-
Kuwa Na Sababu
Kila kitu ambacho kipo lazima kuna sababu ya kitu kile kuwepo na kitu chochote ambacho kinafanyika lazima kuna sababu ya kitu kile kufanyika. Lazima kuna sababu ya wewe kufanya kitu kile ambacho unafanya sasa hivi. Kama unanona unafanya kitu bila ya kuwa na sababu basi nakushauri acha kufanya sasa na anza tena Acha ili uweke…
-
Watu Sita Waliokuzunguka
Wewe ni tofauti na mtu mwingine yule kwa wastani wa watu sita waliokuzunguka. Kwa lugha nyingine naweza kusema kwamba maisha yako ni wastani wa maisha ya watu sita waliokuzunguka. Tabia zako, kipato chako, na matendo yako yote ni sawa na kuchukua wastani wa wa tabia, matendo, na kipato cha watu sita waliokuzunguka. Kumbe kama umezungukwa…
-
Yaboreshe Mazingira Yako Fanya zaidi.
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu ya songa mbele. Karibu sana katika makala ya leo. Kila mtu kakulia katika mazingira tofauti na ya mwenzake. Mazingira haya ni kuanzia nyumbani, shuleni na jamii kwa ujumla. Kama umekulia kwenye mazingira linapotumika jembe la mkono basi utakuwa na utaalamu na ujuzi wa kulitumia jembe la…
-
Wiki Moja Bila Habari
Tupo katika ulimwengu ambapo habari zinasambaa kwa kasi kubwa sana. Tupo katika ulimwengu ambapo habari inaweza kuizunguka dunia nzima ndani ya dakika tano jambo ambalo halikuwahi kutokea miaka ishirini iliyopita. Gazeti lenye habari hasi linauza sana kuliko gazeti lenye habari chanya, au gazeti lenye historia ya mtu maarufu sana Gazeti lenye habari inayoeleza janga fulani…
-
Hili Hapa Jambo La kuogopa
Muda ambao mtu anaupoteza akiwa na hasira,Nguvu ambayo mtu anaipoteza akiwa na hasira, kupiga majungu na kuwachukia watu unatosha sana kumfanya kuwa tajiri katika maisha yake yote. Nwanadamu anapoteza robo tatu ya maisha yake yote bila kufanya kitu.Napolleon HillKatika maisha yangu sijawahi kusikia kwamba mtu kafaidika kutokana na hasira. Sijawahi kusikia kwamba hasira imezalisha kitu…
-
Vutia Kwako Tabia Hizi.
Habari za leo rafiki na ndugu yanguKaribu sana katika makala ya leo. Ili kufikia mafanikio na kufikia sehemu ambayo inaonekana iko juu sana katika ulimwengu wa mafaniko unahitaji kuwekeza sana kwa kuweka nguvu, muda, lakini pia kutafuta watu sahihi wa kwenda nao kwenda kwenye mafanikio na kuhakikisha wamekufikisha kule ambapo wewe unataka kufika. Huwezi kutoka…
-
Utumie muda wako wa safari vizuri
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za SONGA MBELE karibu sana katika makala ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadilisha mtazamo wako na mwelekeo wako kiujumla na kukufanya kuwa mtu mpya kabisa. Kitu ambacho kitakusogeza sana karibu sana na mafanikio. Kujifunza kila siku ni njia nzuri ya kukufanya uzidi kusonga…
-
Ubongo Ni Bustani
Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80) lakini…
-
Mambo muhimu kuhusu muda.
