-
Fikra Tano Zinazokufanya Uzuie Mafanikio Makubwa
Habari ya siku ya leo rafiki yangu. Hongera sana kwa zawadi ya siku nyingine. Leo hi nimeona nikushikirikishe fikra tano ulizonazo Sasa hivi ila zinakukwamisha. Kama utaendelea na fikra hizi hasa kwa mwaka mpya 2021, utazuia mafanikio makubwa kuja kwako. Fikra ya kwanza ni were kufikiri kuwa mafanikio yapo kwa uhaba. Yaani, kwamba mtu mmoja…
-
IPAMBANIE KESHO YAKO
Siku moja Arnord Shwarzenegger alikuwa akihadithia jinsi alivyopata ajali na kutoa damu wakati wanaendelea kurekodi tamhiliya. Kwa hali ya kawaida ya ubinadamu kila mtu alimwonea huruma na hasa director wake na hivyo alitaka wasitishe hilo zoezi la kurekodi tamhiliya ili Arnold aende hospitali kutibiwa kwanza. Lakini Arnold Shwarzenegger alikataa. Alisema, “nimekuja hapa kurekodi tamhiliya…
-
Siri Tano Zitakazokuwezesha Kufanikisha Malengo Makubwa 2021
Hiki ni kitabu changu bora Cha mwaka 2020. Anasema Mary Leo nimeikumbuka hadithi ya Anne Lamott. Kwenye kitabu chake cha Bird by Bird ameeleza JINSI siku moja alivyokuwa amepewa kazi ya kuchora ndege wengi kama kazi ya nyumbani kutoka shuleni. Alipofika nyumbani, aliona michoro ni mingi na hivyo akawa ameikatia tamaa. Lakini baba yake…
-
Vikwazo vitano vitakavyokuzuia KUFIKIA NDOTO ZAKO ndani ya 2021
Mwaka 2020 unaelekea kuisha. Umekuwa ni mwaka wenye matukio mengi sana ndani yake. Kuna watu waliweka malengo mwanzoni mwa mwaka ila hawakuanza kuyafanyia kazi, wakisubiri mpaka katikati mwa mwaka. Baadaye ulitokea mlipuko wa ugonjwa wa Corona. Watu waliendelea kuhairisha zaidi malengo mpaka Corona iishe. Baadaye ulifuata uchaguzi mkuu. Nao uliwafanya watu wengi wamezwe kwenye…
-
JINSI YA KUOMBA FEDHA KUTOKA KWA WATU WENGINE: Njia Sita Zilizothibitishwa na Zisizoshindwa
Walau kila mtu aliyekuzunguka ana kiasi fulani cha fedha ambacho yupo tayari kukitumia. Kuna mtu unaweza kuwa naye na akawa anakwambia kuwa hana fedha hata kidogo. Lakini wakati mnaendelea na maongezi, kinaweza kupita kitu fulani ambacho mtu huyo anapenda na mtu huyo akawa tayari kukilipia. Sasa unaweza kujiuliza, hivi kweli mtu huyu hakuwa na…
-
KITABU: JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO
JIPATIE nakala hii kwa kupiga simu kwenda 0755848391 Karibia kila mtu ana ndoto maishani mwake. Ukiongea na mtoto mdogo atakwambia ndoto yake kubwa bila ya uoga wowote. Ukiongea na mtu mzima atakwambia ndoto yake pia. Japo watu wenye ndoto ni wengi ila wachache sana ndiyo huwa wanaweza kutimiza ndoto zao. Sasa kwa nini watu huwa…
-
FURSA NI KAMA MAJI YA MTO
Kuna watu huwa wanafikiria kwamba fursa zipo kwa uhaba. Yaani, kwamba akiikosa fursa fulani ndiyo kama amepoteza kila kitu maishani. Kiufupi maisha hayako hivyo na wala fursa haziko hivyo. Fursa ni kama maji ya mto yanavyokuwa yanatiririka. Wewe hapo unaenda kwenye maji hayo unachota na kuondoka, na baadaye anakuja mtu mwingine naye anachota na…
