-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-120 Tatizo hujajua vitabu vya msingi vya kusoma
Kusoma na kujifunza kunaweza kukufanya kuwa jinsi unavyotaka. Kunaweza kumgeuza mtumwa kuwa kiongozi, kunaweza kumwinua kilaza kuwa gwiji, kunaweza kumnyayua aliyelala na kumsimamisha. Mbali na ukweli huo hapo ni watu wachache sana ambao huwa wanachukua hatua kuhakikisha kwamba wanaweza kusoma na kujifunza ili kuweza kuchukua hatua madhubuti za kuwafikisha kule ambako wanataka. Leo hii uko…
-
Vitu Vitano Viinavyokuunganisha Wewe Hapo Na Watu Waliofanikiwa
Ulipozaliwa ulilia wakati wengine walicheka, unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba ukifa watu wengine walie wakati wewe hapo ukichekelea. aliandika Robin Sharma. Katika hali ya kawaida huwa sio rahisi kujua ni lini wewe hapo utakufa na kuondoka hapa duniani. Ila kuna kitu kikubwa sana ambacho huwa kinanipa nguvu kwamba mimi pia naweza kuwa mtu mkubwa sana…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-119 Tatizo ni hujajua kwamba unatafuta nini maishani mwako
Kijana mmoja kutoka katika mitaa ya scotland aliingia nchini Marekani na kuanza kufanya kazi za kawaida sana ambazo kila mtu angeweza kudharau. Kazi ambazo zilionenakana wazi kwamba ni kupoteza muda na zisingweza kumtoa kwa namna moja au nyingine. Aliishia kuwa miongoni mwa mabilionea wakubwa sana nchini Marekani. Na kuna kipindi bilionea huyo huyo alikuwa na…
-
Viashiria Vitano (05) Vitakavyokufanya Uendelee Kuwa Maskini Maisha Yako Yote
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala kutoka blogu yako pendwa ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unaenda kufanya mambo makkubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Karibu sana tuweze kujifunza kwa pamoja jambo ambalo litatupa…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-118 Tatizo unakamuliwa na muda
Haijalishi unaishi katika sehemu gani hapa ulimwenguni, kitu kikubwa ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote ambao umewahi kukutana nao na wale ambao hujawahi kukutana nao maishani mwako ni kwamba nyote mnakuwa na masaa 24. Basi! Hiki ni kiunganishi kikubwa sana ambacho kinakuunganisha wewe hapo na watu wengine wote. Hakuna mtu mwenye muda zaidi…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -115 TATIZO HUJAJUA KWA NINI UNAPASWA KUWA MBUNIFU
Katika zama hizi hapa tulizopo kuna vitu ambavyo kuvifanya kwake ni lazima na kuna vitu ambavyo si lazima kuvifanya. Lakini suala hili halijatokea kwenye zama hizi tu. Hata tukirudi kwenye zama za mawe, bado utaona kwamba mababu wetu walikuwa na mbinu za kuhakikisha kwamba wanafanya ili kuhakikisha kwamba wanakuwa wa tofauti. Na vitu hivi hapa…
-
Sheria Tano (05) Za Mchezo Wa Mwaka Huu
Katika mchezo wa mpira wa miguu wachezaji wanajua kwamba kipenga kikipulizwa basi huwa hakuna kitu kingine bali kucheza mpira. Kipenga huwa sio ishara ya kujiandaa bali huwa ni ishara ya ANZA. Kwa hiyo hakuna mchezaji ambaye huwa anaanza kujiandaa pale kipenga kinapopiulizwa. Bali kipenga huwa kinawakuta wachezaji uwanjani moja kwamoja. Jambo kama hili hapa limejitokeza…
-
Sauti Tano Ambazo Hupaswi Kuzisikiliza Kamwe
Habari, baada ya jana kuzungumzia na kudadafua kwa undani juu ya watu watano ambao unapaswa kuwasikiliza. Leo hii ninaenda kudadafua watu watano ambao kamwe hupaswi kuwasikiliza. Najua unajiuliza, inakuwaje anasema nisiwasikilize baadhi ya watu wakati jana alisisitiza sana juu ya Mimi kusikiliza?Usihofu, ni kweli ni muhimu sana kusikiliza ila kuna sauti zinazoweza kukupoteza kama utaendelea…
-
Hawa Ndio Watu Watano (05) Ambao Unapaswa Kuwasikiliza
Habari ya siku hii ya leo Rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya SONGA MBELE. Karibuni sana katika makala haya ya ya siku hii ya leo. Kwa sasa tunaishi katika dunia ambayo ina kila aina ya kelele. Kila mtu anaongea, kila wakati. Kelele kutokea kila kona hazitupi muda wa wa kukaa kidogo na kusikiliza. Tupo…
-
Vitu Vitano (05) Ambavyo Hupaswi Kuridhika Navyo
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya kazi kwa juhudi nguvu na kujituma. Hakikisha mpaka siku hii ya leo inapofikia mwisho haulali na kitu ambacho ulipaswa kuwa umekifanya leo. Kama kuna jambo…
