-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA tatizo unamwibia Petro Kumlipa Paulo
Kuna misemo mingi sana ya wahenga na kila usemi huwa unakuta umebeba ujumbe fulani. Sasa leo hii tunakutana na usemi unaosema, “unamwibia Petro kumlipa Paulo”.Katika maisha kuna vitu unafanya ambavyo kwa hakika ni vya kumwibia Petro ili Kumlipa Paulo.Mfano umeishiwa na hela na unachokimbilia kufanya ni kukopa. Hapa unakuwa unakimbilia kuzima moto kwa haraka haraka…
-
Tafakari ya Kufikirisha Kutoka Kwa Waziri Mkuu Wa Ufaransa
“Tone la wino linaweza kufanya mamilioni ya watu kufikiri”, alisema Gordon Bryon Noel (1788-1824) ambaye alikuwa mtunga mashairi wa uingereza. Na matone haya ya wino ambayo yanafikirisha yamejaa sana kwenye vitabu. Matokeo yake ni kwamba matone haya huweza kumfanya mtu kufikiri kwa kuweka mipango mikubwa, au matone haya pia huweza kumfanya mtu achukue hatua kubwa.…
-
Badili Fikra zako Ili Ubadili Maisha Yako
Mwandishi nguli wa vitabu anayejulikana kama Napoleon Hill, alikiita kitabu chake THINK AND GROW RICH. Ikiwa na maana kwamba fikiri na uwe tajiri. Najiuliza “hivi kwa nini mwandishi huyu hakuiita kitabu hiki, FANYA KAZI KWA BIDII ILI UWE TAJIRI.au kwa nini hakukiita, jitume sana ili uwe tajiri.Au pengine kukiita pambana uwe tajiri. Alitumia tu neno…
-
Makala Maalum Kwa Watu Wenye Mpango Wa Kuomba Kazi Au Wanaoomba Kazi Sasa Hivi
Moja ya mbinu ambayo imezoeleka kwenye kuomba ni kuandika CV na kuituma kwa mwajiri mtarajiwa huku ukisubiri majibu. Kadri siku zinavyozidi kusogea njia hii inazidi kuwa ya kizamani kidogo na hivyo lazima kuwe na njia bora kabisa ya kuomba kazi tofauti na wengi walivyozoea lakini yenye uhakika. Njia hii mpya ni kuomba kukutana na mwajiri…
-
Hivi Ndivyo Huwa Napata Mawazo Kuandika Ya Makala Kila Siku
Moja kati ya swali ambalo ninakutana nalo kila siku, ni swali la “Je, ninapata wapi vitu vya kuandika kila siku”? Huwa napenda kujibu swali kirahisi sana kama swali lenyewe lilivyo rahisi? Huwa nauliza watu unapata wapi cha kuongea kila siku? Wengine huwa wanasema, unajua kuongea sio sawa na kuandika. Sasa hapa nataka kukuonesha wapi huwa…
-
Hii Ndio Hali Ambayo Huwa Naipata Nikiwa Naandika Makala Za Blogu Au Magazetini
Moja kati ya muda ambapo huwa ninakaa na kufikiria sana ni pale ninapoanza kuandika. Kinachonifanya nifikiria sana ni pale ambapo huwa nafikiria makala hii itasomwa naRaisi wa nchi lakini pia itasomwa na mtu wa kawaida kijijni.Makala itasomwa na wasomi wa vyuo vikuu (wenye Phd) pamoja na watu walioishia darasa la kwanza au ambao hawajasoma darasa…
-
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog. Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha
Makala ya 600: Shukrani Kwa Wasomaji wa Songa Mbele Blog.Pongezi Kwa Godius Rweyongeza, Zawadi Kubwa Sana Kwako, Na Yajayo Yanafurahisha Leo ni siku ambapo zimefika makala 600 kwenye blogu hii. Hili ni jambo la furaha kwangu na kwa wote ambao tumekuwa kwa pamoja kwa siku zote hizi. Tarehe 21, septemba 2016 ilikuwa siku ambapo niliandika…
-
MAKALA YA 599: KUTOKA MAKTABA YA SONGAMBELE; ITAMBUE KAZI YAKO.
