-
Huu Ndio Upande Unaopaswa Kuuchagua Siku Zote
Katika historia ya dunia tunasoma kwamba mwaka 1884 kulikuwa na mkutano wa Berlin. Katika mkutano huu nchi za Ulaya zilikuwa zikipambana ili kuhakikisha kwamba zinaligawa bara la Afrika. Mmoja wa watu waliokuwepo kwenye mkutano huo ni Marekani. Lakini Marekani hakuwa mmoja wa watu waliokuwa wanapigana ili kupata sehemu Afrika, bali Marekani alikaa kama msikilizaji. Rafiki…
-
Hiki Ni Kitu Ambacho Dunia Haipungukiwi
Sio kitu cha ajabu kusikia watu wanasema kwamba kuna uhaba wa maji. Au uhaba wa chakula. Wengine utawasikia wakisema kuna uhaba wa walimu katika shule, wilaya au mkoa fulani. Cha ajabu zaidi ni kwamba kuna malalamishi ya uhaba wa viongozi bora. Lakini ushawahi kujiuliza ni kitu gani ambacho hakina uhaba? Yaani uapatikanaji wake upo kwa…
-
Je, Sehemu Yako Ya Kusimamia Ni Ipi?
Kuna wakati kuku huwa anaficha mguu mmoja na kusimama kwa mmoja. Kuna wakati paka huwa anasimama kwa miguu yake ya nyuma na kuiacha miguu ya mbele ikielea. Hii ndio kusema sehemu zinazotupa uhakika zipo kila wakati na kwa kila mtu, ila kuna wakati tunapaswa kuzikataa na kutafuta sehemu bora zaidi. Ndio maana kila siku tunaalikwa…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kupata Muda Zaidi Wa Kazi Zako
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Kila siku una masaa 24 ya kuishi. Masaa 24 ya kufanya kile unachopaswa kufanya masaa 24 ya kufanya kila kitu.Je, unapata muda wa kufanya kazi za muhimu kwako?Unaweza kupata muda wa kufanya kazi yoyote ile ambayo unataka kama utaamua. Suala…
-
Haya Ni Mambo Manne (04) Ambayo Unapaswa Kuyafanya Asubuhi
Kila siku mpya huwa inaanza asubuhi. Kila asubuhi huwa ni mpya. Uwezo wa kuipata na kuishi ndani ya asubuhi mpya ni jambo jema sana. Kwa hiyo kila siku kunapokucha lazima ujitahidi kuhakijisha kwamba unaitumia vyema asubuhi yako. Kuna mambo manne (04) ambayo unaweza kuyafanya kila unapoamka asubuhi.Na mambo haya ni kama ifutavyo. 1. KUSHUKURU.Neno la…
-
Swali Muhimu Unalopaswa Kujiuliza Kabla Ya Kulala?
Binadamu yeyote amezaliwa na kupewa kazi maalum ya kuja kushughulika nayo hapa duniani. Kazi hii kama utaifanya na kuitimiza kila siku itakufanya ujisikie huru, lakini pia itawafanya watu unaoishi nao karibu wafurahie maisha. Kiufupi ni kwamba hujaishi siku ya leo kama hujafanya tendo na kuongeza thamani kwa mtu. Usishangae, najua umezoea kila siku unapenda kufanya…
-
Yajayo Yanafurahisha, Upo Tayari?
Je, nitawezaje kuwa na kesho bora? Nifanyeje ili niweze kuiboresha kesho kuwa bora? Nifanyeje ili niwe na maisha mazuri? Haya ni baadhi ya maswali ambayo huulizwa na watu walio wengi sana. wakitaka kujua kama wanaweza kutoboa katika maisha. Ukweli ni kwamba kila mtu anaweza kutoboa na kufikia hatua kubwa sana. Lakini je upo tayari. Kuna…
-
ACHANA NA HAWA WAJINGA.
