-
Huku Ndipo Unapaswa Kuwekeza Asilimia Kubwa Ya Muda Wako
Siku moja ina masaa 24. Ndani ya muda huu (yaaniasaa 24) kuna muda wa kulala, kufanya kazi, kutembea kutoka eneo moja kwenda jingine. Muda wote huu ukiuunganisha unapata karibia masaa 20 ambayo yanatumika. Ila cha kufurahisha ni kwamba unabakiza masaa 4 ambayo yapo yapo tu. Watu wengi huyatumia masaa haya kuangalia tamthiliya, kupiga soga na…
-
Mfanyie Kitu Hiki Mtu Huyu Hata Kama Humpendi
Kutokana na ukweli kwamba ajira zimekuwa hazipatikani kwa urahisi, basi watu wamekuwa wanajitoa ili kuingia kwenye ujasiliamali na kuanzisha biashara. Jambo hili ni jema sana, hata hivyo kuna watu wanaingia kwenye biashara bila wao kujua nini haswa kimewapeleka kwenye biashara hizo. Hivyo watu hujikuta wakiwahudumia wateja kwa mazoea sana, lakini pia hujikuta wakianzisha biashara ambazo…
-
Aina Hii Ya Kimbelembele Inaruhusiwa Kwa Kiwango Kikubwa
Steve Jobs alikuwa mvumbuzi ambaye ameishi kwenye zama hizi zetu. Mtu huyu (Steve Jobs) kwa kipindi cha maisha yake amevumbua vitu ambavyo vimebadili maisha ya watu na mwonrkano wa dunia nzima. Mwaka 1984, Steve Jobs alikuja na aina na kompyuta inayojulikana kama Macintosh. Aina hii ya kompyuta ilibadili kabisa hali ya hewa kwenye tathnia ya…
-
Kitu Hiki Ulichojifunza Kwenye Hadithi Na Tamthilia, Hakikisha Unakitumia Maishani Mwako
Kama wewe ni mpenzi wa hadithi na tamthilia basi utakuwa unafahamu kwamba kwenye hadithi hizi huwa kuna mtu mmoja ambaye ndiye mhusika mkuu kwenye hadithi/tamthilia husika. Mtu huyu huwa anapata misukosuko. Pengine huwa anapigwa kiasi cha kufa. Unakuta pengine anatekwa ila mtu huyu huwa anaendelea kupambana. Huwa hachoki wala huwa haachi kusimamia vitu fulani. Mbali…
-
Vitu Vitatu (03)) Ambavyo Vinahitaji Kuboreshwa Kila Siku
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema “maadui wa taifa letu ni watatu, umasikini, ujinga na maradhi. Vitu hivi vitatu umasikini, ujinga na maradhi ni vitu ambavyo kila mtu anapaswa kujiepusha navyo kwa kipindi chote anachoishi hapa duniani. UJINGA. Huu ndio chanzo cha vitu vingine vyote. Ujinga huleta umasikini. Ujinga huleta pia maradhi. Kama hauna elimu nzuri ya…
-
Ifahamu Kanuni Ya Kaizen Kutoka Kwa Wajapani
Japani ni miongoni mwa mataifa ambayo kiteknlojia limeendelea. Taifa hili kutoka mashariki kuna kipindi lilikuwa ni taifa la kawaida sana (masikini). Ila baadae uchumi wake ulianza kukua kwa kasi kiasi cha mataifa mengine kuogopa. Je, ni kitu gani kililifanya taifa la Japani kukua kwa kasi kiasi hicho? Ni kanuni moja inayojulikana kama kaizen. Kanuni ya…
-
Haya Ni Mambo Ya Kipekee Niliyojifunza Kwa Mzee Wa Zaidi Ya Miaka 55
Wahenga walisema “kuishi kwingi ni kuona mengi”. Nina hakika kwa msingi huu wahenga walitaka tujue kwamba wazee wetu wana mengi sana ambayo tunaweza kujifunza kwao na kuchukua hatua. Sio hilo tu kuna mtu mwingine aliyewahi kusisitiza kwa kusema kwamba, ukitaka kujua mengi basi waulize wazee wangekuwa wanarudi kwenye ujana wao wangefanya nini kikubwa? Ni kitu…
