-
TOO BUSY TO WATCH YOUR DREAM; Hatua Sita (06)Za Kukutana Na Watu Maarufu, Wafanyabishara Wakubwa Na Wanamziki Nguri Bila Kutumia Nguvu
Kwa kawaida huwa sipendi kutumia kiingereza katika maandishi yangu labda pale ambapo huwa ninakazia kitu fulani hapo ndipo huwa nalazimika kutumia kiingereza ili uweze kuelewa zaidi. Makala ya siku hii ya leo imebeba kichwa chenye lugha ya kiingereza. Na kwa sababu kuna kitu kikubwa sana nakazia basi itabaki hivyo hivyo. Samahani sana kama utakuwa hujaelewa…
-
Kitu Chochote Ambacho Hakikuumizi, Kinakuimarisha
Hongera sana rafiki kwa siku hii ya leo.Kama kuna kitu kikubwa sana ambacho unapaswa kufanya ndani ya siku hii ya leo basi ni kukua. Kwenda ambapo ulikuwa hujawahi kwenda. kuuza kitu katika biashara yako kwa mtu ambaye ulikuwa hujawahi kumuuzia. Kuongeza kipato chako leo ili kiwe tofauti na kilivyokuwa jana. Kuongea na mtu mmoja ambaye…
-
Aina Tatu Za Watu: MOTO, BARIDI NA UVUGUVUGU
Leo ni terehe 09 Julai 2018. Hongera sana rafiki ya kwa siku hii ya kipekee sana. Haijawahi kutokea haitakuja kutokea. Moja kati ya usemi ambao ni rahisi sana kuusikia kutoka kwa vijana ni usemi kama huu hapa. YAANI SIKU HIZI KWENYE KUANGALIA MOVIE SIPO,….KWENYE KUANGALIA MPIRA SIPO…..YAANI NIPO NIPO TU. Bila shaka umewahi kusikia usemi…
-
Uchambuzi wa Kitabu: FAILING FORWARD Ukianguka angukia mbele
Hivi ni kitu gani kinawafanya watu wengine wanafanikiwa na wengine wanashindwa. Je, ni kitu gani kinawafanya watu wengine wanaonekana kila wanachogusa kinabadilika kuwa dhahabu huku wengine wanaonekana kila wagusacho haking’ai. Je, inaweza kuwa ni familia ambazo watu wamezaliwa? Hapana maana watu wawili wanaweza kuwa wamezaliwa kwenye familia moja, mmoja akatokea kuwa mwenye mafanikio na mwingne…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Huwafanya Watu Wengi Kushindwa
Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Leo hii tunaenda kutafakari kitu ambacho watu huwafanya watu wengi kushidwa, kuanguka na kuacha kufikia ndoto zao. Watu…
-
HII NI HAZINA ILIYOLALA KWENYE KITABU HIKI KIMOJA
Moja kati ya hazina kubwa sana ambazo dunia yetu inazo ni vitabu. Vitabu ni hazina kubwa sana ambayo ndani yake kuna kila aina ya madini. Kama umewahi kusikia kwamba watu wanachimba dhahabu ardhini basi dhahabu pia inaweza kuchimbwa kwenye vitabu. Na dhahabu hii itakusaidia sana wewe kuweza kusonga mbele na kupiga hatua kubwa sana. Mwezi…
-
Jambo Moja Ambalo Halipaswi Kukushangaza
Mara nyingi sana huwa tunaamua kufanya vitu na watu mbali mbali. Huwa tunanda makundi ili kufanya kazi pamoja na watu n.k, Na mara nyingi sana huwa tunaweka nguvu yetu kubwa sana huko tukifahamu kwamba makundi haya tuliyoyaunda yatadumu milele. Na mara makundi yanapoleta dosari au kuonesha hali ya kutoeendelea basi watu hukata tamaa na kuona…
-
Jambo Moja Unalopaswa Kufahamu Kabla Ya Kuingia Kwenye Mahusiano
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo.Rafiki yangu naomba niikwambie kwamba tupo katika dunia hii kuhakikisha kwamba tunafanya mabadiliko makubwa sana. hii ndio kusema kwamba hatupaswi kuwa watu wa kufanya kitu ilimradi tu tumefanya au kuonekana kwamba tumo. Bali tunapaswa kuhakikisha kwamba tumekifanya kwa kuweka nguvu na…
-
Hili Ni Jambo Linalowafanya Watu Washindwe Maishani
Moja kati ya swali ambalo nimekuwa najiuliza ni swali la je, ni kweli watu hawajui kile wanachofanya au wanajua kiasi kwamba wanapuuzia? Je, ni kweli kwamba masikini hawajui mbinu za kutafuta pesa au wanazipuuzia?Je, ni kweli watu wanaoumwa hawajui kanuni za afya au wanazipuuzia? Unadhani jibu ni lipi? Jibu ni rahisi sana WATU WANAJUA KARBIA…
-
Nani ametengeneza kanuni hii? Haifanyi kazi!!!