Kuna watu, yaani yeye asipoonesha ka ishara ka kukupinga haridhiki. Yaani hata kama utafanya mambo mazuri lazima yeye atakuwa na kinyume chako. Yeye furaha yake huja pale anapoonekana amekusema kwa watu wengine.Furaha yake ni kuona doa kwako.Furaha yake ni kwamba wewe urudi chini na yeye apande juu.Yeye anajua njia moja ya kufanikiwa. Na yenyewe ni…
-
Hili Ni Kosa Ambalo Wajasiliamali Wengi Hufanya
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu na ndugu msomaji wa blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya kazi kwa juhudi kubwa sana. Hongera sana kwa siku hii ya leo. Siku hii ya leo napenda nikwambie kosa moja ambalo wajasiliamali walio wengi sana hulifanya…
-
Ukichukia Ngazi Unachukia Mafanikio
Kati ya vitu ambavyo huwa havipendwi na watu walio wengi sana ni ngazi. Yaani kupanda ngazi hatua kwa hatua ni jambo ambalo huwa linachukiza watu walio wengi. Ndio maana unakuta mtu anadiriki kupanda ngazi tatu kwa mkupuo ili awahi kumaliza kuzipanda ngazi hizi. Watu wengine wameenda mbali zaidi kwa kuhakikisha kwamba wanaweka lift katika maeneo…
-
Hii Ni Kazi Kubwa Unayoweza Kujibebesha
Kama kawaida kila siku huwa nasisitiza umuhimu wa kazi. Na kila mara ninapokutana na mtu kitu kikubwa ambacho huwa sifichi huwa ni umuhimu wa kazi. Na jambo hili huwa nalisema au kwa maneno au kwa vitendo. Wakati wa utendaji wa kazi unapaswa kufahamu kwamba kuna kazi za muhimu na kazi ambazo sio za muhimu. Lakini…
-
Usisahau Kushukuru
Kila siku mpya inakuja na mambo mapya. Ndani ya kila siku mpya tunakutana na watu wapya. Kila mtu ana mchango wake katika kuhakikisha sisi tunasonga mbele. Usisahau kushukuru. Usisahau kushukuru kile ambacho watu wanakufanyia.Kuna watu ambao wanaweza kukuzuia wewe kufanya kitu fulani, ila mara ukakaa na kufikiri na kuja na mbinu mpya. usisahau kuwashukuru maana…
-
Kosa Kuu Ambalo Watu Hufanya Wakati Wa Kuweka Malengo
Habari ya siku hii njema sana rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako ya songa mbele. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kufanya mambo makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Kiukweli siku hii ya leo ni siku ambapo wewe hapo unapaswa kufanya makubwa sana.Na haya makubwa utayafanya kama…
-
A NOTE FROM SONGA MBELE; GO STRAIGHT TO THE POINT
Mara nyingi sana watu wanapokuwa wanaongea na mtu wanaanza kuongea mbwembwe kibao kabla ya kuongea jambo la msingi. Unakuta mtu ana bidhaa anaanza kuzungumzia hili na kuzungumzia lile badala ya kumwambia mtu kwamba ana bidhaa fulani. Soma Zaidi; A NOTE FROM SONGAMBELE; TOA KINACHOHITAJIKA Au mtu anakupigia simu ana shida, anaanza kupiga stori za juzi.…
-
Ni Mwaka Mmoja Sasa Tangu Kitabu Hiki Kiandikwe
Ni mwaka sasa umepita tangu kitabu cha KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI kiandikwe. Kitabu hiki nilikiandika mfululizo na kukipangilia kwa mwezi mzima. Na mwezi huu haukuwa mwingine bali ni mwezi wa nne 2017. Hapo awali kitabu hiki kilikuwa kimeandikwa kwenye daftari. Kama ambavyo inaonekana hapo juu. Baadae mwezi wa tano wa mwaka jana ulikuwa ni mwezi…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; TOA KINACHOHITAJIKA
Ili umkamate samaki unahitaji kumpa chambo. IPO hivyo. Hakuna jinsi unavyoweza kumakamata samaki kwa kumpa ugali na nyama. Kwa hiyo gharama kubwa ya kumakata samaki ni kutafuta chambo na kumpa. Ukilifahamu hili kwenye safari ya mafanikio wala hata haitakupa taabu, maana utafanya kama unavyofanya kwenye samaki. Na chambo cha mafanikio ni kuwa tayari kulipa gharama.…
-
Huu Ni Aina Ya Ubabe Unaopaswa Kuuonesha
Katika safari nzima ya kutoka sifuri kuelekea kileleni kati ya vitu ambavyo huwezi kuviepuka ni changamoto na vikwazo. Vikwazo vipo,Changamoto zipo,Kukata tamaa kupo,Kukatishwa tamaa kupo,Kukataliwa kupo, Yaani ili kuweza kukifikia kilele cha mafanikio ambayo unayataka basi lazima ujue wazi kwamba changamoto zote hizi lazima utakutana nazo tu.Ila ubora ni kwamba matatizo haya na changamoto sio…
-
Haya Ni Malalamishi Unayopaswa Kuwa Nayo
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya leo. Katika hali ya kawaida watu wanapenda kulalamika. Wanapenda kuilalamikia serikali kwa sababu ya kutotoa fursa. Wanalalamikia serikali kwa kutowajali. Wanailalamikia serikali kwa kutotoa ajira na malalmishi mengine sana. Soma Zaidi; Hizi Ni Sauti Tano Ambazo Hupaswi…
-
Fanya Kile Unachopenda Kuona Kimefanywa
Je, kuna kitu ambacho ungependa kuona kimefanyika?Je, kuna kitabu ambacho unafikiri bado hakijaandikwa?Je, kuna wimbo ambao unajua wazi haujaibwa? Soma Zaidi; Vitu Vinne (04) Vinavyowafanya Waajiriwa Kuendelea Kuajiriwa Rafiki yangu kama unajua kuna kitu ambacho hakijafanyika na ungependa kuona kinafanyika, basi weka juhudi kuhakikisha kwamba kitu hicho kinafanyika. Na unakifanya wewe. Kitu chochote ambacho unapenda…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; Umeongea Na Nani Leo?
kila siku huwa ni siku njema sana ya wewe kuweza kuitangaza BIASHARA yako.Kama wewe Leo hujapiga hata hatua moja kuhakikisha kwamba unaitangaza BIASHARA yako jua kwamba hujaitendea hako BIASHARA yako ipasavyo. Unapaswa kuhakikisha kwamba kila kunapokucha walau unamfikia MTU mmoja wa ziada. Kila siku unapaswa kuitangaza biashara yako ambapo ulikuwa bado hujafanya? Je, umefanya hivyo…