-
Vitu Vitano Kutoka Kwenye Kamusi Ya Watu Wa Kawaida; Viepuke Kwa Manufaa Yako
Nakala za kitabu hiki, zipo (tuwasiliane kwa 0755848391) Watu wote ambao huwa wanaishi maisha ya kawaida huwa wana vitu ambavyo huwa vinawaunganisha. Na vitu hivi huanzia kwenye fikra zao, jinsi wanavyoishi maisha yao ya kila siku,ongea yao na hata ulaji. Muunganiko wa vitu hivi vyote ndiyo huwafanya wawe na maisha ya kawaida. Vitu hivi ndivyo…
-
Kauli Saba Unazopaswa Kuziondoa Kwenye Kamusi Ya Maongezi Yako
Maneno huumba. Ni usemi mfupi wa wahenga ila wenye maana kubwa sana. ni ukweli kuwa maneno yana uwezo wa kuumba kitu chochote. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kizuri, basi unaongea maneno chanya. Ukitaka maneno yakuumbie kitu kibaya basi unaongea unaongea maneno hasi. Ni hivyo tu. Sasa siku ya leo nimeona nikuletee kauli tano ambazo…
-
Ondoka Kwenye Wimbi La Watu Elfu Moja Wasiozalsha Matokeo, Jiunge Na Watu Wachache Wanaofanya Vitu Vinavyoeleweka
Add caption Ukiingia kwenye chumba chenye watu elfu moja na kuuliza ni wangapi wangependa kuwa mamilionea, ni wazi kuwa unaenda kuona mikono zaidi ya elfu moja ikiwa imenyooshwa juu. Hii ndio kusema kwamba kuna watu wangependa kuwa mamilionea kiasi kamba wananyosha mikono miwili juu. Lakini watu hao ukiwauliza sasa ni wangapi wameshaanza kuchukua hatua…
-
Vitu Vitano Unavyopaswa Kufanya Kama Umeajiriwa
Hapo zamani za kale mfumo wa ajira haukuwepo kabisa. Hata hivyo, zilipoanza zama za viwanda, ndipo na mfumo rasmi wa elimu ukawekwa ili kuzalsisha watu wa aina fulani waliokuw wanahitajika kwenye viwanda lakini wakati huohuo mfumo wa ajira nao ukazaliwa. Kipindi hicho, watu walikuwa wanaandaliwa shuleni ili kukidhi mahitaji yaliyokuwepo kwenye viwanda. na kutokana…
-
Mwisho wa kupata kitabu cha JINSI YA KUWA MWAMDISHI MBOBEVU KWA SHILINGI ELFU TANO TU NI TAREHE 31 MWEZI HUU
Rafiki yangu, tangu tarehe 19 nilipotoa kitabu cha Jinsi ya kuwa mwandishi mbobevu ndani ya siku 30, nimekuwa nikikusisitiza kuwa unaweza kupata kitbu hiki kwa bei ya ofa ambayo ni elfu tano tu badala ya 6,500/-. Ila ofa hii haitadumu kwa muda mrefu. Hivyo, itafikia ukomo wake tarehe 31 mwezi huu. Ni muhimu sana…
-
Vitu Vitano Vitakavyokufanya Upate Mafanikio Yasiyo Ya Kawaida
Ni wazi kuwa kila mtu angependa kupata mafanikio makubwa na mafanikio ambayo watu wengine hawawezi kupata. Hata hivyo, si watu wote wanafanya vile vitu ambavyo vinapelekea kwao kupata mafanikio makubwa. ukweli ni kwamba ukifanya vitu ambavyo kila mtu anafanya, utaishia tu kupata matokeo ambayo kila mtu anapata. Ila ukifanya vitu kwa namna ya tofauti,…
-
Sheria Tano Za Nguvu Zitazokusaidia Kushinda Mengi Kwenye Maisha Ya Mtaani. Zifuate Kwa Faida Yako, Zivunje Kwa Hasara Yako
