-
UCHAMBUZI WA KITABU; THE 5 AM CLUB, Miliki asubuhi yako, miliki maisha yako
Kitabu Cha THE 5 AM CLUB kilitoka katikati ya mwezi Wa 12, 2018. Binafsi, nilianza kukisoma wiki moja baada ya kutoka na nimekuwa nikikifanyia uchambuzi katika kundi LA HAZINA YETU TANZANIA. Mpaka ninaanza uchambuzi Wa Kitabu hiki nimesoma vitabu vingi sana, ila usomaji Wa Kitabu hiki umekuwa Wa kipekee sana.Kwa Mara ya kwanza nimeandika mambo…
-
Sheria Muhimu Unazopaswa Kuziishi
1. Ongea kidogo zaidi ya wengine wanavyoongea. 2.shinda kwa matendo wala sio maneno. 3. Omba msaada pale unapouhitaji. Usitake kushinda peke yako, tafuta kuwafanya with watu wengine ndipo na wewe utshinda zaidi (win-win) 4. Tumia kutokiwepo kwako, kufanye kuwa kwa manufaa.Ni bora watu wakasema, kwa nini sijakuona muda mrefu, kuliko watu kuuliza, hivi na leo…
-
Hili Ni Jambo Litakalokupa Uhuru Maishani Mwako
Uhuru! Uhuru! Uhuru! Miaka mingi sana Tanzania ilipata uhuru kutoka kwa wakoloni. Mara tu baada ya uhuru mwalimu Nyerere alikuwa na haya kusema. Watanzania tunapaswa kupambana na maadui wakuu watatu ambao ni ujinga umasikini na maradhi.Vitu hivi vitatu mwalimu aliviita maadui wa taifa. Ila dawa ya vitu hivyo vyote vitatu ilikuwa ni elimu.Ujinga ni matokeo…
-
Hii Ni Zawadi Ya Kipekee Ambayo Naitoa Kwako Rafiki Yangu
Habari ys siku hii njema ya leo rafiki yangu. Siku hii ya leo ni siku ya kipekee sana kwangu, imani yangu kwamba na ni ya kipekee na kwako kabisa! Sasa tunapouanza mwaka huu, nimekuandalia zawadi ya kipekee sana rafiki. Zawadi hii sio nyingine Bali zawadi ya vitabu. Na vitabu hivi ni 1. KUTOKA SIFURI MPAKA…
-
Vitabu Hivi Vitakusaidia Kugundua Kipaji Chako Na Kukiendeleza
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii njema sana ya leo. Ikiwa ni tarehe 06 ya mwezi wa wa januari mwaka 2019. Siku zinazidi kusongambele. Na kama bado hujaanza kutimiza malengo yako basi kuna sehemu unakosea sana. Rafiki yangu mwaka 2019 Unapaswa kuambatana na wewe kutumia kipaji chako kwa viwango vya juu, kama…
-
Zama Zimebadilika, Unafanya Nini Ili Mabadiliko Haya Yasikuathiri
Hongera sana rafiki yangu kwa nafasi hii ya kipekee sana ya kuishi tena, leo. Imani yangu kwamba umeshukuru kwa kupata nafasi ya kipekee. Lakini pia unaitumia siku hii ya kipekee kufanya makubwa sana. Leo hii tuzungumzie mabadiliko ya zama. Kama ambavyo nimekuwa nakwambia siku zote, ni kwamba zama za sasa hivi zimebadilika sana. Moja kati…
-
Ukitembea Na Kauli Hii Ndani Ya 2019, Basi Jua Kwamba Unajiandaa Kupotea
Hakuna haraka barani Afrika. Huu ni usemi ambao umezoeleka sana katika nchi za bara la Afrika, na haswa Tanzania. Watu huwa wanaukumbatia usemi huu kama vile ni amri. Na falsafa hii kweli ina wafuasi wengi sana. Ila napenda kukwambia kwamba ukiishi kwa kauli mbiu hii ndani ya 2019 basi unajiandaa kupotea. Sikudanyanyi ila ukweli ndio…
-
Hivi Mbwembwe Za Mwaka Mpya Maana Yake Nini?
