenda kujifunza mbinu zote za kiuandishi ambazo zitakufanya wewe uweze kuwa mwandishi mbobevu. Kama kuna maswali ambayo umekuwa unajiuliza kuhusu uandishi, yote yatajibiwa. Kwa mfano…
-
NINAHITAJI WATU WATANO, NAMI NITAWAFANYA KUWA WAANDISHI WABOBEVU NDANI YA SIKU 33 TU
Mwishoni mwa mwaka jana nilianzisha darasa maalumu la kufundisha uandishi. Ambapo katika darasa hili nilikuwa nafundisha mbinu za kiuandishi kwa mtu ambaye hajawahi kuandika kabisa au ambaye tayari ameanza kuandika ila hajaweza kubobea na kujenga nidhamu inayostahili katika uandishi. Katika darasa hili tulijifunza mbinu mbalimbali za kiuandishi na kila kitu unachohitaji kujua kuhusu uandishi. Kwa…
-
Usiogope Kuuliza
Ukiona mtu amefanya kitu na kukifanikisha basi ujue mtu huyo anajua kitu ambacho wewe hujui, hivyo kuwa tayari kumwuliza mbinu, kanuni, na sheria alizofuata mpaka akafanikiwa. Ikumbukwe kuwa kuuliza sio ujinga hata kidogo. Hivyo, uliza nawe utajibiwa Soma zaidi; Usiogope Kushindwa; Ni Sehemu Ya Kujifunza Imeandikwa na Godius Rweyongeza, Morogoro-Tz 0755848391 Hakikisha umeSUBSCRIBE kwenye YOUTUBE…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Nafasi Ya Kuongea Na Diamond Platinumz Mwenyewe
Pata kitabu hiki hapa kwa kubonyeza HAPA Mwaka juzi nilindika makala yenye kichwa cha TOO BUSY TOWATCHA YOUR DREAM. Katika makala hii nilieza jinsi unavyoweza kukutana na mabilionea, watu maarufu, wanamziki nguli na wengineo wengi ambao wewe mwenyewe ungependa kukutana nao. Sasa siku ya leo ningependa nikuoneshe jinsi unavyoweza kukutana na Diamon…
-
FANIKIWA KWA KUTUMIA KIPAJI CHAKO-2
Kila mtu ana kipaji, kitu adimu sana kukipata kwa watu ni uthubutu wa kukifanyia kazi hicho kipaji mpaka kikaleta matokeo. Na hata wale ambao huanza kufanyia kazi vipaji vyao, huishia njiani kwa sababu mwanzoni kipaji hakilipi na kinaonekana kama upotezaji wa muda. Kwa hiyo nipende kukusihi uwe na melengo maalumu ambayo unayafanyia kazi kwenye…
-
Usipokuwa makini
1. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa bado unahangaika na cheti kutafuta kazi mtaani 2. Utafikisha umri wa miaka 60 na kuwa ombaomba 3. Utafikisha umri wa miaka 60 ukifanya kazi usiyoipenda 4. Utafikisha umri wa miaka 60 ukiwa unafanya kazi ili kupata mlo wa siku husika, huku ukiwa huna uhakika wa kesho. Sasa…