Nakumbuka shule ya msingi kuna maswali ambayo usingeweza kuyafanya bila ya kuwa na kanuni. Kwa hiyo ulipaswa kumeza kanuni husika ili uweze kufanya swali fulani kwa ufanisi. Kwa hiyo ulikiwa wajibu wa kilaw mwanafunzi kuhakikisha kanuni zilizo katika mtaala anazijua na kuzifuata. Kama ni kanuni ya mduara, basi kila mwanafunzi alipaswa kuijua haswaaa, na kuitumia…
-
Hii Ni Fursa Ambayo Hupaswi kuichezea
Habari ya siku hii njema sana rafik yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo, na hakikisha kwamba ndani ya siku hii ya leo unaweka juhudi kubwa sana. Hakikisha kwamba haukwami rafiki yangu wala kurudi nyuma kwa sababu yoyote ile. Wewe ni mshindi, ishi kiushindi ndani ya siku hii ya leo. Ndani siku yoyote ile…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Unasahau Kupangilia
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Ni siku njema sana kwako na ni siku ya kipekee sana kwako, hiyo hakikisha kwamba hauipotezi siku hii ya leo.Mara nyingi sana huwa tunapanga maeneo ya kwenda na watu wa kukutana nao. Huwa tunapanga ni muda gani tutakutana na watu…
-
Hii Ndio Njia Nzuri Ya Kufanya Kazi Kubwa Sana
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Karibu sana tupate kujifunza kitu kipya kwenye maisha yetu. Ukikutana na watu wengi sana utawasikia wakisema, ukitaka kupata hiki au kile basi fanya hivi. Lakini watu hawa ukiwafuatilia kwa ukaribu utagundua kwamba hawafanyi kile wanachokiongea. Watu wanajua kila kitu na…
-
Je, Dunia Ya Sasa Ni Kijiji Au Mabara Yameongezeka?
“Dunia ya sasa hivi ni kama kijiji” huu ni usemi ambao unapedwa kutumiwa na watu wengi sana. Watu wanatumia usemi huu wakimaanisha kwamba sasa unaweza kuwasiliana na mtu yeyote sehemu yoyote duniani na muda wowote bila shida kubwa sana kama ilivyokuwa zamani. Tukirudi miaka ya nyuma kidogo, mpaka kwenye karne ya 15, ilichukua miezi na…
-
Hivi Ndivyo Wazo Lako Linaweza Kukubalika Dunia Nzima
Hivi ushawahi kujiuliza au kukaa na kufikiri siku ambayo utaingia katika chumba fulani chenye watu wakakaa na kukusikiliza juu ya wazo lako bora lenye maana sana? Au ushawahi kujiuliza ni kwa jinsi gani wazo lako linaweza kukubalika duniani kote? Kiukweli jibu la swali hili hapa ni rahisi sana. Yaani ni rahisi kama ilivyo kunywa maji.…
-
Usifanye Kitu Hiki Kikiwa Cha Kwanza Unapoamka Asubuhi
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera kwa kupata nafasi nyingine ya kwenda kuishi. Nafasi nyingine ya wewe kwenda kuweka alama katika dunia hii. Hakika hii ni nafasi ya kipekee sana, hakikisha unaitumia vyema maana ikipita ndio hiyo imepita. Haijirudii hata kidogo. Hivi huwa ukiamka kitu chako cha kwanza kufanya huwa…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutengeneza Kazi Inayokonga Mioyo Ya watu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Hivi ushawahi kuwa na wazo la kufanya kazi kubwa sana maishani mwako? Bila shaka umewahi kuwaza juu ya kuwa mwanamziki mwenye wimbo unaoitwa wimbo wa taifa. Au umewahi kufikiri juu ya kuwa mwandishi atayeandika hadithi itayosomwa na watu wengi na…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Unapaswa Kuachana Nacho Mara Moja
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Imani yangu kwamba u mzima wa afya na leo kama kawaida unaenda kufanya kazi kwa juhudi kubwa sana. kitu kitakachokufanya wewe uweze kufikia mafanikio makubwa sana, Mara nyingi sana tumekuwa tunaongea na kuelimisha na juu ya mambo ya msingi…
-
Vitu Vinavyokufanya Utangetange Kila Mahali
Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka kwenye blogu yako pendwa ya songambele. Imani yangu kwamba leo ni sikku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya kazi kwa bidii, kujituma na kuhakikisha kwamba unafikia malengo yako. hongera sana rafiki yangu kwa siku hii njema sana.…
-
Huu Ni Ugonjwa Ambao Unapaswa Kuuugua
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Karibu sana katika makala haya ya siku hii ya leo ambapo tunaenda kujifunza ugonjwa ambao unapaswa kuugua maishani mwako. Kwanza igundulike kwamba kuna magonjwa mengi sana ambayo watu wanaugua hapa duniani. Magonjwa mengine yanatibika na mengine hata hayatibiki. Lakini…