Rafiki yangu hongera sana kwa siku hii ya leo. Ikiwa ni tarehe 03 ya mwaka mpya 2019.Leo kwa pamoja napenda tutafakari swali libalosema, hivi mbwembwe za mwaka mpya maana yake nini? Siku ya mwisho ya mwaka watu huwa wanakaa kusubiri mwaka mpya. Wapo ambao huwa wanaenda kwenye mikusanyiko mbalimbali kama kanisani au viwanja maalumu. Wengine…
-
Ifanye Dunia Ijue Kwamba Kuna Mtu Huyu Ndani Ya 2019
Ni siku ya pili sasa ndani ya mwaka mpya 2019. Leo hii napenda nikutaarifu kwamba mwaka huu unapaswa kuufanya wa mafanikio makubwa sana. Na ili mwaka huu ugeuke Wa mafanikio basi wewe jukumu lako ni kufanya dunia ijue kwamba wewe upo unaishi. Ebu sasa hivi andika chini sentensi ifuatayo. Mimi…..(weka jina lako) Ndani ya 2019…
-
Kheri Ya Mwaka Mpya Na Mambo 12 Unayopaswa Kufanya Kuanzia Leo
Kheri ya mwaka mpya rafiki yangu, leo ni tarehe mosi januari 2019. Hongera sana kwa nafasi hii ya kipekee sana ya kuuanza mwaka huu. Najua hii ndio siku uliyokuwa umeisubiria kwa siku nyingi sana, sasa hakikisha kwamba unaitumia vyema kabisa. Mwaka huu ni mwaka wako, utumie vyema ili uzidi kusonga mbele. Huu ni mwaka wako…
-
Ndoto Haziwi Ukweli Ukiwa Umelala
Kila mtu ambaye anaishi kwenye dunia hii ana ndoto kubwa. Iwe ameiandika sehemu au hajaiandika.ndio maana utasikia watu wanasema wangependa kuoa mke mzuri kuolewa na mme mzuri (hii ni ndoto)Utasikia wengine wanakwambia wanataka kuwa mamilionea (hii nayo ni ndoto)Wengine wanapenda kuwa wanamziki, waigizaji, wafanyabiashara maarufu (hizi pia ni ndoto) Kitabu hiki kipo kwa ajili yako.…
-
Huu Ndio Uwezo Mkubwa Sana Ambao Unao Ndani Yako
Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii njema sana. Leo ni siku yetu ya kipekee sana hakikisha unaitumia vyema sana.UCHAMBUZI WA KITABU CHA WEALTH OF NATION-9 Malipo Kwa Wafanyakazi Siku ya leo napenda nikwambie uwezo wa kipekee sana mbao umejilaza ndani yako.Hivi umewahi kujiuliza kwamba una uwezo gani wa kipekee ndani yako?Je, ni kuongea?Je,…
-
TAFAKARI YA WIKI: Kuna watu wana shahada na wengine wana cheti cha shahada.
