-
HUYU NI MTU UNAYEPASWA KUSHIRIKIANA NAYE
Kila siku unapata nafasi ya kuwa na watu mbali mbali ambao unashirikiana nao. Ila sio kila MTU ambaye unakutana naye anakufaa. Kuna MTU mmoja muhimu sana ambaye unapaswa kushirikiana naye. Na hu sio mwingine. Bali MTU ambaye anakupa changamoto. MTU ambaye nawaza mambo makubwa.Mtu ambaye anawaza chanya.Mtu anayejua umuhimu wa Muda (anatunza miadi).Mtu anayekusikiliza pale unapopaswa…
-
Hivi Ndivyo Unaweza Kusoma Kitabu Kwa Wiki Moja (Mbinu Nne Za Uhakika)
Habari ya siku hii njema sana ya Leo rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii ya leo na ya kipekee sana kuwahi kutokea katika dunia hii. Siku hii ya leo naomba tuangalie ni kwa jinsi gani unaweza kusoma kitabu kwa wiki moja. Moja kati ya changamoto ambayo watu kwa sasa wanayo ni kutosoma. Kila Mara…
-
Vitu Vinne (04) Vinavyowafanya Waajiriwa Kuendelea Kuajiriwa
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo umekuwa na siku njema sana na bado kuna juhudi zaidi unazidi kuweka ili kuhakikisha kwamba unaweza kufika unapotaka kufika. Hongera sana rafiki yangu. Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini watu wanaendelea kukaa ajirani ingawa wanajua wazi kwamba kukaa ajirani hakuwezi kutoshereza mahitaji yao?Ukiongea na…
-
Unawahitaji Watu Ili Kufanikiwa
Moja kati ya vitu ambavyo mara nyingi sana vinakuwa vimesimama nyuma ya ushindi wa watu mbali mbali ni watu. Watu ambao wanakuwa wanakusukuma kuweza kufikia hatua kubwa sana maishani. Soma Zaidi; Usikubali Kukosa Namba Kwa mfano ukifuatilia wanasiasa wakati wa kampeni utagundua wanawatafuta watu ambao wanakuwa na ushawishi sana ili wawasaidie kupiga kampeni. Ukiwaangalia wanamziki…
-
Njia Tano (05) Za Uhakika Za Kupoteza Muda
Ukitaka kujua umuhimu wa mwaka mmoja muulize mwanafunzi aliyerudia mwaka Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu kwamba leo hii ni siku njema sana kwako na unaenda kuitumia siku hii kufanya makubwa sana. Moja kati ya rasilimali muhimu sana katika maisha ni muda. Kuna watu kila kukicha wanautafuta muda zaidi kwa kuwaajiri…
-
Hiki Ni Kiwango Cha Uharaka Kinachopendwa Sana Na Watu
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Imani yangu leo ni siku njema sana. Dunia ya sasa hivi imekuwa ni dunia ya kasi sana. Kwa sasa watu wanapenda sana vitu vya kasi kuliko wanavyopenda kitu kingine chochote. Katika dunia ya sasa hivi kasi ni kitu ambacho kinaongelewa kila mahali. Ndio maana utasikia baadhi ya…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; Namba Za Simu
Kama katika namba za simu zote zilizo kwenye simu yako hauna namba ambazo unaweza ukazipigia zikakusaidia kutatua tatizo Fulani basi hapo unapaswa kuivunja laini hiyo … Ndio inashangaza lakini ni ukweli.Kama watu wote ulionao kwenye simu yako muda wote tu wanataka mchati, tena sio masuala ya maana. vunja laini. Vunja laini na anzisha mpya ambayo…
-
MAKALA MAALUM KWA WATU MAALUM; Kwa Nini Kusoma Vitabu
Katika zama za sasa hivi tulizopo kuna vitu ni rahisi sana kuvipuuzia na kuna vitu inakuwa ni vigumu kuvipuuzia.Kuna vitu vinavutia kuvifanya na kuna vitu havivutii kufanya. Mfano kuchati na kufuatilia habari nyepesi nyepesi kwenye mitandao ya kijamiii kunavutia sana kuliko kukaa chini na kusoma kitabu. Ndio maana watu walio wengi wanatumia muda mwingi sana…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; Matumizi Ya Pesa
Moja kati ya vitu unavyopaswa kuviepuka ni watu kujua kwamba una pesa. Yaani hakipaswi kuwepo kipindi ambacho ukishika pesa mkononi kila mtu anajua. Kwa mfano pale unapopokea mshahara. Sio lazima kila mtu ajue kwamba sasa mshahara umeingia. Na ili kuepuka hili kuna tabia utapaswa kuzibadili.Mfano sio lazima watu wakujue kwamba unapokuwa na pesa ndipo unapost…
-
Kitu Kimoja (01) Muhimu Kuhusu Muda