makala hii iliandikwa kwa mara ya kwanza machi 23 2017 Kazi kubwa sana ya vyombo vya habari ni kuyoa habariKazi ya jembe ni kulimaKazi ya kalamu ni kuandikaKazi ya gari ni kusafirisha watuKazi ya maji kukata kiuKazi ya chakula ni kusjibisha wenye njaa na kutoa virutubishoKazi ya Je wewe kazi yako ni ipi? Itafute kazi…
-
HII NI NJIA BORA YA KUPOTEA
Katika maisha kama unataka kupotea, basi anza kuwaiga wengine. Anza kuishi kama wengine na fanya kama ambavyo watu wengine wanafanya. Hii ni njia bora sana ya kupotea. Kuna wewe mmoja tu. Na unapaswa kujisikiliza kwa umakini sana. Usifanye kitu kutaka kuwaridhisha wengine, tafuta kujiridhisha mwenyewe Usitafute kuonekana na wewe umo, jiridhishe wewe kwanza. Mtu mmoja…
-
NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba hapa duniani kila mtu ana kazi yake. Kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa. Kwa hiyo ukiona mtu anakukatisha tamaa, jua yupo kazini. Na wewe endelea na kazi yako.Ila cha msingi ni kwamba, kazi za watu wengine zisikukwamishe wala kukuzuia kusonga mbele. Nakumbuka siku ya kwanza nilipoandika makala na kuiweka…
-
NI MARUFUKU KUKATA TAMAA
Mtu mmoja amewahi kusema kwamba hapa duniani kila mtu ana kazi yake. Kuna watu kazi yao ni kukatisha tamaa. Kwa hiyo ukiona mtu anakukatisha tamaa, jua yupo kazini. Na wewe endelea na kazi yako.Ila cha msingi ni kwamba, kazi za watu wengine zisikukwamishe wala kukuzuia kusonga mbele. Nakumbuka siku ya kwanza nilipoandika makala na kuiweka…
-
Usiogope Kushindwa, Ni Sehemu Ya Kujifunza
Thomas Edison anafahamika kwa ubunifu wake wa vitu vingi sana. Moja kati ya kauli yake ambayo amewahi kuisema ni hii hapa, “siku zote naogopa vitu ambavyo huwa nagusa mara ya kwanza na vinafanya kazi pale pale”. Maana yake, nini? Maana yake vitu hivyo havijakupa nafasi ya kujifunza. Na havijakupa nafasi ya kukua zaidi. Sio kwamba…
-
NI KOSA KUJUA KITU, UKAJIFICHA NA KITU HICHO
Kwenye kitabu chake cha think big, Ben Carson anaelezea kisa kilichomkuta siku moja. Ipo hivi kuna jamaa alimfuata Ben Carson na kumwambia, “yaani wewe Ben, ukijua kitu hutulii. Unataka kila mtu ajue kwamba unajua”. Sikumbuki vizuri Carson alimjibu nini huyu jamaa, ila leo napenda kusema kwamba kama kuna kitu unajua na unajificha hutaki kukionesha ni…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kutoa Hotuba Yako Kwa Watu Kama Vile Uko Mbele Ya Mkutano Wa Umoja Wa Mataifa.
Mikutano ya umoja wa mataifa ni mikutano yenye watu kutoka kila nchi. Hivi kwa mfano leo hii ukiambiwa umepewa nafasi ya kwenda kuongea mbele ya mkutano mmojawapo wa umoja huu wa mataifa, utafanyaje? Je, unaweza kwenda au kukataa? Je, kama utaamua kwenda nini unapaswa kuzingatia? Na Je, badala ya umoja wa mataifa ukiambiwa kuna kikundi…
-
THINK DIFFERENT AND JUST DO IT
Baada ya kurudi kwenye kampuni ya apple mwaka 1997, Steve Jobs alirudi na falsafa ya THINK DIFFERENT. Wakati huo huo kampuni ya NIKE ya Phil Knights ilikuwa na falsafa yake ya JUST DO IT ambayo walianza kuitumia miaka ya themanini. Binafsi nazipenda falsafa hizi mbili.Kwanza falsafa ya Jobs ibakuhitaji kufikiri tofauti. Nimekuwa nikisema sana kwamba…
-
Huu Ni Muda Wa Matokeo Makubwa
Ni nani asiyependa matokeo makubwa? Ni nani? Kila mtu hupenda matokeo makubwa katika kila eneo la maisha. Watu wanapenda mahusiano yenye mafanikio makubwa. Watu wanapenda elimu ya kiwango cha juu. Watu wanapenda kuwa hela kiasi ambacho hawataweza kupata hofu. Wanafunzi mashuleni wanapenda kupata ufaulu mkubwa na unaopendeza. Haya yote ni matokeo makubwa. Ila matokeo makubwa…
-
Hivi Nidvyo Kazi Za Sanaa Zinavyoweza Kukufanya Ufanye Makubwa Sana
Binafsi ni mpenzi mzuri sana wa kazi za sanaa. Kazi hizi huwa zinanifanya nifikiri kwa kina sana na pengine huwa zinaniletea mawazo mengine ambayo ni bora zaidi kuliko yale niliyokuwa nayo awali. Kuzitafakari kazi hizi hunifanya niweze kutuliza akili yangu sehemu moja na kujiona bora zaidi.Wapo watu ambao hawaipendi sanaa kwa kusema wao ni wanasayansi,…
-
Hivi Ndivyo Mazoezi Yanaweza Kukufanya Ule Meza Moja Na Mfalme
Katika mazingira yetu ya sasa hivi wafalme sio watu waliozoeleka sana kulinganisha na kipindi cha nyuma. Zamani kidogo ulikuwa unakuta kabila fulani lina mfalme wake ambaye watu wote wanamsikikiza na sauti yake iko juu kwenye masuala ya utawala. Lakini pia mfalme kama kiongozi alikuwa anapata vitu vyote vizuri. Yaani kwake nguo zilikuwa ni nguo bora…
-
Hatua Muhimu Za Kuchukua Unapojikuta Una Mambo Mengi Ya Kufanya Na Muda Ni Mchache
Mambo ni mengi, muda ni mchache. Huu ni usemi ambao unapata umaarufu sasa hivi. Labda swali ambalo tunapaswa kujiuliza sasa hivi, Je, mambo ndio yameanza kuwa mengi sasa hivi? Mambo ni mengi siku zote. Hakuna siku ambapo mambo yamegeuka kuwa machache. Watu pekee wenye mambo machache ni wale ambao wameaga dunia. Kutokana na wingi huu…
-
Kitu Hiki Ndicho Kimefanya Maisha Kuzidi Kuboreshwa Kila Siku
Leo hii akirudi mtu mmoja ambaye aliishi miaka 2,000 iloyopita na kuona kinachoendelea hapa duniani atashangaa sana.Kila kitu kwake utakuwa mshangao. Sio tu namna tunavyovaa nguo nzuri bali pia tunavyolala mahali pazuri.Sio tu namna tunavyowasiliana tukionana kwa simu bali pia usafiri wa mabasi, ndege na majini ulivyobadilika. Yaani kila kitu kimebadilika kabisa. Hadi vyakula tunavyokula,…