Siku moja profesa aliwapa wanafunzi wake kazi ya kufanya. Ili kazi hiyo iweze kufanyika vizuri, na kwa weredi wa hali ya juu sana basi aliwagawa wanafunzi wake katika makundi. Lengo la profesa huyo lilikuwa ni kuwaleta wanafunzi wake pamoja, ili washirikishane ujuzi, wajadiliane na kuja na kitu kimoja kikubwa. Kazi iliyotolewa na profesa kwa wanafunzi…
-
Haya Ni Maeneo Muhimu Unapoweza Kupata Kitabu Cha Nyuma Ya Ushindi Bila Usumbufu Wowote
Hongera sana rafiki kwa zawadi ya siku hii ya kipekee sana. Kuishi leo ni nafasi moja nzuri sana ambayo haupaswi kuipoteza. Itumie kadri ya uwezo wako. Nimekuwa nikikwambia kwamba miongoni Mwa vitabu ambavyo Unapaswa kuvisoma wewe hapo ni kitabu cha NYUMA YA USHINDI. kitabu hiki kimezungumzia somo muhimu sana ambalo watu wengi huwa hawapendi kukizungumzia…
-
Vitu Viwili Vitakavyotokea Endapo Utakaa Usipopaswa Kuwa
Hongera sana rafiki yangu kwa zawadi ya siku hii ya leo na ya kipekee sana. Kitabu hiki kupo kwa ajili yako kwa sh.10,000 tu! Karibu 0755848391 Jana wakati naendelea na shughuli zangu, ilipita helikopita moja iliyokuwa inapiga kelele sana. Mdogo wangu aliyekuwa mbali kidogo na mimi aliniita kwa sauti. Nikisikia akisema, “iangalie vizuri hiyo halikopita…
-
SEMINA YA KUFUNGUA MWAKA; 2019 Mwaka Wangu Wa Kung’aa
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Leo ni siku ya kipekee sana kuliko siku yoyote ile ambayo umewahi kuiona.Zikiwa zimebaki siku chache sana kuumaliza mwaka huu. Naomba sasa uanze kujiuliza malengo yako uliyoyaweka mwanzoni Mwa mwaka huu yamefikia wapi? Je, umetimiza mangapi? Je, malengo gani hujatimiza? Kwa nini? Katika kitabu Chake cha From…
-
Hiki Ndicho Kitu Cha Pili Kinachofuata Kwa Umuhimu Baada Ya Oksijeni
Hivi umewahi kujiuliza ni vitu gani ni muhimu sana hapa duniani? Je, ni vitu gani ambavyo usipokuwa navyo maisha hayaendi kabisa. Je, unavijua? Kiukweli binafsi najua vitu viwili mpaka sasa hivi. Usipokuwa na hivi hauna maisha. Cha kwanza kabisa ni oksijeni. Oksijeni inapatikana bure kabisa. Ukikosa Oksijeni kwa zaidi ya dakika tatu, basi unaweza kupoteza…
-
Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Kuna kitu Nataka kuandika!
Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Kuna kitu Nataka kuandika! Siandiki kwa sababu ya huyo anayeonekana anaanguka ila Kuna kitu Nataka kuandika hapa! Ndio nataka niandike kitu! Kwanza najua video hii umeiona mara nyingi sana kabla ya hapa. Lakini sasa nataka uiangalie kwa namna ya tofauti. Ninataka uone kile ambacho ulikuwa hujakiona. Ndio maana nakwambia Kuna…
-
TAFAKARI YA WIKI; ELIMU YA CHUO HAITOSHI, (Kitu Kimoja Unachopaswa Kuambatanisha Na Elimu Yako)
Kwa kawaida mtu unapokuwa umefanya kitu na kukikamilisha mpaka mwisho, basi kifuatacho unakuwa unangojea pongezi, shukrani au vitu vya namna hiyo. Ila sio mara zote, ukikamilisha kitu utapongezwa. Na sio watu wote hukupongeza. Kuna wengine wataona madoa katika jambo jema sana ulilofanya. Na kuna wengine watakupongeza na kukutaka uongezee kitu cha ziada kwenye kile ulichokamilisha.…
-
Tafadhali Usimkumbatie Mtu Huyu, Atakuumiza Sana
Hongera sana kwa siku hii njema sana. Leo hii ni tararhe 09 Disemba. Zikiwa zimebaki siku 22 mwaka wetu ufike ukingoni. Kwa kawaida watu tumekuwa na utaratibu Wa kukumbatiana hasa pale tunapokutana na watu. Kukumbatia imekuwa ni ishara ya kukaribishwa kwa mtu, upendo na furaha anayoionesha mtu kwako. Ukitaka kujua kwamba mtu amekukaribisha, basi ishara…