-
Masomo Saba (07) Ya Kujifunza Kutoka Kwa Wajasiliamali Wakubwa
“Kila mtu atapaswa kufanya walau kitu kimoja kikubwa katika maisha yake” huu ulikuwa ni wosia wa Sakichi Toyoda kwa wanae Kiichiro Toyoda. Sakichi alikuwa ameanzisha kampuni ndogo ya kutengeneza vifaa vya magari na sasa wakati miaka inaenda na anakaribia kifo chake basi ikabidi atoe wosia huu kwa mwanae. Wosia huu uliambatana na kumkabidhi mwanae biashara…
-
Vitu Sita (06) Ambavyo Utapaswa Kuvifanya Maishani Mwako
Hongera sana rafiki kwa siku hii njema sana. Leo hii siku ya kipekee sana naomba uitumie vizuri sana. Katika tungo yake ya Kioo; Jaguar ambaye ni mwanamziki amewahi kunukuliwa akiimba hivi “maisha ni kama safari/ na ya kwangu ishanoa nanga. Kuna siku mbili muhimu ya kuzaliwa na ya kuzama. Yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya…
-
Ukiweza Kumpa Mtu Kitu Hiki , Basi Utapata Chochote Unachotaka Kutoka Kwake
Kila mtu huwa kuna kitu ambacho anapendelea zaidi ya mwingine. Unaweza kukuta huyu anapenda mziki, lakini mwingine akawa anapenda kusafiri.Moja ya kitu ambacho utapaswa kujifunza katika maisha basi ni kuwapa watu kitu ambacho wanataka. Hili sio tu kwa watu. Hata mvuvi anajua ili kumpata samaki basi atapaswa kumpa chambo. Sio kwa sababu eti anapenda maziwa…
-
Aina Tatu Za Mahusiano Na Moja Inayokufaa Wewe
Hongera sana rafiki yangu mpendwa kwa zawadi ya siku hii nyingine njema sana. Hii ni siku ambayo ambayo unapaswa kuitumia haswa kwa sababu ya upekee wake. Lakini pia kwa upendeleo wako kuiona siku ya leo. Sio kila mtu ameweza kuiona siku hii njema mno. Sasa tuje kwenye makala ya leoMahusiano yoyote yale, yawe ni ya…
-
MAAJABU; Ona Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Sasa. Watu Wameacha Kujifunza, Mashine Ndizo Zinajifunza
Kati ya vifaa vizuri ambavyo tunavyo kwenye zama hizi hapa basi ni Simu za mkononi na kampyuta. Vifaa hivi ni muhimu sana maana vinarahisisha maisha lakini pia vinasogeza taarifa karibu. Tatizo linakuja linawakuta watumiaji wa vyombo hivi kiasi kwamba wanakuwa mateja.Kwa sasa sio jambo la kushangaza kukuta watu waliopanga na wametumia nauli zao kutoka mbali…
-
Hii Ni Kwa Wale Tu Wanaohitaji Mafanikio Kama Vile Wanavyohitaji Kupumua
Siku moja kijana mdogo alimwendea Socrates ili amuulize siri ya mafanikio. Alichofanya Socrates alimwambia njoo kesho muda fulani, tutakutana kwenye mto. Kesho yake kijana alijiandaa na kufika eneo husika. Socrates alianza kuingia kwe maji huku akimwambia kijana nifuate. Kijana alishangaa huyu ananipeleka wapi? Waliingia kwenye maji na kina cha maji kilianza kuongezeka. Ghafla Socrates alimshika…
-
Hivi ndivyo Unatumia Uwezo Mdogo Sana Ukilinganisha Na Dhahabu Hii Kubwa Uliyonayo
