-
Hii Ndio Zawadi Pekee Ambayo Unapaswa Kuipokea Mikononi Mwako
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema sana ya pasaka, ikiwa ni siku ya pili. Tangu jana rafiki yangu nimeamua kukupa zawadi ya pasaka ili ufurahie vizuri pasaka yako. Siku zote huwa naamini zawadi nzuri ni ile inayokupa hamasa ya wewe kusonga mbele. Kama ambavyo mtu…
-
TABIA TATU UNAZOPASWA KUWA NAZO KUELEKEA MAFANIKIO
via https://youtu.be/crreALVkcZI
-
KHERI YA PASAKA RAFIKI YANGU
Habari ya hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako. Nachukua nafasi hii nzuri sana kukupongeza kwa nafasi hii ya pasaka leo, rafiki yangu. Hongera sana. Kama ilivyo kawaida rafiki yangu katika kila tukio linalotokea katika maisha yetu inakuwa ni nafasi bora ya kujifunza. Leo hii pia ikiwa ni…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-161 Tatizo unajishikiza kwenye kuta za dimbwi la maji.
Huwezi kuwa mwogeleaji hodari wakati unaendelea kujishikiza kwenye kuta za swimming pool. Ili uwe mwogeleaji mzuri lazima ukubali kuachia kuta za swimming pool na kuingia kati kati ya maji. Kama utaendelea kushikilia kuta za swimming pool, nakuhakakikishia utaendelea kuwasikia waogeleaji hodari kwenye redio. Vivyo kwenye hali kawaida ya maisha, kama ambavyo huwezi kuwa mfungaji hodari…
-
USIKUBALI KUKOSA NAMBA!
Kila unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…
-
Hatua Muhimu Katika Kuweka Malengo
Kila unapoamka kila siku asubuhi, siku yako unakuwa nayo masaa mengi sana yaani masaa 24, lakini hata siku moja, muda siku zote huwa unaonekana kama hautoshi hii ni kutokana na ukweli kwamba kazi zinakuwa zinaonekana ziko ningi sana. tena ukifanya kazi zako kufikia jiooni unajikuta kwamba umechoka sana lakini ukiingalia siku yako umefanya nini unaonekana…
-
Muda Mzuri Wa Kuanza Jambo Lolote
UFAHAMU MUDA MZURI WA KUANZA JAMBO LOLOTE MAISHANI Watu wengi sana huwa wanauliza ni muda gani wanaweza kuanza. Wengine huwa wanasubirisha kuanza biashara, wakati wengine wakiwa wanazikosa fursa na kwa sababu tu ya kusubuiri, kiukweli siku hii ya leo nina habari njema sana kwako rafiki yangu juu ya muda mzuri sana ambao wewe unaweza kuanza…
-
KITABU NYUMA YA USHINDI;
habar, kitabu cha nyuma ya ushindi, kimezinduliwa rasimi tangu juzi, na mpaka sasa hivi unaweza kukipata popote pale ulipo duniani. hapa nimekuwekea utangulizi wa kitabu cha NYUMA YA USHINDI Mara nyingi sana inapozungumziwa historia ya watu waliofanikiwa kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kijamii n.k basi huwa inaoenekana ni ya kusisimua sana. Maana historia hii huwa inazungumziwa katika…
-
Hizi Ni Huduma Ambazo Unaweza Kuzipata Kutoka Kwangu
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu, imani yangu kwamba leo ni siku njema sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana kuhakikisha kwamba unafikia makubwa sana maishani mwako. Leo hii rafiki yangu napenda uzijue kwa undani huduma ambazo unaweza kuzipata hapa kwangu. Kuna huduma mbali mbali ambazo unaweza kuzipata kutoka…
-
Vitu Vitatu Vitakavyokufikisha Kwenye Kilele Cha Mafanikio
Habari ya siku hii njema sana ya leo rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo ni siku njema sana na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unaweza kufikia mafanikio makubwa sana. Kufikia kilele cha mafaniko ni rahisi sana. ni rahisi kwa sababu kuna vitu vichache sana ambavyo unahitaji kuvifahamu na vingine kuvipuuzia. Hii ni kutokana na ukweli…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-154 Tatizo hujau kwamba kila kitu kina msimu wake
Kila kitu kina wakati wake, wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, wakati wa kulia na wakacti wa kucheka…. Hakuna kitu ambacho huwa kinatokea tu! Balli ni majira ya kitu husika tu huwa yanapita Unapokutana na nyakati ngumu sio kwamba ule ndio unauwa mwisho wa safari wala hicho sio chanzo cha wewe kulia bali ni…
