-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-131 Tatizo hujaufahamu uwezo wako
Tukiufahamu uwezo wetu tutakuwa kama ndege, tutaruka bila hofu. Tukiufahamu uwezo wetu tutakuwa kama mbegu, yaani tutaota bila kujizuia na kuzalisha msitu. Tukiufahamu uwezo wetu, tutaamua kufanya na tutafanya bila uoga. Kumbe ndio maana Eckharat Tolle anatuambia kwamba “hauwi mzuri kwa kujaribu kuwa mzuri, lakini kwa kutafuta uzuri ambao tayari umo ndani yako”. kumbe tayari…
-
TATIZO S RASILIMALI ZILIZOPOTEA -130 Tatizo hujataka kukjifunza kutoka kwa watu
Watu wanaokuzunguka wewe hapo ni watu muhimu sana kuweza kwa kukusuma wewe kwenye mafankio. Watu hawa wanaweza kukusuma wewe hapo kwenye mafanikio kwa njia tofauti tofaut. Wapo wenye uwezo wa kukwambia kwamba kitu fulani ambacho unafanya wala hata hakiendani na kile ambacho unapaswa kuwa unakifanya. Watu hawa n muhimu sana kwako, watu hawa ni muhmu…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Tatizo hujajua nguvu yako uliyonayo
Kila mtu kazaliwa akiwa na nguvu kubwa sana ambayo Imo ndani yake. Kama nguvu hii itatumiwa vyema sana itaweza kumsaidia mtu kuweza kupiga hatua. Iko hivi kila kitu tunachofanya hapa duniani ni matokeo ya nguvu ambayo imo ndani yetu. kila wazo tunalotoa ni nguvu, kila mtu tunayeongea naye tunatumia nguvu. Ukiwaza hasi unatoa nguvu hasi,…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-128 Tatizo hujajua umuhimu wa kusoma vitabu
Ni katika vitabu pekee unaweza kuongea na watu maarufu, unaaweza kuongea na viongozi wakubwa, unaweza kuongea na wafanya biashara, unaweza kuongea na wajasiliamali, unaweza pia kuongea na wajasiliapesa….Aliandika mtu mmoja. Kama ambavyo tumeona kwenye kidokezo hicho hapo. Vitabu vinakufanya wewe uweze kuungana na kuongea na watu wengi sana. unaongea na watu walio ndani nchi pamoja…
-
UMUHIMU WA FAKIKA MOJA
Ukitaka kujua umuhimu wa dakika moja, muulize mwanajeshi katika medani ya vita. Kila dakika ambayo inakuja mbele yako kila wakati ni dakika ya muhimu sana wala si ya kupoteza. Kila dakika hakikisha kwamba unaitumia kufanya mambo makubwa sana. usiipoteze hata dakika moja katika kazi zako. Ipangilie vizuri kila dakika ambayo inakuja mbele yako ili uweze…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-127 Tatizo hujajua kwa nini umeshindwa
Kupenda mafanikio ni jambo moja lakini kuwa tayari kulipa gharama ya kuyafikia mafanikio ni jambo jingine ambalo liko upandea wa pili wa shililngi. Ukiingia katika chumba na kuwauliza watu ni wangapi wanapenda mafanikio? Basi utashangaa kuona mikono mingi sana ya watu ambao wanapenda kupata mafanikio. Lakini ukitoka kwenye kile chumba na kuanza kuwafuatiliwa wale watu…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-126 tatizo hauna kiu ya kutosha
Kuna kijana mmoja alimwendea Socrates ili kumuuliza siri ya mafanikio katika maisha. Socrates alimwabia kijana huyo wakutane siku inayofuata kwenye mto uliokuwa karibu yao. Kesho mapema socretes na kijana walikutana kwenye mto. Socretes alimwomba kijana watembee kwa pamoja kwenye mto ule. Walianza kutembea kwa pamoja huku maji yakizidi kuongezeka kina. Maji yalianzia kwenye miguu hatimaye…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA _125 Tatizo unaomba msaada pasipostahili
Kuna nyakati wakati tuna kuza na kuendeleza vipaji vyetu vilivyo ndani yetu huwa tunaona kwamba basi hapa ni bora kabisa kuhakikisha kwamba tunatafuta msaada kwa watu ili waweze kutusaidia. Tunatafuta watu wa kutuwezesha kupiga hatua. Na pengine mtua anatafuta wazazi wake akijua haswa kwamba wao ndio watakaoshughulika na mawazo yake na kuhakikisha kwamba kile ambacho…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-124 Tatizo hujajiiuliza maswali haya ya muhimu
Hivi kwa nini katika jamii moja unakuta kuna mtu kafanikiwa na mwingine anahangaika na hali aliyonayo? Kwa nini baadhi ya watu kila wanachogusa kinageuka kuwa dhahabu wakati wengine kila wanachogusa hugeuka kuwa moto na kuwaunguza? Kwa nini baadhi ya watu wana mahusiano mazuri na wengine wanahangaika? Kwa nini kuna watu kila kitu wanaonekana wanatimiza lengo…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILZOPOTEA-123 Tatizo hujakamilisha kile ulichokianzisha
Watu wengi sana huwa wanapenda kuanzisha kitu kipya kwa sababu ya msukumo fulalni unaokuwepo mwanzoni wakati wanaanzisha kile kitu. lakini kadri muda ambavyo unaenda watu hao huwa wanajikuta kwamba kile kitu ambacho walianzsiha hawakimalizii kwa sababu wanakutana na kikwazo. Au kwa sababu katikati ya safari walikutana na fursa mpya na hivyo kuamua kukibizana na fursa…