Kwa siku mwanadamu ana masaaa 24. Wengine wanyatumia masaa 24 kufanya mambo makubwa wakati wengine wanafanya mambo ya kawaida sana (mambi ya mazoea). Wakati unahangaika kufanya jambo fulani hakuna anayejihangaisha na wewe lakini ukishafanikisha wataanza kijitokeza watu na kuanza kuonesha kupendezwa na kile unachofanya. Watu wanachoangalia ni je, wewe umeweza kufanya? Je kazi muhimu umeweza…
-
Kama Unapanga Kufanya Jambo Rahisi Maisha Yako Yatakuwa Magumu Kama Unapanga Kufanya Jambo Gumu Maisha Yako Yatakuwa Rahisi
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa blogu yako penswa ya songa mbele karibu sana katika Makala ya leo ambapo tunaenda kujfunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu. Kujjifunza ni kitu ambacho hatupaswi kuschoka kufanya kila siku na tunapasa tufanye hivi maisha yetu yote, hujaishi leo kama hujajifunza kitu kipya leo. Mara…
-
Hakuna Kitu Chenye Maana Isipokuwa Tafsiri Binafsi
Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80)…
-
Kama Utashindwa Ni Juu Yako Na Kama utashinda Ni juu yako
Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80) lakini…
-
Lifahamu Kusudi Lako
Habari za leo rafiki yangu na msomaji wa makala kutoka SONGA MBELE BLOG. Matumaini yangu unaendelea vyema na hatua kuelekea mafanikio ndani ya mwaka wetu huu mpya wa 2017. Karibu sana katika makala ya leo, ili tuendelee kujifunza maana hakuna sherehe kwa mwanamafanikio katika kujifunza. Kujifunza kunakufanya unakuwa kijana hata kama una miaka themanini (80)…
-
Kama Utashindwa ni juu yako Na kama Utashinda Ni Juu Yako
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Mara nyingi likitokea kosa lolote mtu atamtafuta mtu wa kulalamikia. Hivi ulishawahi kugundua kwamba ukimunyooshea mtu kidole kimoja…
-
Kuwa Mkarimu
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Mara nyingi huwa watu wanaamini kwamba mtu unapaswa kuishi maisha kiasi kwamba ukifa utokee kwenye ukurasa wa mbele…
-
Vipaumbele vyako ni vipi?
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Katika maisha tuna mambo mengi sana ya kufanya. Yote kwa pamoja ni mambo yanyotuelekezaa kwenye mafanikio. Ila ingawa…
-
Jambo Linalokuzia Kufikia Mafanikio.
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa SONGA MBELE BLOG . Imani yangu unaendelea vyema katika hatua ya kutafuta na kuelekea mafanikio.Karibu sana katika makala yetu ya leo ambapo tunaenda kujifunza kitu kipya ambacho kitabadili mwelekeo wa maisha yetu Kadri unavyojitahidi kujikwamua ili uweze kupiga hatua kubwa sana ya mafanikio, yapo mambo yanayo jitokeza kukuzuia kufikia…
-
Kama Watu Wote Watakuwa Matajiri Maskini Watatoka Wapi?
Kuna baadhi ya watu wamekuwa na imani kwamba haiwezekani watu wote kuwa matajiri. Wengine wanasema kwamba haiwezekani watu wote kuwa matajiri na wengine wansema haiwekani mtu kuwa tajiri lakini bado akaendelea kumwabdu Mungu. Huu ni mtazamo hasi ambao watu wanao ambao hauwezi kukufanya usonge mbele. Siku zote watu wenye mtazamo huu huwa napenda kuwaambia wasome…
-
Ushindi Sio Mwisho, Ushindi Ni Mwanzo
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala kutoka SONGAMBELE BLOG, karibu katika makala ya leo. Kila mtu atafutaye mafanikio hupenda kufikia mafanikio. Kila mwanadamu angependa kuona anashinda na kupiga hatua na kufikia hatua nzuri. Mafanikio kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni ushindi. Ushindi ni mjumuiko wa siku nyingi za ushindi. Mara nyingi ushindi…
-
Kama Sio Wewe Ni Nani, Kama Sasa Ni Lini?
Habari za leo rafiki na ndugu msomaji wa makala za SONGAMBELE BLOG. Karibu sana katika makala ya leo. Watu wengi tumezaliwa na VIPAJI mbalimbali ambavyo kama tutavifanyia kazi basi tutapiga hatua kubwa na kufikia mafanikio. Ukomo wa kutumia kipaji chako unajiwekea mwenyewe, hakuna wa kukuwekea kikomo katika matumizi ya kipaji chako. Maisha yako sio tu…