-
Huu Ni Muda Mzuri Unaoweza Kukubali Majukumu
Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya kutoka songa mbele blog. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana. Hongera sana kwa siku hii rafiki yangu. Maana hii ni siku ambayo haitakuja kujtokeza katika maisha yako yote. hakikisha kwamba unaitumia vyema kabisa maana siku kama hii hapa haitakukja…
-
Hii Ni Hazina Kubwa Kuwahi Kutokea Katika Dunia Hii
HII NDIO HAZINA KUBWA SANA KUWAHI KUTOKA KATIKA DUNIA HII Habari ya siku hii ya leo rafiki na ndugu msomaji wa makala haya murua kabisa kutoka katika blogu yako ya SONGA MBELE. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana na unaenda kufanya makubwa sana siku hii ya leo. Ni jambo jema sana…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA Tatizo hujaweka ukomo
Ili kitu kiweze kufanyika vizuri na kwa ufasaha wa hali ya juu sana unahitaji kuhakikisha kwamba umewekiwekea ukomo hasa katika kukitenda na kukikamilisha. Usipokuwa na ukomo katika kutenda utajikuta kwamba utakuwa unafanya hiki na kufanya kile. Utajikuta kwamba unaanza kufanya kitu fulani ila bado hukimalizi kwa sababu hakina ukomo, Kwani ukomo ni wa nini kwenye…
-
TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA-153 Tatizo hujajua umuhimu wa mitandao ya kijamii
Watu wengi sana kwa sasa wameingia katika wimbi la kulalamika kila wakati kwamba mitandao ya kijamii sio mitandao mizuri , badala yake imeharibu jamii. Wanaosema hivyo wanasisitiza kwamba mitandao hii imeleta upotovu mwingi sana kwa vijana kuliko ambavyo dunia imewahi kushuhudia kwenye zama za nyuma.. hata hivyo watu ambao wanasema hivyo wanasahau kwamba mitandao hii…
-
Ufahamu Muda Wa Kuanza Jambo Lolote Maishani
Watu wengi sana huwa wanauliza ni muda gani wanaweza kuanza. Wengine huwa wanasubirisha kuanza biashara, wakati wengine wakiwa wanazikosa fursa na kwa sababu tu ya kusubuiri, kiukweli siku hii ya leo nina habari njema sana kwako rafiki yangu juu ya muda mzuri sana ambao wewe unaweza kuanza kitu. Na muda huu sio mwingine bali ni…
-
Ni Kweli Mbwa Mzee Hafundishwi Mbinu Mpya?
Kuna usemi wa kiingereza unaosema kwamba huwezi kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya. Watu wanaokubaliana na usemi huu wanaamini kwamba huwezi kujifunza mbinu mpya ukifikisha umri fulani. Watu hawa wanaamini kwamba huwezi kupiga hatua hasa ukishafikia hatua ya uzee katika maisha. Jambo kama hili hapa sio kweli. Ukweli ni kwamba wewe sio mbwa. Inawezekana ikawa ni…
-
Hiki Ni Kitu Unchoweza Kufanya Kuyaabisha Makaburi
Kwa siku nyingi sana makaburi ya dunia hii yamekuwa yananufaika sana. makaburi haya yamekuwa yakituibia watu wa aina mbali mbali. yaani yametuibia walimu wazuri ambao hawakuwahi kuwa walimu. Yametuibia wafanyabiashara wazuri ambao hawakuwahi kuwa wafanya biashara, yametuibia maraisi wazuri ambao hawakuwahi kuthubutu hata kuongoza hata kikundi cha watu wawili. Hii ndio kusema kwamba makaburi yameiibia…
-
Mwanafunzi Ni Zaidi Ya Mwalimu Wake …
Waswahili wana usemi ambao wanasema kwamba mwanafunzi hawezi si zaidi ya mwalimu wake. Ila katika hali ya kawaida kitu ambacho si, kinaweza pia kuwa ni…. Hivyo mwanafunzi anaweza kuwa ni zaidi ya mwalimu wake. Isipokuwa ni kwamba mwanafunzi akishakuwa ni zaidi ya,, asimsahau yule aliyemwezesha kuweza kufika hapo alipofika. Naye ni mwalimu. Kama mwanafunzi hapaswi…
-
VITU VITANO (05) VYENYE THAMANI ZAIDI HAPA DUNIANI
Je, ushawahi kujiuliza ni vitu gani vyenye thamani kuliko vitu vingine hapa duniani? Je, vitu hivyo ni vipi? Sijawahi kumuuliza rafiki au ndugu yangu swali kama hili hapa, ila nina uhakika nikiwauliza watu walio wengi majibu ambayo watanipa yatakuwa ni majibu ya vitu kama magari, ndege, nyumba za kifahari na vitu vingine vya aina hiyo.…