Pengine utakuwa umesoma 48 Laws of power kitabu kilichoandikwq na Robert Greene. Kama hujawahi kukisoma, basi baada ya kumaliza Kusoma andiko hili utapaswa kukitafuta na kukisoma. 50 CENT ni mmoja wa wasomaji wazuri na watu waliotumia kitabu hiki kwa mafanikio makubwa sana. Hata hivyo, leo hatutaongelea kitabu hiki 48 Laws Of Power…
-
Viashiria Vitano kuwa utashindwa kutimiza malengo yako
Kama kuna kitu muhimu ambacho unapaswa kuwa nacho ili ufanikiwe zaidi basi ni malengo. Ukikutana na mtu mwenye malengo Basi unapata picha halisi ya mtu atakayefanya makubwa maishani. Ila ambaye hana malengo ni wazi kuwa atakuwa anayumba kama bendera. Wakati mwingine unaweza kuwa na malengo Ila ukawa kama ambaye hana malengo. Na vifuatavyo Ni…
-
USIJILINGANISHE NA WATU WENGINE
Kama kuna dhambi kubwa ambayo unaweza kufanya ni dhambi ya kujilinganisha na watu wengine. Ujue huwezi kufanya kitu original kama wewe ni mtu wa kujilinganisha na watu wengine. Maana wewe muda wote tu, utakuwa unaangalia nani, amefanya nini? Na nani hajafanya nini? Na wewe utakuwa unaiga walivyofanya ili uweze kuendana nao! Kila wakifanya kitu fulani…
-
Sababu Tano Kwa Nini Unashindwa Kuamka Asubuhi Na Mapema Na Kitu Gan Unaweza Kufanya Sasa Hivi
Ni takribani wiki sasa tangu nimeandika andiko langu nikieleza kuwa kuamka asubuhi ni tabia. Katika makala hiyo nilieza jinsi ambavyo unaweza kujenga tabia ya kuamka asubuhi na mapema hata kama hukuwahi kujenga tabia hii hapo awali. Hata hivyo, kuna mtu amejaribu kuufuata ushauri huo wa kuamaka asububuhi na mapema na umemshinda. Ameniambia kwamba…
-
FANYIA KAZI UNACHOJUA
Ujue unaweza kuwa unajua mambo mengi. Ukawa unajua hatua muhimu unazopaswa kuchukua, Ila kama hutachukua na kufanyia kazi kile unachojua, basi ni wazi kuwa usitegemee kupata matokeo yanayoendana na maarifa uliyonayo. Kitu kikubwa unachoweza kufanya ni kuweka kwenye MATENDO ulichojifunza. Ukijifunza kuhusu kuweka AKIBA, weka. Ukijifunza kuhusu kulala kuamka mapema fanya hivyo. Hakuna njia…
-
Mambo Matano Ya Kufanya Unapopata Fedha Nyingi Ambazo Hukutarajia
Karibu sana rafiki yangu kwenye makala ya siku ya leo ambapo ninaenda kukuonesha mambo matano ambayo unapaswa kufanya pale unpopokea fedha nyingi kwa wakati mmoja na hasa kama fedha hii hukuitarajia. 1. Usikikimbilie kutumia fedha hii. Ni wazi kuwa fedha hii haikuwa kwenye bajeti yako. Hivyo, kitu kikubwa ambacho unapaswa kufanya na…
-
Vitu Vitano Usivyojua Kuhusu Biashara Kubwa
Leo mimeyakumbuka maneno ya Jack Ma Mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba. Baada ya kampuni yake kuwa imefanikiwa sana, siku moja alinukuliwa akisema, “unapofanikiwa kila kosa lako linaonekana ni ushujaa, ila ukishindwa kila kosa lako linakuwa takataka”. Kitu hiki ndicho kimenisukuma Leo nukuandikie vitu vitano usivyovijua kuhusu biashara kubwa na kampuni kubwa. 1. Nyuma ya ushindi…