-
Hizi Ni Aina Tano Za Maamuzi Unazoweza Kufanya Mwaka Huu
Habari ya siku ya leo Rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala haya kutoka SONGA MBELE BLOG. Imani yangu leo ni siku jema sana ambapo uaenda kufanya kazi kwa juhudi nguvu na bidii kubwa sana. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Kwa kawaida kila siku huwa ni mpya. Huwa ni siku njema zaidi ya…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-108 tatizo hujajua kwamba hauzuiliki
Nenda unapotaka kwenda, fanya unachotaka kufanya unaweza kuwa unachotaka kuwa” zig ziglar. Maisha ni kuchagua, unaweza kuchagua kuwa bingwa au kufeli. Ni juu yako. Ili uweze kufika unapotaka unapaswa kufahamu kwamba kuna vitu vikuu vitatu ambayo unavihitaji. Vitu ambavyo vitaweza kukuinua wewe hapo na kukufikisha unapotaka kwenda. Maana kila mtu huwa anapanga kushinda hata kama…
-
Vitu Vitano Ambavyo Vitakuweka Huru Kiuchumi Ndani Ya 2018
Unaweza kuishi kqa siku ngapi kama mshahara wako utasitishwa leo? Unaweza kwenda hatua ngapi MBELE yako kama biashara yako itaanguka leo?Kitu kimoja na cha muhimu sana ambacho kila mwanadamu anakihitaji hapa duniani ni Uhuru. Wengi sana wamesema kwamba tumezaliwa huru. Sawa na Mimi nakubalina na hilo. Wengine wanasema binadamu wote ni huru na sawa, yaani…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-107 tatizo hutaki kujifunza
Moja kati ya jambo ambalo linaaminiwa sana na watanzania ni ule msemo wa ukitaka kumficha mwafrika kitu, basi kiandike katika kitabu. Binafsi msemo huu ninaenda kinyume chake kila siku. Ila kuna watu wengi sana ambao wanaukumbatia kila mara na kila ninappongea nao basi kisingizio chao ni kwamba waafrika huwa hatusomi vitabu. Waafrika huwa hamsomi vitabu?…
-
Hii Ndio Sifa Unayopaswa Kuiepuka
Hapa duniani kuna watu wenye sifa na mbali mbali. Sifa hizi zinaweza kuwa zinatokana na kazi ambayo mtu anafanya, sifa hii pia inaweza kuwa inatokana na cheo cha mtu. Pengine sifa ya mtu inaweza kuwa inatokana na marafiki ambao ameshikana nao. Lakini ukweli ni kwamba walau kila mtu ana sifa fulani. Mwalimu wangu wa kiswahili…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-97 tatizo ni uvivu
Ewe mvivu mwendee chungu, uzitazame njia zake ili upate kujifunza kwake. Haya ni meneno yaliyoandikwa katika Biblia takatifu yakikutaka wewe kwenda kwa viumbe vidogo kabisa hapa duniani ili upate kujifunza. 1. Viumbe hawa ni wadogo ila wana Fanya kazi kwa mpangilio na kwa akili ya hali ya juu sana. Kumbe udogo wako (uwe wa kiumbo…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-97 tatizo ni uvivu
Ewe mvivu mwendee chungu, uzitazame njia zake ili upate kujifunza kwake. Haya ni meneno yaliyoandikwa katika Biblia takatifu yakikutaka wewe kwenda kwa viumbe vidogo kabisa hapa duniani ili upate kujifunza. 1. Viumbe hawa ni wadogo ila wana Fanya kazi kwa mpangilio na kwa akili ya hali ya juu sana. Kumbe udogo wako (uwe wa kiumbo…
-
Mfahamu Vicenti Thomas Lombardi
Vicenti Thomas Lombardi alizaliwa novemba 11 mwaka 1913 katika nchi ya marekani. Alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu na lakini pia alikuwa kocha wa timu za mpira Wa miguu ikiwemo timu ya mpira wa miguu ya GREEN BAY PACKERS. Kiukweli aliiongoza timu hii kupata vikombe kadha wa kadha katika nchi yake. Kuna vitu vingi sana…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA -98 tatizo hujajua umuhimu wa nidhamu
Nidhamu katika kazi zetu za kila siku ni jambo la muhimu sana. Nidhamu inaweza kukujenga kama utaitumia vizuri.Ukosefu wa nidhamu unaweza kukubomoa na kukushusha chini.Katika kila kitu ufanyacho kila siku weka nidhamu. Hakikisha unafanya kazi kwa usahihi na kwa ubora hata kama hakuna anayekuangalia. Kama unasubiri umati wa watu ndio ufanye jambo jema sana na…
-
Hili Ni Jambo Linalonifanya Nimshukuru Mungu Kila Siku
Kushukuru ni kuomba tena. Walinena wazee wa zamani. Kila kunapokucha kuna kitu ambacho kinanifanya Mimi Godius Rweyongeza niendelee kumshukuru Mungu.Yapo mengi sana ya kumshukuru Mungu na miongoni mwa hayo namshukuru Mungu kwa kutujalia watanzania waandish. Maandishi ni kumbukumbu zinazodumu kww muda mrefu sana. Hakika kumbukumbu hizi ni njema na zinatia moyo. Zinavutia na ni hazina…