-
WATANZANIA ACHENI UTANI, TAMTHILIYA HAZIJENGI
Habari ya siku hii njema ya leo. Leo ni siku njema sana maishani mwangu, ikiwa ni wiki ya sita tangu mwaka huu umeanza. Hongera sana rafiki yangu kwa hatua unazozidi kupiga Moja kati ya vitu vinavyopendwa na watu walio wengi sana ni kuangalia tamthiliya. Vijana, watu wazima, na hata wazee. Yaani unakuta watu wanakesha usiku…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-122 Tatizo hujajua maana ya ujana
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-121 Tatizo hujajua maana ya ujana Vyanzo mbali mbali vya taarifa na maarifa vimetoa maana kadha awa kadha za ujana. Maana hizi zimetolewa kwa misngi na mitazamo flani flani. Kwa mfano kuna watu wanaoamini kwamba uana ni maji ya moto. Bila shaka hawa wanalenga kusema kwamba ujana ni kitu cha muda mfupi…
-
ONA FURSA, USITAFUTE MAKOSA
.Ukipita kwenye jengo la kinyozi anachoona cha kwanza kutoka kwako ni nywele na jinsi anavyoweza kukuchonga vizuri. SOMA ZAID; Fursa Tano Ambazo Unaweza Kuzifanyia Kazi Kwenye Kilimo Cha Bustani Leo Ukienda sokoni ukapita kwa mama anayeuza mchicha na nyanya cha kwanza kukwambia itakuwa ni kukukaribisha. Utasikia, karibu sana mwanagu. Ni kwa sababu ameshaona fursa ya…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-121 Tatizo hujanoa shoka lako
Kuna mashoka tunayatumia kila siku katika kazi zetu mbali mbali. mashoka haya huwa yanapungua makali kadri yanavyokuwa yanatumika zaidi na hivyo kufikia hatua ambapo makali hupotea kabisa. Imekuwa hivi, kwa siku nyingi sana, na itaendelea kwua hivi. Hii ndio kusema kwamba lazima kila utakapotumia shoka leo lipungue makali na hivyo ukija kulitumia shoka hilo kesho…
-
Application Nne Unazopaswa Kuwa Nazo Kwenye Simu Yako
Habari ya siku hii ya leo rafiki tangu, imani tangu kwamba leo ni siku njema sana na unaenda kufanya mambo makubwa sana sasa. Hongera sana kwa kuipata siku hii ya leo rafiki tangu. Kwa hakika leo hii ni siku njema sana hakikisha haipotei.Kwa Sasa hivi tupo katika zama ambazo ni za tofauti kabisa na siku…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-120 Tatizo hujajua vitabu vya msingi vya kusoma
Kusoma na kujifunza kunaweza kukufanya kuwa jinsi unavyotaka. Kunaweza kumgeuza mtumwa kuwa kiongozi, kunaweza kumwinua kilaza kuwa gwiji, kunaweza kumnyayua aliyelala na kumsimamisha. Mbali na ukweli huo hapo ni watu wachache sana ambao huwa wanachukua hatua kuhakikisha kwamba wanaweza kusoma na kujifunza ili kuweza kuchukua hatua madhubuti za kuwafikisha kule ambako wanataka. Leo hii uko…
-
Vitu Vitano Viinavyokuunganisha Wewe Hapo Na Watu Waliofanikiwa
Ulipozaliwa ulilia wakati wengine walicheka, unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba ukifa watu wengine walie wakati wewe hapo ukichekelea. aliandika Robin Sharma. Katika hali ya kawaida huwa sio rahisi kujua ni lini wewe hapo utakufa na kuondoka hapa duniani. Ila kuna kitu kikubwa sana ambacho huwa kinanipa nguvu kwamba mimi pia naweza kuwa mtu mkubwa sana…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-119 Tatizo ni hujajua kwamba unatafuta nini maishani mwako
Kijana mmoja kutoka katika mitaa ya scotland aliingia nchini Marekani na kuanza kufanya kazi za kawaida sana ambazo kila mtu angeweza kudharau. Kazi ambazo zilionenakana wazi kwamba ni kupoteza muda na zisingweza kumtoa kwa namna moja au nyingine. Aliishia kuwa miongoni mwa mabilionea wakubwa sana nchini Marekani. Na kuna kipindi bilionea huyo huyo alikuwa na…
-
Viashiria Vitano (05) Vitakavyokufanya Uendelee Kuwa Maskini Maisha Yako Yote
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala kutoka blogu yako pendwa ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unaenda kufanya mambo makkubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Karibu sana tuweze kujifunza kwa pamoja jambo ambalo litatupa…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-118 Tatizo unakamuliwa na muda
Haijalishi unaishi katika sehemu gani hapa ulimwenguni, kitu kikubwa ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote ambao umewahi kukutana nao na wale ambao hujawahi kukutana nao maishani mwako ni kwamba nyote mnakuwa na masaa 24. Basi! Hiki ni kiunganishi kikubwa sana ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote. Hakuna mtu mwenye muda zaidi…