Habari ya siku hii ya leo rafiki yangu na ndugu msomaji wa makala kutoka katika blogu yako ya songa mbele. Imani yangu leo ni siku bora sana kwako na unaenda kuweka juhudi kuhakikisha kwamba unafanya makubwa sana ndani ya siku hii ya leo. Moja kati ya rasilimali muhimu sana ambayo ni lazima tuitumie vizuri sana…
-
Vitu Haviishi Kama Vilivyoanza
Vitu haviishi kama vilivyoanzaHapa katikati huwa kuna mabadiliko.Kazi hubadilikaMarafiki hubadilikaKipato hubadilikaMahusiano hubadilika Kwa hiyo pale utakapoona kitu hakiendi kama ambavyo kimeanza basi hapo usisite kuweka juhudi ili kupata matokeo unayoyataka. Vitu haviishi kama vilivyoanza. Watu mara nyingi hupenda kukuona kama walivyokuona siku ya kwanza. Kama hutapiga hatua na kusonga mbele zaidi basi watu watazidi kufurahi…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; MITANDAO YA KIJAMII
mitandao ya kijamii haupo kwa ajili ya wewe kuwaambia watu kwamba leo ulipata wakati mbaya wakati unasafiri kufika nyumbani.Wala haipo kwa ajili ya wewe kuwapa taarifa kwamba leo umekula nini? Au kifungua kinywa chako kilikuwaje? Mitandao hii IPO kukuunganisha na watu kibiashara ili mfanye biashara na kukuinua kukutoa hapo ulipo kwenda hatua ya ziada. Je,…
-
A NOTE FROM SONGAMBELE; VIDOGO VS VIKUBWA
Ukilala muda unaopaswakufanya kazi, utafanya kazi mudaunaopaswa kulala Ukitumia pesa kufanya manunuzi ambayo si ya lazima ghafla utajikuta unahangaika kukopa pesa kwa ajili ya matumizi ambayo ni ya lazima Usipokuwa makini na matumizi ya hela kidogo mkononi hutaweza kutumia hela kubwa sana ambayo utakuja mkononi mwako. Kama huwezi kuanza na hatua hatua kdogo ndogo kuelekea…
-
KITABU, TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA
Kwa siku nyingi sasa kumekuwepo na malalamishi kutoka kwa watu mbalimbali, ndani na nje ya bara la la AFRIKA, malalamishi haya haswa yanaelekezwa kwa wazungu na wakoloni na watu nchi za nje. Watu wengi wamekuwa wakilalamika kwamba sasa bara la Afrika lingekuwa limepiga hatua kubwa sana kama wasingekuwa wakoloni waliotawala nchi hizi za Afrika na…
-
Usibadili Kioo
Tunaangalia kwenye kioo tunajiona sisi wenyewe.Itaonekana ajabu pale utakalalamika kwamba juu ya kile unachokiona kwenye kioo.Ni ajabu pia kubadili kioo ili upate picha ya tofauti. Kama tunataka kubadili picha ya kweye kioo lazima tujibadili sisi wenyewe. Kwa maneno mengine ni kwamba kama hutaki matokeo ya kile unachopata kwenye maisha basi unahitaji unahitaji kujibadili wewe kwanza…
-
Hii Ni sentensi Ambayo Unahitaji Kuiepuka
Habari ya siku hii njema sana rafiki yangu. Hongera sana kwa siku hii njema ya leo. Ndani ya kila siku mpya kuna vitu vya kufanya. Yaani kuanzia asubuhi mpaka ileee jioni unakuwa vitu kibao vya kufanya. Mbali na kwamba unakuwa na vitu hivi vingi sana vya kufanya. Bado unahitaji kufanya uchaguzi na kufanya baadhi na…
-
Maajabu Ya Vitu Vidogo Vidogo
Haba na haba hujaza kibaba ni maneno ya wahenga. Sijui aliyesema maneno haya akikuwa anafikiria nini hapo mwanzo lakini haya ni maneno ambayo yanafurahisaha sana na yana ukweli mkubwa sana ndani yake. Siku zote vitu vidogo vidogo ndivyo huchangia vitu vikubwa. Mara ngingi sana watu huwa wanadharau vitu vidogo vidogo ila ni vitu hivi hivi…
-
WEWE NI MENEJA WA MAISHA YAKO
via https://youtu.be/HAYwQ4jzne0
-
KITABU, KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI
Kutoka sifuri mpaka kileleni ni kitabu ambacho kimeandikwa kwa wakati muafaka kikikulenga wewe ambaye una ndoto ya kufikia eneo kubwa sana maishani. Yaani kileleni. Ndani ya kurasa za kitabu hiki utapata kujifunza vitu kadha kadha ambavyo vitakufanya wewe uzidi kusonga mbele kila siku. 1. Utapata kujua kama unaishi au uko hai. Maana hivi vitu ni…
-
KUANZIA CHINI MAANA YAKE NINI? (Vitu unavyohitaji kuzingatia ili kuanzia chini).
via https://youtu.be/Nth04JsUEJw