Ukilinganisha na vile ambavyo tunapaswa kuwa watu wameamka nusu”, alisema Profesa James William kutoka chuo kikuu cha Harvard. Hivi kumbe kwa msingi huu profesa William alitaka kutwambia kwamba watu wana uwezo mkubwa sana ila hata nusu ya uwezo huo haijatumika hado. Daah inashangaza sana. Kama wewe unasoma hapa basi utakuwa na ufahamu mzuri wa simu…
-
Kipaji Peke Yake hakitoshi: Vitu Vitano Unavyohitaji Ili Uweze Kutoboa
Kuna watu wanakaa wanafikiri kwamba wangezaliwa na aina fulani ya kipaji basi maisha yangewaendea sawa sawa kabisa. Yaani kwamba wangefurahia mema ya nchi. Sasa labda swali la kujiuliza ni Je, watu wote wenye vipaji wamefanikiwa sana?Jibu la haraka ni hapana. Ndio maana Myles Munroe anasema sehemu tajiri hapa duniani ni makaburini. Huko ndipo kuna watu…
-
Huu Ndio Ushauri Ambao Andrew Carnegie Anatoa Kwa Kila Mtu
Andrew Carnegie alikuwa mwanaviwanda wa karne 19 na 20 katika nchi ya Marekani. Kupitia kiwanda chake cha vyuma (steel industry) Carnegie alitengeneza utajiri mkubwa sana. Mpaka Sasa Carnegie ni miongoni mwa matajiri kumi wa nyakati zote. Kwa mtu kama huyu tuna mengi sana ya kujifunza. Historia yake tu ni somo kubwa. Sasa leo nimekuandalia mambo…
-
Jifunze Kutokana Na Historia Ili Ufanye Maamuzi Bora Sana
Biashara sio kitu kigeni kwenye zama hizi. Zimekuwa zikifanyika tangu enzi na enzi tokea zama za mababu na mababu wetu.Mambo yote yanayotokea sasa hivi yaluwahi kutokea zama zile. Kitu pekee amhacho kimebadilika kwenye zama hizi ni mfumo wa ufanyaji biashara. Mfumo was sasa umeleta uharaka katika utendaji. Wakati mababu zetu walisafiri umbali mrefu sana ili…
-
Ninawezaje Kuwa Bilionea Ndani Ya Dakika Tano?
Hili ni swali ambalo nimekutana nalo kwenye mtandao wa QUORA.Nilifungua kuona muuliza swali kapewa jibu gani. Yametolewa majibu mengi sana Moja akaambiwa abadili dola laki moja kwenda kwenye kwacha. Atakuwa bilionea ndani ya dakika tano. Ila jibu lililonivutia zaidi ni hili. WAOMBE WATU MILIONI TANO WAKUPE DOLA 204.Mtoa jibu kasema hii ndio njia rahisi sana…
-
Hivi Ndivyo Wewe Unaweza Kuungana Na Mimi Katika Kujenga Chuo Kikuu Kikubwa Sana Barani Afrika
Waafrika wanasema kwamba ukitaka kwenda haraka basi tembea peke yako ila ukitaka kufika mbali basi tembea pamoja na watu. Ni msingi huu unaonisukuma kusema kwamba sitasafiri peke yangu katika safari hii ya kujenga chuo kikuu bora na kikubwa sana barani Afrika. Miongoni mwa watu nitakaotembea nao ni wewe hapo. Usiogope na kudhani kwamba utabeba mzigo…
-
Hii Ndio Njia Nitakayoitumia Kujenga Chuo Kikuu Kikubwa Barani Afrika (HARVARD OF AFRICA)
Moja kati ya ndoto yangu kubwa hapa maishani basi ni kujenga chuo kikuu kikubwa sana kuwahi kujengwa hapa Afrika. Ndoto hii kubwa nimekuwa nayo kwa muda sasa. Mwanzoni nilikuwa nawashirikisha watu wachache sana ila baadae nimekuwa nikiwashirikisha watu wengi sana. Na kadri ninavyowashirikisha watu wapo wanaosema kwamba haiwezekani niachane na na kitu hicho. Ila Mimi…
